Uke kutoa harufu kali(Vaginal Odor): Chanzo, dalili na tiba zake

Jamani mwaka huu nina balaa tupu! dont know what to do! ni hivi: Kiukweli nina demu wangu mzuuuri tu kimuonekano(appearance) ila kila nikikutana nae kwenye kale kamchezo huwa naboeka kinoma!! mzigo wake huwa unatoa harufu kinoma!

mara ya kwanza kukutana nae nilifikiri maybe ni uchafu wake wa kawaida na endapo akijipiga mausafi mambo yatakuwa mazuri! lakini mambo kila siku muda unavyokwenda harufu ni ile ile na kabla ya ku-sex huwa naenda nae bafuni kuoga. lakini 2kishaingia kwenye game mambo yanaharibika mpaka mwenyew huwa nakosa hta hamu ya kuendelea na game! nshafikiria nim2pe kule lakini kiukweli nampenda sana na yeye ananipenda sana!!

wadau naombeni msaada kuhusu jambo hili! je huwa linasababishwa na nini? na ipi ni tiba?

pole sana! Nadhani ningeuliza maswali kadhaa, je kuna uchafu wowote unatoka ama ni ahrufu tu? kama kuna uchafu una rangi gani? nadhani ni vyema kwenda kwa daktari wa kina mama,meaning gynaecologist atakayeweza kumfanyia speculum examination na kubaini tatizo na kuwapa dawa, hapa nashauri since mpo kwenye mahusiano ni vyema wote wawili mkatumia dawa, kuanza pamoja na kumaliza pamoja na kipindi cha kutumia dawa hamtakiwi kufanya tendo la ndoa kama inabidi mfanye hivyo basi ni lazima kutumia condom. akaangaliwe kwanza. am sure aakayemuona na kufanya speculum examination atabaini tatizo na kuwapatia dawa
 
Ina onyesha hana hygine nzuri ya huko. Mwambie aweke povidon iodin pessaries kila amalizapo hedhi yake. Lakin kwa kuanza ni bora atumiea kila siku kwa siku kumi hivi.:shock:

Kinyume na hapo....... Nendeni mka muone Gynacologist na ata mpima kujuwa ana comensal flora zipi zinazo mfanya atoe harufu kama panya aliekufa siku tatu.:A S embarassed:
 
Sidhani kama ni sahihi kufanyia mzaha kila jambo. Mwanamke kupaka manukato ukeni si sawa. Hata sasa yawezekana tatizo lake limeletwa na kupaka kitu chochote chenye kemikali ukeni kama sabuni au marashi. Kwa asili uke una bacteria wake muhimu kwa ajili ya usafi wa eneo hilo ambao wakikumbana na kemikali na marashi hayo hufa na kuacha uke mkavu na hivyo kushambuliwa na magonjwa kama fungus na kadhalika.

Kutoa mimba au kushiriki ngono sana hakuhusiani na harufu kali ya uke. Ushauri wangu nenda kwa daktari anaweza kujua chanzo kwani kama harufu inatoka bila any abnormal discharge itakuwa ishu zaidi ya fungus lkn kama kuna discharge kwenye uke zinaweza kuwa fungus.

MUHIMU KWA KINA DADA: Hii tabia ya kutumia dawa za uzazi wa mpango kwa kurukaruka ni moja ya sababu kubwa za kupata fungus. Kwanza ni vyema mkafahamu kuwa umezaji pills wa namna hiyo (kumeza siku unazoshiriki kitanda) hausaidii kikamilifu kuzuia mimba. Ni vyema planning pills zikamezwa kwa kufuata kalenda kwani lengo la pills ni kubalance hormone na wala hazifanyi miujiza. Msipokuwa makini na hili mnaweza kuhisiwa mna magonjwa ya zinaa pasipo sababu
 
Ina onyesha hana hygine nzuri ya huko. Mwambie aweke povidon iodin pessaries kila amalizapo hedhi yake. Lakin kwa kuanza ni bora atumiea kila siku kwa siku kumi hivi.:shock:

Kinyume na hapo....... Nendeni mka muone Gynacologist na ata mpima kujuwa ana comensal flora zipi zinazo mfanya atoe harufu kama panya aliekufa siku tatu.:A S embarassed:

Sidhani kama itakuwa harufu ya panya mkuu. Mara nyingi ni harufu ile ile ya ukeni lkn inazidi ukali as if kuna ute ulikaukia na sasa umeloweshwa tena. Hao ni bacteria sababu ya kunawia sabuni zenye kemikali ukeni
 
Dr King'asti umeshindikana! Kumbe ukichoropoa inakuwa septic eeh? Ntaacha!
nendeni mkaonane na madaktari bingwa kwa msaada zaidi...!ooooooops kumbe ni dem wako...utajibeba..!

