Tatizo la uchumi wa nchi kuendeshwa na madodoki ya vikongwe vya Ulaya

Naton Jr

JF-Expert Member
Oct 5, 2016
7,868
19,258
Ni kitu cha kushangaza sana kwamba uchumi wa kenya unaendeshwa na mihamala kutoka ulaya inayotokana na kazi za aibu na shuruba toka kwa wakenya wanaoishi huko

Wakenya wengi ulaya ni wasafisha vyoo, waogesha vikongwe vya kizungu, cashiers, tellers, clarks, welfare workers na kazi nyingine za shuruba huko McDonald's, KFC and the likes

Kutokana na Corona kucharaza huko ubeberuni haya ndio matokeo yake, uchumi wa kenya umedondoka

Uvivu wa akili na mwili kusubiri watu wahenyeke Ulaya ili wewe uishi vizuri

Screenshot_20200512-140114.png
Screenshot_20200512-140135.png
 
haya-haya-haya doooh! wako wanacheza politics za #Xenophobia# huku! Halafu wazee kule Ulaya na Marekani wamepuputika sasa itakuwaje the next vikongwe wako 40s sasa watastaafu at 65! ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ โ˜

Apparently Kunyaland is not testing Uganda's drivers for coronavirus!

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
haya-haya-haya doooh! wako wanacheza politics za #Xenophobia# huku! Halafu wamepuputika sasa itakuwaje the next vikongwe wako 40s sasa watastaafu at 65! ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ โ˜

Apparently Kunyaland is not testing Uganda's drivers for coronavirus!

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
kikihboy
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo
, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11

LOL Cheki mambo haya

Kenya is not yet independent

EXlOIRTWkAAGxTm.jpg
EXlOI_mXYAEkn3Y.jpg
EXFJtUTXgAAUbSh.jpg
 
Tanzania is a dead state mutalazimisha mambo hadi mtalia siku moja, muna machungu hadi 2020 bado mpo chini ya Kenya, with corona n your delicate, shaky economy, and useless infrastructure economywise, sijui mtakua vipi baada ya hili janga?., your key income areas zimezimwa, hamuoni msha kufa tayari. ni propaganda na porojo ndio imebaki, and a few narrow minded CCM ass lickers kama nyie nikujiliwaza tu na mapungufu ya Kenya exposed by liberal media. What of your darkness? Nawa hurumia sana. Maombi ya watanzania kwa kweli na ijibiwe la sivyo hamna chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee huo ndio ukweli wenyewe, tatizo wanachukia sana kuona nchi nyingine zinafanikiwa bila ya kulamba sehemu za siri za hao mab***ru kama wanavyofanya huko kwao. Now uchumi wao umekufa, pesa za IMF za Covid-19 ni ndogo, hazitoshi miezi 3, wananchi wanalia na njaa..

Ni laana ya usaliti inawamaliza...
Kenya ni nchi yenye kuhitaji maombi, kwao mzungu ni zaidi ya Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom