Kifai JF-Expert Member Jan 18, 2013 816 172 Jan 26, 2016 #1 Kama kuna mgao si mtutangazie tujue kinachoendelea nini? Kila muda mmekuwa watu wa kukata umeme tuuuu, Magufuli embu chungulia na huku kuna majipu sugu TANESCO.
Kama kuna mgao si mtutangazie tujue kinachoendelea nini? Kila muda mmekuwa watu wa kukata umeme tuuuu, Magufuli embu chungulia na huku kuna majipu sugu TANESCO.