Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

Kuna imani nyingi Potofu juu ya ugonjwa huu....wengine wanasema eti umekula/kulishwa nyama ya Binadamu na Mchuzi wake kudondokea kwenye ngozi.........Ukweli ni ukosefu wa aina fulani ya Protini mwilini na kusababisha kutokutengenezwa kwa kitu kinachoitwa Skin pigment........Ushauri jitahidi kula Nyama nyekundu kwa wingi kiasi isiyochomwa sana.... angalizo Nyama ikaguliwe/kupimwa kuona kama haina madhara, hakika utapona......


MJINI CHAI, Kwahiyo unamaanisha kwamba 'ulaji wa nyama nyekundu kwa wingi' ndo TIBA ya Vitiligo?

-Kaveli-
 
a64ccb70dbc85ff60aeba56e625d00df.jpg

Naomben msaada wa kupata dawa ya hii mambo,,Ahsanteni
 
Hiyo condition ni similar to vitiligo...haina dawa usidanganyike..ushauri wangu ni kwamba ikubali hiyo hali ili uishi kwa amani..ukizingatia haileti bugudha isipokuwa muonekano tu.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom