Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

Hapo shida ipo kwenye ubongo

Jamani muelewem mtu anaposema ana tatizo uwez sema shida ubongo wakat mishipa ya dushe ndo imelegea hii kitu bslaa 2017 ilinitokea lakin sikumbuk ilikuaje nikaa sawa mbo ilikua haidindi ama inadinda kidogooooo wakati ilikua inasimama ka mti nikimuona tu dem ata kwa mbali... bro usifanye kwa muda wala mjengo usipige kunywa maji mengi asali na vyakula walivosema wadau uko juu
 
Nina umri wa miaka 47 na nimekuwa na tatizo la ugonjwa wa kisukari kwa takribani miaka 12 sasa. Ninacho shangaa kwa kipindi cha miaka 10 nilikuwa nafanya ngono na ku perform vizuri kabisa ila kuanzia mwaka jana nikifanya tendo la ndoa nikiingiza uume tu nakojoa hapo hapo na mboo kulala mazima. Kuna wakati nikiwa nataka kusex mboo inakataa kabisa.

Sukari na control kwa diet, mazoezi na kutumia dawa aina ya meltfomin. Kwa ujumla sukari huwa ina fluctuate sana kuna wakati fasting inakuwa mpaka 6 na nikila goes upto 11. Sina uhakika kama ndio nimeshaingia kwenye shida ya nguvu za kiume au pia inatokana na hali ngumu ya kifedha ninayopitia kwa sasa

Kuhusu swala la mboo kutosimama kuna medical Doctor amenishauri kabisa nisitumie madawa ya mitishamba ambayo herbalists wengi wamekuwa wakiyahubiri. Tafadhali naomba msaada wa ushauri nini natakiwa kufanya
 
Nina umri wa miaka 47 na nimekuwa na tatizo la ugonjwa wa kisukari kwa takribani miaka 12 sasa. Ninacho shangaa kwa kipindi cha miaka 10 nilikuwa nafanya ngono na ku perform vizuri kabisa ila kuanzia mwaka jana nikifanya tendo la ndoa nikiingiza uume tu nakojoa hapo hapo na mboo kulala mazima. Kuna wakati nikiwa nataka kusex mboo inakataa kabisa...
Pole sana kwa tatizo hilo..ila matibabu ni popote hata kwenye mitishamba..madaktari wengi ni brainwashed kwa modern medicine..ili hali zimetengenezwa kwa mitishamba..kumbuka pharmaceutical industry doesn't cure but they create customers.

Jaribu na huko pia..ila jitahidi sana kutotumia vyakula vya viwandani..acha matumizi ya chai na kawaha na aina yoyote ya kilevi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kwa tatizo hilo..ila matibabu ni popote hata kwenye mitishamba..madaktari wengi ni brainwashed kwa modern medicine..ili hali zimetengenezwa kwa mitishamba..kumbuka pharmaceutical industry doesn't cure but they create customers...
Asante kwa ushauri
Mimi nakula natural sana na pia sinywi kahawa ila nakunywa chai ya tangawizi na mchai chai tu siweki kabisa majani ya chai wala sukari so basically nakunywa maji ya moto. Kuhusiana na kilevi natumia Dry Redwine ila nayo nitasiamama if needs be
 
Nina umri wa miaka 47 na nimekuwa na tatizo la ugonjwa wa kisukari kwa takribani miaka 12 sasa.

Sina uhakika kama ndio nimeshaingia kwenye shida ya nguvu za kiume au pia inatokana na hali ngumu ya kifedha ninayopitia kwa sasa

Tafadhali naomba msaada wa ushauri nini natakiwa kufanya

Hapo shida ni Stress, ukishakua na Stress hakuna kitu kitafanyika ndugu yangu,

Mie mwenyewe nikiwa sina hela hata nguo hua naiona nzito yaan nakosa mood ya kila kitu,

Tibia kwanza stress ulizo nazo baada ya hapo kila kitu kitakua shwariiiii.
 
V-RX capsules have been developed from all-natural herbal ingredients, you will increase your size, volume of the sperms and improve your natural performance. When you begin to experience more frequent firmer erections, penis enlargment begins in a matter of weeks.

