Tatizo la uhusiano mbovu kati ya mke na ndugu zangu

Baadhi ya wifi zetu wanaroho mbaya sana, huwa wanatafuta visa ili mradi ndugu wa upande wa Mume waonekane wabaya, wengi huwa hawapendi ndugu wa mume wanapenda ndugu zao.
 
I am married and I think I have moral qualification kuliongelea hili.

Kama ndoa yako ni ya kikristo, ushauri wangu ni;
  1. Msikilize mkeo na umpe moral support, amini usiamini, wake zetu wanakabiliana na unyanyapaa asili mwingi sana kutoka kwa ndugu zetu. Nifafanue kidogo, kiasili, mke huonekana kama mgeni kwake na hili muda mwingine huwakera sana regardless ya mchango wake kwenye familia
  2. Kwa ufupi sana, not sure if am too bias or not, nafikiri mkeo yupo sahihi kuwa frustrated. Wewe umeoa na lazima ndugu zako wawe na mipaka ... Kwa cheo, kwako ukitoka wewe ni yeye, ni lazima uwaaminishe ndugu zako hilo, hiyo ndio sheria ya NDOA
  3. Jitathmini kwa kina, na kama mkeo anakuheshimu then mpende sana

(Ni mtazamo binafsi)
MKUU ktk famili lazima mjifuze kuvumilia kila mmoja avumilie mapungufu ya wagen wanaotembelea labda yawe yamezidi kiwango mt Amékuja kwako na baada ya wk ataondoka vip unagombana nae na nimt wakupita tu kesho kaja. Mama wk mt anagomba mamayako hivi mamayako hivi nikweli kuna wanawake vimeo na mme pia
 
Nianze moja kwa moja kwenye tatizo, nimekuwa nikiumizwa kwa kiasi kikubwa na hali hii. Mke anakuwa na visa au sababu ndogondogo za kuwa na ugomvi na ndugu zangu mara wanapotutembelea.
Hali hii imenivuruga na kunikera sana, nilipo jaribu kuongea na mke anakuja juu na kujibu hovyo, nawaza nitoe dawa gani hapa !!
Inakera sana hali hii.
/QUOTE]
Mkeo anakuchukuliaje wewe unapoongea naye? Serious au Nale nale? Nini mtizamo wake juu ya ndugu zako? Tatizo linaweza kuwa wewe,ndugu zako wanapokuja nini nafasi ya mkeo katika maamuzi, je unamshirikisha mke wako katika maamuzi yote unapotaka kufanya jambo lolote kwa ndugu zako? Mathalani ujio wa ndugu zako, mke anajua kabla? Misaada kwa ndugu zako inapitia kwa mkeo?.
 
I am married and I think I have moral qualification kuliongelea hili.

Kama ndoa yako ni ya kikristo, ushauri wangu ni;
  1. Msikilize mkeo na umpe moral support, amini usiamini, wake zetu wanakabiliana na unyanyapaa asili mwingi sana kutoka kwa ndugu zetu. Nifafanue kidogo, kiasili, mke huonekana kama mgeni kwake na hili muda mwingine huwakera sana regardless ya mchango wake kwenye familia
  2. Kwa ufupi sana, not sure if am too bias or not, nafikiri mkeo yupo sahihi kuwa frustrated. Wewe umeoa na lazima ndugu zako wawe na mipaka ... Kwa cheo, kwako ukitoka wewe ni yeye, ni lazima uwaaminishe ndugu zako hilo, hiyo ndio sheria ya NDOA
  3. Jitathmini kwa kina, na kama mkeo anakuheshimu then mpende sana

(Ni mtazamo binafsi)
Inategemea mzee ingawa umeshauri kama mwanaume wa kichaga maana ndo wamezoea kumpa mwanamke ukuu....hujataka kabisa kuzungumzia madhaifu ya mkewe ,ukiwa na akili hiyo ni rhs sana kutelekeza ndugu zako kisa mwanamke....kama kuna ugomvi mara nyingi kuna udhaifu pande mbili..mke ana shida na ndugu wana shida..
 
Ahsante sana kwa busara
 
Pole sana rafiki. Hizi tabia zipo na mwanaume ukiwa lege lege kama chapati za maji utaishia kulalama kila siku.

Sie wakorofi huo upuuzi wa kale ukiuleta tunakuadabisha vzr tu! Kwanza: unapata maonyo 3

1. Kwa mdomo
2. Unawekwa kati na kikao cha familia plus washenga
3. Unarudishwa home ukajifunze adabu. Ukikidhi vigezo vya adabu kwa viwango vya juu kabisa ndo unarudishwa. Ukishindwa, basi kaa huko huko!!!

Maisha yenyewe ni mafupi, halafu uje unipe stress, hee! Kazini stress, home stresss badala ya faraja, what the hell!

Mke nitakayemuoa ajipange vzr. Nitamheshimu sana na kumtunza kwa upendo, ila akijifanya kugeuka na kuwa nguruwe muoga tope sitasita nami kugeuka na kuwa chui mfunza tabia!!!

NB: ukichagua vizuri, hutojuta!

.....Maneno hata kwenye kanga yapo......wapo waliokuwa kama wewe lakini wamekuwa wapole baada ya ndoa....omba Mungu usije ukapata kimeo ndugu yangu.....vinginevyo utaoa na kuacha kila siku,.....rudi hapa ukishaingia kwenye ndoa ndipo utanielewa ninachomaanisha......
 
Inategemea mzee ingawa umeshauri kama mwanaume wa kichaga maana ndo wamezoea kumpa mwanamke ukuu....hujataka kabisa kuzungumzia madhaifu ya mkewe ,ukiwa na akili hiyo ni rhs sana kutelekeza ndugu zako kisa mwanamke....kama kuna ugomvi mara nyingi kuna udhaifu pande mbili..mke ana shida na ndugu wana shida..

Ni kweli, mimi mi mchaga (hujakosea)

Lakini, kumbuka nimetoa ushauri kwa kuangalia hali ya tukio na mhemko wa mwandishi. Sijaona cha kuangalia kwa upande wa madhaifu ya mkewe kwasababu najua hakuna aliyekamilika (Kama umeoa lakini); sote tuna mapungufu.

Nimeshauri kwa kuangalia dalili ya maneno ya 'kusikia' pamoja na uhusika wa ndugu nyumbani kwa wanandoa

Kama hujaoa, anza kubadilisha mtazamo wako vinginevyo, ndoa itakuwia ngumu

(Ni mtazamo binafsi)
 
Hayo mambo huwa yanaanzia mbali sana.....

Lakini haya mambo wanaume huwa wanachangia kwa kujua au kutokukujua......

Mwanamke unapomuowa na kuwa mgeni wako muda mwingi anautumia kukusoma taratibu na pia una mtazamo gani juu ya ndugu zako au familia yako........

Wanaume tuepuke kuwasema vibaya ndugu zetu au mambo ya familia zetu mbele ya wake zetu....
 
MKUU NINA DAWA YA KUMTULIZA MKEO AKUSIKILIZE KILA KITU, UNAIPAKA KWENYE RUNGU LAKO, UNASEX NAYE, KWISHA HABARI YAKE, HAPO HATA SALARY YAKE ATAKULETEA YOTE UPANGE MATUMIZ, KAMA UPO TAYARI NIPM NIKUUNGANISHE NA BIBI YANGU HUKO PORINI KABISA.

ILA KUKUELEKEZA DOLA 200 CASH!

HUTAKI PAMBANA NA HALI YAKO.
 
Ndugu zenu nyie wanaume huwa wanachoko choko sana, hata ukiwa sio mtu wa kuongea wataleta zengwe ilmradi tu, ni mnavokuaga na akili za kifalah hamuoni makosa kisa tu ndugu yako....
Muwe mnabeba dada zenu mnaenda kuanza nao maisha
 
I am married and I think I have moral qualification kuliongelea hili.

Kama ndoa yako ni ya kikristo, ushauri wangu ni;
  1. Msikilize mkeo na umpe moral support, amini usiamini, wake zetu wanakabiliana na unyanyapaa asili mwingi sana kutoka kwa ndugu zetu. Nifafanue kidogo, kiasili, mke huonekana kama mgeni kwake na hili muda mwingine huwakera sana regardless ya mchango wake kwenye familia
  2. Kwa ufupi sana, not sure if am too bias or not, nafikiri mkeo yupo sahihi kuwa frustrated. Wewe umeoa na lazima ndugu zako wawe na mipaka ... Kwa cheo, kwako ukitoka wewe ni yeye, ni lazima uwaaminishe ndugu zako hilo, hiyo ndio sheria ya NDOA
  3. Jitathmini kwa kina, na kama mkeo anakuheshimu then mpende sana

(Ni mtazamo binafsi)
like zisizo na idadi....
Hakuna kitu kinakera mtu aje kukuletea mapicha picha ndani ya nyumba yako mwenyewe huku yeye akisema ni kwa (Kaka)
 
Mmh.Nina miaka 17 kwenye ndoa lakini Kabla sijachangia naomba nikuulize maswali mawili madogo 1.Anagombana na ndugu zako wa kike tu au na wa kiume?2.Mke wako ni kabila lako?
 
Mke nae usipomto.mba ipasavyo heshima inakuwa hakuna, hayo mambo yenu ya kusema eti mkeo unamtia kistaarabu wakati mwingine hata humwandai humpi upendo ule wa dhati, unamdharau dharau tu tofauti na awali wakati unaanza nae mahusiano yatawagharimu sana. Ni lazima mara moja moja unamwandalia mpambano tena ikiwezekana ule wa surprise unamtandika ubor hadi anajiuliza mara zote zote kwamba ni ww baba nanliuuuuu au!? Utaona heshima ndani.

Hao wanawake wa kuleteana za kuleta wakitoa kumar zao nje huko ndio wanafumuliwa hadi mishono
 
Kuna wanaume wajeuri huwafanyii Sanaa hizo. Akisha jua mke ndiye mwenye visa kwanza anaacha kula vyakula vyote si cha mchana wala cha usiku.

Mke mwenyewe atapiga magoti
Wangu sijui nani alimfundisha hii mbinu

Nikamwambia usile milele na wala sikumsemesha.

Nashangaa sijui ilikuwaje nikamkuta anapakua.
Mtu akikataa kula aache tu sababu anaweka tumboni kwake.
Halafu kuzira inaweza kuwa chanzo cha tatizo badala ya kutatua tatizo.

Jamaa hebu ongea na mkeo nadhani ana wivu au kuna vimaneno vimeshasemwa huko pembeni.
 
I am married and I think I have moral qualification kuliongelea hili.

Kama ndoa yako ni ya kikristo, ushauri wangu ni;
  1. Msikilize mkeo na umpe moral support, amini usiamini, wake zetu wanakabiliana na unyanyapaa asili mwingi sana kutoka kwa ndugu zetu. Nifafanue kidogo, kiasili, mke huonekana kama mgeni kwake na hili muda mwingine huwakera sana regardless ya mchango wake kwenye familia
  2. Kwa ufupi sana, not sure if am too bias or not, nafikiri mkeo yupo sahihi kuwa frustrated. Wewe umeoa na lazima ndugu zako wawe na mipaka ... Kwa cheo, kwako ukitoka wewe ni yeye, ni lazima uwaaminishe ndugu zako hilo, hiyo ndio sheria ya NDOA
  3. Jitathmini kwa kina, na kama mkeo anakuheshimu then mpende sana

(Ni mtazamo binafsi)
Sure hii kitu ilinitokea
Nilipokuwa natoa taarifa kwa mume anadai mie ndo mbaya

Nikadecide kukaa kimya mpaka kesho nipo kimya,
Atakayenikumbuka inshaallah

Manake ilifikia hatua wanadai namchuna kaka yao hawapewi matumizi halafu nikijiangalia ninajihangaikia peke yangu nabaki kimya tu.

Wanaume wengi hutetea upande wa kwao ila ukija deep down mawifi wana visa fulani fulani hivi
 
Back
Top Bottom