Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,538
Huu ugonjwa hauna dawaNaomba msaada tafadhari nina rafiki yangu mpenzi ameshambuliwa karibu miaka 15 sasa. Please.
Halafu hauna madhara kiafya maana hauumi wala kuwasha isippkuwa huharibu muonekano wa ngozi
Hivyo dawa ni kujikubali tu