Tatizo la ukungu kwenye nyayo za miguu

sharifusaid

Senior Member
Jan 24, 2015
107
63
Jaman wanajamii forum nina ilo tatizo kama inavosema heading, Naomba Ushauri au msaada wenu kwa anaefaham dawa au njia ya kulifanya ilo tatzo lisiwepo sababu linanikosesha amani ya kuvaaa open shoes.
 
Back
Top Bottom