Tatizo la uhusiano mbovu kati ya mke na ndugu zangu

Wangu sijui nani alimfundisha hii mbinu

Nikamwambia usile milele na wala sikumsemesha.

Nashangaa sijui ilikuwaje nikamkuta anapakua.
Mtu akikataa kula aache tu sababu anaweka tumboni kwake.
Halafu kuzira inaweza kuwa chanzo cha tatizo badala ya kutatua tatizo.

Jamaa hebu ongea na mkeo nadhani ana wivu au kuna vimaneno vimeshasemwa huko pembeni.
Mkuu body maana kuna usemi kuwa za kuambiwa changanya na zako
 
Wasaaalmu,

Nianze moja kwa moja kwenye tatizo, nimekuwa nikiumizwa kwa kiasi kikubwa na hali hii. Mke anakuwa na visa au sababu ndogondogo za kuwa na ugomvi na ndugu zangu mara wanapotutembelea.

Hali hii inanikera sana, hivi karibuni kagombana na mdogo wangu wa kike ambaye ni mdogo kwake kiumri, kisa kachemsha maziwa jikoni.

Mke anadai anawaona wao si wasafi kumuandalia chakula hivyo zogo likazuka, hapo hapo mke akalalama aliwahi kushutumiwa ana roho mbaya, sasa imekuwa ni maneno na kununiana mara kwa mara.

Mdogo wangu yupo kwa week mbili tu akikamilisha mambo yake anaondoka.

Hali hii imenivuruga na kunikera sana, nilipojaribu kuongea na mke anakuja juu na kujibu hovyo, nawaza nitoe dawa gani hapa.

Inakera sana hali hii.

Karibuni!

Kama hujaingia kwenye ndoa, jifunze tu usiropoke!
Mtimue huyo mke. .hakufai.
 
Sure hii kitu ilinitokea
Nilipokuwa natoa taarifa kwa mume anadai mie ndo mbaya

Nikadecide kukaa kimya mpaka kesho nipo kimya,
Atakayenikumbuka inshaallah

Manake ilifikia hatua wanadai namchuna kaka yao hawapewi matumizi halafu nikijiangalia ninajihangaikia peke yangu nabaki kimya tu.

Wanaume wengi hutetea upande wa kwao ila ukija deep down mawifi wana visa fulani fulani hivi

Pole sana Hornet ... Wakristo huwa tunaita 'Msalaba', kama upo kwenye NDOA, just have funny. Life is too short ...
 
Wasaaalmu,

Nianze moja kwa moja kwenye tatizo, nimekuwa nikiumizwa kwa kiasi kikubwa na hali hii. Mke anakuwa na visa au sababu ndogondogo za kuwa na ugomvi na ndugu zangu mara wanapotutembelea.

Hali hii inanikera sana, hivi karibuni kagombana na mdogo wangu wa kike ambaye ni mdogo kwake kiumri, kisa kachemsha maziwa jikoni.

Mke anadai anawaona wao si wasafi kumuandalia chakula hivyo zogo likazuka, hapo hapo mke akalalama aliwahi kushutumiwa ana roho mbaya, sasa imekuwa ni maneno na kununiana mara kwa mara.

Mdogo wangu yupo kwa week mbili tu akikamilisha mambo yake anaondoka.

Hali hii imenivuruga na kunikera sana, nilipojaribu kuongea na mke anakuja juu na kujibu hovyo, nawaza nitoe dawa gani hapa.

Inakera sana hali hii.

Karibuni!

Kama hujaingia kwenye ndoa, jifunze tu usiropoke!
Mkuu wewe upo mkoa gani?
 
Aisee kama ulikuwepo vile...nimeishi nao sana wanawake wenye tabia hizo. Sometimes nyumba inakuwa na watoto, lakini watoto wanakosa amani mpaka sisi baba zao turudi ndiyo watoto kidogo wanakuwa na amani yani unakuta asubuhi ukiwa unatoka kwenda job mtoto anakulilia 'twende wote' maana anajua wewe ukitoka tu kazi inaanza. Mimi natoa ofa kama kuna mtu mwanamke wake anamshinda amlete kwangu wiki tu atarudi amenyooka!
Unatafuta K ya dezo
 
Hiyo kitu huwezi kukwepa chief..ishu ni kuwa pande zote tu..akizingua huku unakemea kwa sauti,akizingua kule unamkemea mkiwa chumbani..

Hilo suala la kila mwanamke na hamna mwanamke ambae anapenda ndugu wa mume..ko stay cool maana hamna namna..hata cc tunaface matatizo hayo hayo pia..
 
Ila wake wengi huchukizanana ndugu wa mume huwa kuna sababu hivyo hizo sababu lazima zchunguzwe km zaweza rekebishwa zirekebishwe moja wapo ya mtafaruku huwa ndugu wa mume hupenda sana ubabe na utawala akifika kwa kaka mtu wanataka waonekane wao pia ni wamiliki wa mji wa kaka yao wao pia wanamamlaka wanyenyekewe huvuka miaka zaid kuanza mumfanya mke ajiskie mtu baki hilo ndo tatizo mke nae anajihami kwa visirani na mdomo so mara nyingine liangaliwe chimbuko na ukishamjua mkeo ni mshari na unampenda unaweza ongea nae kwa upendo akaelewa unless ni kiazi na usimuonyeshe kuwa unarudi saana na ndugu zako muionyeshe yy ni muhimu hata mbele ta hao ndugu zako kwenye maisha unafiki saa zingine husaidia jaman
Umeeleza vzr mno jamani
 
Sure hii kitu ilinitokea
Nilipokuwa natoa taarifa kwa mume anadai mie ndo mbaya

Nikadecide kukaa kimya mpaka kesho nipo kimya,
Atakayenikumbuka inshaallah

Manake ilifikia hatua wanadai namchuna kaka yao hawapewi matumizi halafu nikijiangalia ninajihangaikia peke yangu nabaki kimya tu.

Wanaume wengi hutetea upande wa kwao ila ukija deep down mawifi wana visa fulani fulani hivi
Wanavisa utadhani ni wake wenza ovyo mnoo
 
Back
Top Bottom