no doubt keshatoa mimba kibao ndo maan ahata we uko nae sasa ivi
 
Pole sana kaka kwa matatizo ya demu wako . Kutokana na maelezo yako kwa upande wangu naona atakuwa na Bacterial vaginosis . Kwenye vagina kuna bacteria ambao wanaishi huko kama normal floral sasa inapotokea hao bacteria wamevulugwa kunasababisha kuzaliana kwa kasi sana na kufanya kukosekana kwa usawia wa bactaria tunaita bacteria imbalance kutokana na hali hiyo bacteria huanza kushambulia na kusababisha bacterial vaginosis mara nyingi mwanamke hutoa harufu kama ya samaki au yai lilooza wakati wa ngono,mara nyingine maji meupe hutoka kwenye uke .mara nyingi mwanamke haoneshi Dalili za kutosha. Chakukushauri mwambie asitumie sabuni kujisafishi maana huongeza harufu .DAWA tiba yake huwa metranindazole au climdamycin .
 
Jamani mwaka huu nina balaa tupu! dont know what to do! ni hivi: Kiukweli nina demu wangu mzuuuri tu kimuonekano(appearance) ila kila nikikutana nae kwenye kale kamchezo huwa naboeka kinoma!! mzigo wake huwa unatoa harufu kinoma!

mara ya kwanza kukutana nae nilifikiri maybe ni uchafu wake wa kawaida na endapo akijipiga mausafi mambo yatakuwa mazuri! lakini mambo kila siku muda unavyokwenda harufu ni ile ile na kabla ya ku-sex huwa naenda nae bafuni kuoga. lakini 2kishaingia kwenye game mambo yanaharibika mpaka mwenyew huwa nakosa hta hamu ya kuendelea na game! nshafikiria nim2pe kule lakini kiukweli nampenda sana na yeye ananipenda sana!!

wadau naombeni msaada kuhusu jambo hili! je huwa linasababishwa na nini? na ipi ni tiba?

Nakushauri mpeleke hospitali akafanyiwe vipimo mana kuna baadhi ya magonjwa ya wanawake kama PID na TRICHOMONIASIS yanasaababisha mwanamke atokwe na majimaji yenye harufu kali kwenye uke hivyo kusababisha mwanamke atoe harufu kali, pili mshauri ajitahidi awe msafi kila wakati mpaka kwenye hizo sehemu nyeti azisafishe vizuri ili kupunguza harufu.
 
Jamani mwaka huu nina balaa tupu! dont know what to do! ni hivi: Kiukweli nina demu wangu mzuuuri tu kimuonekano(appearance) ila kila nikikutana nae kwenye kale kamchezo huwa naboeka kinoma!! mzigo wake huwa unatoa harufu kinoma!

mara ya kwanza kukutana nae nilifikiri maybe ni uchafu wake wa kawaida na endapo akijipiga mausafi mambo yatakuwa mazuri! lakini mambo kila siku muda unavyokwenda harufu ni ile ile na kabla ya ku-sex huwa naenda nae bafuni kuoga. lakini 2kishaingia kwenye game mambo yanaharibika mpaka mwenyew huwa nakosa hta hamu ya kuendelea na game! nshafikiria nim2pe kule lakini kiukweli nampenda sana na yeye ananipenda sana!!

wadau naombeni msaada kuhusu jambo hili! je huwa linasababishwa na nini? na ipi ni tiba?

Nadhani bado sijakuelewa vizuri mkuu. Huyo demu wako anatoa harufu mwili mzima au ni katika sehemu zake za siri?
 
inawezekana huyo demu wako akawa na maambukizi either ni fungus au Saratani ya kizazi,namshauri awasiliane na MEWATA ili aweze kuchukua tahadhari mapema ,harufu yoyote kwenye uke ina sababu mwambie awahi mapema,au aende Ocean Road hospital kupima saratani ya kizazi ni bure

mpe pole lakini kwa kuwa umesema unampenda sana mhimize awahi hospitali kabla mambo hayajaharibika
 
mpe pole sana wifii
mwambie endapo huko medical watamuambia hana tatizo lolote awe anaoshea nyanya(anaikatakata na kuiponda thena anaonyea kuanzia ndani kuja nje)....na awe msafi kupiliza,anabadili viupi mara kwa mara,asivae chupi mbichi,na asivae zile za plastic materials avae zenye material ya kitambaa(cjui umenielewa mana hata siwez fafanua vema),anatumia deodorants zenye harufu kali ila nzuri yenye kunukia ka matunda ivi,atumie pia kuna kama vipedi ivi ila hua ni vidogo sana kazi yake ni kunyonya maji maji ktk uke na kuuacha mkavu na harufu nzuri,mwisho asichanganye wanaume mana wako ambao wanambegu zinanuka mbaya so anaweza akawa hakuwa na huo ugonjwa ila kauchukulia kwa x........samahani sio muende kugombana huko mi nasema tu kama wataalamu wanavodai.....mwisho atembelee maduka ya waarabu atanunua udi flani ivi wa marashi atakua anafukiza iyo nyeti yake mara kwa mara na itabaki inanukia mchana kutwa masaa 48 yote hadi mwenyewe utapenda.....maduka ya wahindi au waarabu nenda kule kariakoo kama uko dar katafute,,,,,,mwambie muuzaji ukweli atakupa utachagua udi upi na harufu ipi unaitaka uwe unaisikia badala ya ile mbaya ulosema ww
 
nilijua wangu tu kumbe hata wako..basi nilikuwa na muonea aibu kwambia ila siku moja nkamwambia 'leo sipigi bila kuosha
 
mpe pole sana wifii
mwambie endapo huko medical watamuambia hana tatizo lolote awe anaoshea nyanya(anaikatakata na kuiponda thena anaonyea kuanzia ndani kuja nje)....na awe msafi kupiliza,anabadili viupi mara kwa mara,asivae chupi mbichi,na asivae zile za plastic materials avae zenye material ya kitambaa(cjui umenielewa mana hata siwez fafanua vema),anatumia deodorants zenye harufu kali ila nzuri yenye kunukia ka matunda ivi,atumie pia kuna kama vipedi ivi ila hua ni vidogo sana kazi yake ni kunyonya maji maji ktk uke na kuuacha mkavu na harufu nzuri,mwisho asichanganye wanaume mana wako ambao wanambegu zinanuka mbaya so anaweza akawa hakuwa na huo ugonjwa ila kauchukulia kwa x........samahani sio muende kugombana huko mi nasema tu kama wataalamu wanavodai.....mwisho atembelee maduka ya waarabu atanunua udi flani ivi wa marashi atakua anafukiza iyo nyeti yake mara kwa mara na itabaki inanukia mchana kutwa masaa 48 yote hadi mwenyewe utapenda.....maduka ya wahindi au waarabu nenda kule kariakoo kama uko dar katafute,,,,,,mwambie muuzaji ukweli atakupa utachagua udi upi na harufu ipi unaitaka uwe unaisikia badala ya ile mbaya ulosema ww
ulomwambia ni kweli best,mimi pia nampa ushauri wangu ingawa k yangu ipo poa kabisa
1.usafi wa eneo.awe anatumia maji masafi sometimes unakuta mtu anatumia mimaji yeyote tu kujisafishia hii ni hatari sana.mimaji ameikuta tu imekaa hajui source yake labda imechotwa kwenye kisima kichafu je?
2.nguo za ndani - kwanza ziwe safi
- pia ziwe na material nzuri mi naprefer cotton ni nghali lakini ni nzuri maana hata k inapata ventilation ventilation ya kutosha na inakuwa kavu.sio manaylon ya mchina ya buku k inasweat fangasi zitaacha kuzaana kweli
- ufuaji wa nguo za ndani uwe wa makini. swala la ufuaji wa nguo za ndani kwa watu wengi halitiliwi maanani/umakini
mtu anaoga mimaji michafu iliobaki kwa ndoo ndo anasugua tu kidogo,hasuuzi vizuri huyo anaenda kuanika sijui mvunguni, mwambie afue nguo zake vizuri anunue chupi nyeupe ndo rahisi kujua kama imesafishika vizuri.anunue na kabeseni kadogo akioga asubuhi analoweka na sabuni ya unga anaiacha jioni anafua vizuri na ahakikishe anahanika sehemu ya wazi ili zikauke vizuri
pia kipindi yupo period asiwe anakaa na pedi muda mrefu na ahakikishe anatumia pedi nzuri kuna feki
also,asiwe anatumia vipodozi huko down
lastly kwanini mnafanya zinaa na hamna ndoa?
 
lastly kwanini mnafanya zinaa na hamna ndoa
 
Ina onyesha hana hygine nzuri ya huko. Mwambie aweke povidon iodin pessaries kila amalizapo hedhi yake. Lakin kwa kuanza ni bora atumiea kila siku kwa siku kumi hivi.:shock:

Kinyume na hapo....... Nendeni mka muone Gynacologist na ata mpima kujuwa ana comensal flora zipi zinazo mfanya atoe harufu kama panya aliekufa siku tatu.:A S embarassed:

TARATIBU daktari.......Prescribing kabla vipimo?????

Mwende hospitali kwa daktari wa magonjwa ya wanawake kwa ushauri, vipimo na/ au dawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom