Tatizo la usafiri stand ya Ubungo lawama nawatupia kamanda Awaz na SUMATRA

Ruwa ko Mangi.......Kyasaka kya kuwi se bana!?
Nukyeweso ichumia awuyo hao walioenda kupumzisha akili na mwili wakija hapa utashangaa mapene yanaongezeka lakini wale wanaojifanya kubana mjini utawaona wapo pale pale tunawakimbiza kwa mbaaali.
 
hali halis ilivyo kwa hivi sasa ubungo ni mateso kwa abiria na haswa watoto wadogo. hii inasababishwa na agizo la sumatra kukataza gari zote zisizo na sticker ya sumatra inayouzwa laki tano zisipakie abiria haswa kwa kipindi hiki cha dharura. huku zoezi hili zima likishikiwa kidedea na kamanda awaz. matokeo yake zilizoingia ndani ni zile chache zenye sticker huku hazikidhi masharti ya safari ndefu kama kuwa na ac tv mikanda. badala yake zimezuka stand bubu za kumwaga huku abiria wakitoa ushirikiano kwa madereva na makondakta wanaopakia kinyemela. naishauri sumatra na kamanda awaz wafikirie mara mbili katazo lao. pia wale wote wanaotaka kwenda moshi arusha nairobi kwa kesho mnione inbox .jana j
usiku nilipokuwa natoka moshi kuja dar nimekutana na maelfu ya gari zilizopakia kinyemela. sumatra ibuni vyanzo vipya vya mapato
Safari ya kwenda likizo ya christmas ni ya dharura?
 
Kwa kweli ni mafuriko pande zote za nchi watu wanamiminika kama siafu ama kwa hakika tumesimamisha uchumi wa mikoani kwa muda mpaka tumalize yetu.
 
Back
Top Bottom