First you will begin to see an increase in the girth, then as cell development really begins to take hold you will see an increase in penis length as well.
Sh ngapi?
 
Habari wana jamiiforum,

kwanza kabisa namshukuru mungu kwa kunipa afya njema hadi muda huu, natumai na ninyi ni wazima, kama ni mgonjwa mungu akupe nafuu uweze kupona.

nimeamua kuchukua nafasi hii kuelezea Athari za video za ngono (porn) katika ubongo wa mwanaadamu, Hasa kwa sisi vijana tunaochukua muda mwingi kuangalia video hizi na jinsi zinavyo sababisha upungufu wa nguvu za kiume na jinsi ya kutibu tatizo hili.

Ni ukweli usio pingika kuwa kutokana na maendeleo ya teknolojia na kuwepo kwa internet yenye spidi vijana wengi wamekuwa wakitumia muda mwingi au Mara kwa Mara kutembelea kurasa zenye video za ngono na kuangalia kwa muda mrefu bila ya kujua kuwa zina athari kubwa sana katika ubongo, japo jambo hili limekuwa likifumbiwa macho sana.

JINSI UBONGO UNAVYO ATHIRIKA NA VIDEO ZA NGONO
Jinsi ubongo wentu ulivyo umbwa ni wenye kubadilika kulingana na tunavyo ufundisha, kwa vitendo tunavyo vifanya Mara kwa Mara ubongo huvihifadhi na kuwa kama tabia,

Mfano kuna mwanasayansi alimfundisha mbwa, akawa anagonga kengele kisha anampa chakula kwa muda Fulani, kisha siku akagonga kengele bila ya kumpa chakula mbwa alionekana kutoa mate, hii ilitokana kuwa ubongo ulisha kalili kitendo cha kugonga kengele chakula kinakuja, vivyo hivyo ubongo wetu unayofanya kazi

Video za ngono husababisha uzalishaji wa haoni inayosababisha mtu kupata raha (Depomine) kwa wingi sana katika ubongo hivyo hupelekea sehemu inayo husika na kutupa raha katika ubongo kuathirika kutokana na wingi wa hamoni ya dipomine, hivyo usababisha ubongo kubadili sehemu hii kwa kuipunguzia uwezo wa kutafsiri (detect) homoni hii
hivyo ili mtu aweze kupata raha tena itambidi awe na kitu kitakachozalisha homini hii kwa wingi hapa ndipo mtu huzidisha kuangalia video za ngono kwa wingi tena tofauti tofauti

na hii hupelekea ubongo kukalili kuwa kitu sahihi kinachokupa raha ni kuangalia video za ngono na kupiga punyeto na sio kufanya mapenzi na mpenzi wako ama mke.

hivyo hii hupelekea mtu kukosa msisimko wa kihisia anapokuwa na mpenzi wake, na kupelekea kushindwa kusimamisha uume au hata akiweza husimama lege lege, na kwa wengine huweza kusimamisha lakini kushindwa kabisa kufika kileleni au kuchelewa kufika na wengine kufika kileleni maapema zaidi kuliko kawaida.

ATHARI ZA ZITOKANAZO NA UANGALIAJI WA VIDEO ZA NGONO

Moja ya athari kubwa ni

1. UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
kufika kileleni maapema na kushindwa kurudia tendon

Kuchelewa kufika kileleni na wengine kushindwa kabisa kufika kileleni hii inatokana na tendo la ndoa kushindwa na mwanamke kushindwa kumpa raha mwanaume ukilinganisha na raha anayoipata akiwa anaangalia video za ngono hii ni kwasababu sehemu inayo husika na kumpa raha mwanaume katika ubongo kuathiriwa na uangaliaji wa video za ngono

Uume kushindwa kusimama unapokuwa na mwanamke (mke au mpenzi) lakini husimama ukiwa peke ako au ukiwa unaangalia video za ngono. hii hutokea kwa sababu ubongo wako umekariri kuwa picha za ngono ndio sahihi kwako kukupa burudani na sio mwanamke halisi.

Ndio maana sasa kumekuwa na dawa nyingi sana za kuongeza nguvu za kiume mitaani lakini zimekuwa sio msaada kwa vijana, na vijana wengi wa umri mdogo wamekuwa tegemezi kwenye dawa hizi, wakati tatizo lao halilingani na umri wao,

Njia sahihi ya kuondosha tatizo hili kwanza ni kujua chanzo cha upungufu wa nguvu za kiume kisha ndo kutafuta suluhu, kama tatizo lako linatokana na uangaliaji wa video za ngono basi hakuna dawa itakayo kusaidia kama si kuacha kutazama video hizo.

2. KUKOSA MVUTO NA MWANAMKE WA KWELI
Waangaliaji wa video za ngono wengi wanakosa mvuto kwa wanawake, hawavutiwi sana na wanawake, na wala hawachukuulii tendo la ndoa kama ni kitu muhimu kwao, wao kupiga punyeto na kuangalia video za ngono ni bora zaidi.

3. MSONGO WA MAWAZO NA KUJITENGA NA JAMII
Kuwa na msongo wa mawazo na kukosa uwezo wa kufikili kwa kina (concentration) katika kazi, masomo n.k, Pia waangaliajia wa video za ngono Mara nyingi hutumia muda mwingi kukaa peke yao, ama ndani na kujitenga na zamii, wanashindwa kujichanganya na watu.

JINSI YA KUONDOKANA NA ATHARI ZA VIDEO ZA NGONO
Njia pekee ya kuondokana na athari hizi ni kuacha kuangalia video hizi japo kuwa ni ngumu lakini kuna mbinu ambazo zinaweza kukusaidia kuondokana na tatizo hili, kama ilivyo kwa mbwa baada ya mwanasayasi kuacha kumpa chakula kwa kugonga kengele, baada ya muda mbwa hakuonekanaa akitoa mate tena kwa kugonga kengele,

vile vile hata ubongo wetu huweza kurudi katika hali yake ya kawaida na kurudisha uwezo wetu wa asili, nguvu zetu za asili kwa kuacha kuangalia video hizi na kupiga punyeto

Ili kurudi katika hali ya kawaida inategemea umeathirika kiasi gani na video za ngono, kama ulianza kuangalia video hizi ukiwa na umri mdogo (chini ya miaka 17) zaidi huchukua muda zaidi ukilinganisha na walio anza kuangalia wakiwa na umri mkubwa hii inatokana na ubongo wao tayari ulikuwa umeshakomaa

Kuna ambao hurudi katika hali ya kawaidi ndani ya wiki chache miezi michache wengina hadi mwaka au miaka miwili, inategemea na mwili wa mtu na ukubwa wa tatizo, lakini nashauri kima cha chini kiwe ni miezi mitatu ama siku 90.

MBINU ZA KUWEZA KUACHA KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO

1. KUWEKA MBALI VISABABISHI
Weka mbali vitu nyote vinayopelekea kuanzangalia video za ngono mfano kama ulikuwa unaangalia kabla ya kulala, basi kabla ya kupanda kitandani zima simu na computer yako, kama ilikuwa ni pale unapokuwa peke ako basi epuka kukaa peke ako kwa muda.

2. JICHANGANYE NA JAMII
Kujichanganya na marafiki na jamii kutasaudia kupunguza muda wa kukaa peke ako na kuanza kuwaza kuhusu kuingia mtandaoni na kutafuta kurasa za ngono

3. FANYA MAZOEZI
Mazoezi ni muhimu sana kwa miili yetu hivyo itakusaidia kuurudisha ubongo kwa haraka katika hali yake ya kawaida ipi utapunguza msongo wa mawazo

4. JIFUNZE KILA SIKU JINSI YA KUBORESHA MBINU ZA KUACHA
Tafuta majarida mbali mbali na makundi mbali mbali ya watu walio dhamiria kuacha kuangalia video za ngono ili kupata mawazo mapya, na jinsi watu walivyo fanikiwa na kurudi katika hali yao ya kawaida

5. WEKA MIPANGO YA KUDHAMILIA KUACHA
Weka mpango wako wa kudhamilia kyacha Kwa kipindi Fulani kama ni miezi mitatu, minne au zaidi na jikumbushe mpango wako Mara kwa Mara na kupiga mabadiliko yanayo onekana.


