Tatizo la Umbile sehemu Nyeti. Nahitaji maoni yenu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,742
Mimi nmekuwa nadhani ni kawaida lakini nmeshangaa dada mmoja last week akanambia kuwa siyo kawaida kwa uzoefu wake.

Mimi mashine ikisimama inasimama kuangalia juu. Hainyooki nyuzi 90. Ina nend upward. Sijajua sababu ila ndo miaka yote ipo hivyo kiasi kwamba huwa nafanya utani wa kutundika taulo nikitoka kuoga na mashine imesimama wima kinyama.

Hii hunisababishia hata nikivaa boxer napoihifadhi naihifadhi iwe inatizama juu sababu ikitokea ole wangu nikaiweka ilale upande ikatoka ikahisi mazingira flani ikasimama...nitaumia sana na itatuna kiasi hata sitoweza simama vizuri."ole wangu mimi mateso ambayo nitapata.mpaka niende sehemu niitoa ilipokuwa niisimamishe wima upward ndo sasa maumivu mengine yatakata.

Sasa huyu dada kaiona akatabasamu na kusema ndo maana... Nikamuuliza nini. Akasema "hamna kitu, sisemi mpaka unibembeleze"

Nami sikuwa na muda wa kutosha wa kumbembeleza maana nlishambembeleza anipe game nikapata naye akashukuru sasa nimbeleze tena kwa lipi?

Nikaona kama vipi niwaulize wadau maana kwa mimi sijawahi ona mashine za wanaume wenzangu najua tu wanawake maeneo yao yalivyo sababu huko ndo nme specialize.

Je haya maumbile yapo sawa au ni ulemavu flani? Kama ni ulemavu nifanyeje?kwa wasichana kadhaa huwa wananambia tu kuna styles nanii yangu inagusa maeneo flani...haichomi kwenda mbele...wengine wakawa wanalalamika inasababisha watokwe maji sababu ya sehemu inayogusa.

Wengine wana sema hawaelewi iweje iwe imenyooka kuelekea mbele au imenyooka kusimama kuja juu.

Nawasilisha.
 
Aiseeeee Utukufu juu mbinguni
 
We shida yako nini? Nenda hospital ili kama ni kilema waigeuze chini juu! unless otherwise acha utoto
 
Una uzoefu nao madam? Huyo mtu ambaye ulikuwa naye baadaye akawa impotent ilimchukua muda gani? Wewe ulikuwa una feel nini anapokuwa ndani yako?

Watu wa aina yako mbeleni wanakuwaga impotent, ndo takwimu zinaonesha ivyo
 
Ni kawaida kila mtu ana maumbile yake wengine yamepinda kulia wengine kushoto wengine chini na wengine juu so ni hali ya kawaida enjoy life .
 
Ni maumbile tu acha wasiwasi wengine imepinda haijanyooka na sidhan Kama huwa zinanyooka kama rula hamnaga hyo

Wengine zimeangalia kwa chini wengine juu wengine kama inataka kupiga kona ni maumbile yetu wanaume tunatofautiana na boksa uvaaji ukiwa chanzo wa kuishape pind upo ktk ukuaji
 
Mkuu unaisifia sana bamia wenye mizigo yetu tumetulia
FB_IMG_1566682038142.jpeg
 
Back
Top Bottom