Tatizo la umeme kuwa historia? Mitambo mipya yawasili Kinyerezi II

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Kinyerezi.jpg

Mitambo ya kuzalisha umeme (System Turbine, no 2) kwa ajili ya mradi wa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi II iliingia nchini kupitia Bandarini Oktoba 16, 2017 na leo hii Novemba 03, 2017 imetolewa Bandarini na hivi sasa inaelekea kituo cha kuzalisha umeme kwa gesi Kinyerezi II (MW 240) Jijini Dare es Salaam.

Mradi huu wa Kinyerezi II uliwekwa jiwe la msingi na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli achi 16, 2016. Mradi unatarajiwa kukamilika ifikapo Septemba 2018.
 
Kikweli tatizo la TANESCO siyo mitambo ya kuzalisha umeme bali ni fedha za kuendesha mitambo hiyo!!!!!! Hivi sasa ninavyoandika zaidi ya Megawatt 300 haziwezi kuzalishwa kwa sababu ya ukosefu wa fedha ya kuendesha hiyo mitambo.
Tumefika mahala pa kuwafukuza mameneja wa vituo kwa tuhuma ya mitambo kutozalisha umeme hali hatutoi fedha ya kununua vipali na technology!!!!!!!!!!!!!!!.
 
Radial la Tanzania hatujui maana ya kazi,na zaidi sana tunawaza kula kabla ya kazi,zaidi ya yote mtanzania ukimshauri anaona kama unamndolea heshima.Bila kujua maana ya jazi wimbo ni uleule.
 
Inawezekana umeme uhakika,juhudi pia stiglas Geoge megawat 2000.... Garama umeme itashuka pia.Umeme wa maji ni nafuu zaidi.
 
Radial la Tanzania hatujui maana ya kazi,na zaidi sana tunawaza kula kabla ya kazi,zaidi ya yote mtanzania ukimshauri anaona kama unamndolea heshima.Bila kujua maana ya jazi wimbo ni uleule.
Vipi mkuu, huwa unasambaza unga na maharagwe kwenye nyumba za watu nini?
 
Back
Top Bottom