Tatizo la umeme Tanzania kuhusishwa na vita kati ya Serikali na Askofu Kakobe

Nsiande hebu weka wazi ina maana umeme unapoozwa Makumbusho lakini haujapita kanisa la Kakobe?

Hebu niambie ni mbadala gani ulofanyika?

Haya matatizo ya kiufundi yasigeuzwe kuwa ya kiimani...........

Umeme haupiti hapo wakati tayari unapoozwa makumbusho sub station tayari kusambazwa na unasambazwa tangu mradi ukamilike

Hayo Mengineyo ni utendaji wa watu na watahukumiwa kwa utendaji mbovu.
 
Nsiande,
Kuna mahali nimesoma kuhusu huu mradi, kwamba nguzo no.19 & 20 ambazo zipo katika eneo la kanisa la kakobe ndipo kuna tatizo la kiufundi hadi umeme umeshindwa kuvuka.
Kuna ukweli gani katika hilo? Na kama umeme unapita kwa kakobe mbona mradi haufunguliwi/hauzinduliwi?
 
Back
Top Bottom