MABADILIKO YATAKAYOJITOKEZA WAKATI WA KUACHA
Japo sio kwa wote wanaoweza kuona dalili hizi za kuacha

1. Maumivua ya misuli
2. kukosa usingizi
3. Kushindwa kupumua vizuri
4. Homa
5. Kukosa hamu ya kufanya mapenzi kabisa na muda mwengine uume kushindwa kusimama
6. Maumivu ya kichwa

Kutokana na ukomo wa maneno ya kuandika naomba niishie hapa japo bado kuna vitu Vingi sana kwenye hii mada, mana inapaswa iandikiwe kitabu kabisa ila kama unaswali naomba uliza utajibiwa

Pia ukitaka ushauri jinsi ya kuondokana na janga hili niandikie, tusaidiane kuondosha athari hizi katika jamii yetu.

USISAHAU KULIKE KUSHARE WENGINE WANUFAIKE NA KUNIPIGIA KULA
AHSANTENI MUBARIKIWE SANA
 
Habari wakuu,

Leo nawaletea njia bora ya asili itakayowezesha kuimarisha mahusiano au ndoa za watu wengi kwa kutumia kipande cha tikiti maji.
Andiko hili linatokana na ujuzi zoefu (empirical knowledge), sijanakili kutoka popote ni wazo langu nililo lifanyia utafiti na majaribio yake yalileta matokeo chanya.
_116967549_b80ecb2c-eb39-4aeb-9dec-698869cf66cd.jpg

(Picha kutoka google)

MAHITAJI MUHIMU
  • Kipande cha tikiti maji lililo komaa vizuri (vipande viwili, kila kipande huuzwa Tsh mia tano )
    7b4c85c2-6687-11e7-8665-356bf84600f6-780x520.jpg
  • Bakuli dogo
    HTB1kG4TatjvK1RjSspiq6AEqXXaf100-melamine-bowl-wholesale-A5-high-quality-400x400.jpg
JINSI YA KUTUMIA
  • Toa mbegu zote zilizopo kwenye vipande vyote viwili vya tikiti maji kisha zihifadhi ktk bakuli​
  • Tafuna mbegu zote masaa sita kabla ya tendo la ndoa​
  • Kwa wasio weza kustahimili radha ya mbegu hizo wakati wa kuzitafuna, wanaweza kula tikitiki maji hivo hivo bila kuliondolea mbegu lakini iwe masaa sita mpaka 12 kabla ya tendo la ndoa​
Njia hii ni nzuri pia itaimarisha afya yako kwa kuupatia mwili madini aina ya Zinc, chuma, Folate, Magnesium na potasium. Inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
Nimeandika uzi huu sio kwa lengo la kujipatia pesa, Lengo langu ni kuisaidia jamii kuondokana na tatizo la nguvu za kiume kwa kutumia njia salama zaidi na yenye gharama nafuu, LIKE na kisha UPIGIE KURA uzi huu ili uweze kuonekana kirahisi ktk jukwaa hili na uwafikie watu wengi zaidi.

Nakaribisha maswali kwa ufafanuzi zaidi wa kisayansi​
 
Upungufu wa nguvu za kiume ni tatzo linalohusisha sehemu za maumbile ya kiume ya mwanaume kushindwa kufanya kazi zake kama inavyotakiwa.
Mara nyingi tatizo la upungufu wa nguvu za kiume hutokea pale mzunguko wa damu unakua dhaifu hasa maeneo ya maumbile ya kiume hivyo kufanya maumbile hayo kusinyaa na kushindwa kukidhi haja za mwenza.

Kwa miaka ya hivi karibuni kumekua na ongezeko kubwa sana la wanaume wengi kupata tatizo hili, na hii natokana na mfumo mbovu wa maisha hasa katika vyakula tunavyokula, japo kuna baadhi ya magonjwa yasiyoambukiza yanaweza kusababisha tatzo hili lakini leo tuzungumzie kuhusiana na swala la vyakula tu.

HIVI NDIVYO VYAKULA VITANO VYENYE UWEZO MKUBWA WA KUPAMBANA NA MATATIZO YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

1.TIKITI MAJI
tikiti maji lina virutubishi vingi ikiwemo lycopene, vitamin C na beta-carotene ambazo zina kazi kubwa katika kufanya mishipa ya damu irelax na kutanuka vizuri (vaso dilation) ili damu ipite vizuri sana katika mishipa hivyo mzunguko wa damu ukiwa vizuri katika mishipa ya damu itaruhusu maumbile ya kiume kuwa na nguvu ya kufanya kazi yake kama inavyotakiwa.
Sehemu ya muhimu zaidi kwenye tikiti maji ni ile sehemu nyeupe iliyo chini ya ile nyama nyama nyekundu hivyo kwa mwanaume unashauriwa kula kwa wingi zaidi hiyo sehemu.

2.NYANYA
kwenye matunda mengi yenye rangi nyekundu kuna kiwango kikubwa kirutubishi kinachoitwa LYCOPENE hasa hufanya mishipa iwe imara, irelax na kufanya kazi vizuri zaidi na kutokana na maumbile ya kiume kuzungukwa na mishipa ya damu ya kutosha hivyo itafanya kazi vizuri kama inavyotakiwa.

3.PARACHICHI
parachichi lina kiwango kikubwa sana cha madini ya potassium, vitamin K na vitamin B, virutubisho hivyo katika parachichi ambazo husaidia kuongeza homoni ya kiume inayoitwa TESTOSTERONE ambayo inazalisha mbegu za uzazi kwa mwanaume, inaipa nguvu misuli na uzito. hivyo ulaji wa mara kwa mara wa parachichi unamfanya mwanaume awe na afya kamili ya kiume

4.MBEGU ZA MABOGA
mbegu za maboga zina wingi wa vitamin B, C, D E na K, poa mbegu za maboga zina madini ya calcium, niacin, phosphorus, potassium na Zinc ambayo huzalisha kwa wingi homoni ya testosterone ambayo inazalisha mbegu za uzazi za mwanaume.
Ulaji wa robo kikomne cha mbegu za maboga kila siku kutafanya mwanaume aondokane na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

5.MCHICHA
mchicha una kiwango kikubwa sana cha vitamin B9 au folic acid, ambayo inaimarisha mzunguko wa damu pia inatengeneza seli nyekundu za damu. hivyo hufanya mwili uwe na uchangamfu. Kwa utafiti uliofanywa na NATIONAL INSTITUTE OF HEALTH mwaka 2014 ulionesha kuwa asilimia kubwa ya wanaume wenye upungufu wa nguvu za kiume walikua pia na upungufu wa vitamin B9 na utafiti mwingine wa NATIONAL OF HEALTH mwaka 2020 ulionesha wanaume 50 waliopatiwa falic acid walipata walipata nafuu kutoka kwenye tatizo lao la upungufu wa nguvu za kiume.
ulaji wa mara kwa mara wa mchicha ni mzuri sana kwa wmwanaume.

Pia kuna vyakula vingi sana ambavyo husaidia mwanaume kuepukana na tatizo hilo kama vile karoti, kahawa, matufaa, karanga n.k
photo-1528825871115-3581a5387919.jpg
 
Wakuu habari zenu ndugu zangu

Nina swali moja nilikuwa nahitaji kujua. Je! Upungufu wa nguvu za kiume ni nini? (Mfano mtoto wa kiume ukikutana na wa kike, wakati mna s#x bila kutumia kinga ukaenda kwa dk 3...round ya kwanza pia baada ya muda ukaenda mzunguko wa pili kwa dk 15 )
Bila kinga.

PIA..Kwa kutumia kinga (Round ya kwanza ukatumia dk 20-25...baada ya muda round ya pili ukatumia dakika 30-35) Je mtu huyu atakuwa na upungufu ama tatzo la kuwai kufika kilel#ni mapema?

Je mtu mwenye tatizo la kuwai kufika huwa anawai wakati wote anapotumia kinga na asipotumia, ama asipotumia tu?

Kwa mtazamo wa mtu tajwa hapo juu ni je ana tatzo la nguvu za kiume??
 
Back
Top Bottom