Nyakyegi Wazigizigi
Member
- Jun 8, 2021
- 31
- 43
Leo ni takribani siku ya sita maji hayapatikani/hayatoki na wahusika wako kimya! Maji tunanunua mtaani ndoo tsh 500/- (yenye chumvi) na tsh 1000/-(yasiyo na chumvi). Maji haya mbali na ughali wake hatujui source yake, hivyo in hatari sana kwa afya ya watumiaji.