I ISAYA SANGA Member Feb 9, 2013 18 1 Jun 7, 2013 #1 Jamani nina tatizo la tumbo ambapo maumivu ni mithili ya njaa lakini nimepima hosipitalini US inaonesha sinatatizo.msada
Jamani nina tatizo la tumbo ambapo maumivu ni mithili ya njaa lakini nimepima hosipitalini US inaonesha sinatatizo.msada
I ISAYA SANGA Member Feb 9, 2013 18 1 Jun 7, 2013 Thread starter #3 OK nashukuru kwa ushauli wako. ila kwabahati mbaya nilifanya maludio ya hivi vipimozaidi ya maramoja lakini hakunakitu.
OK nashukuru kwa ushauli wako. ila kwabahati mbaya nilifanya maludio ya hivi vipimozaidi ya maramoja lakini hakunakitu.
mossad007 JF-Expert Member Dec 21, 2012 1,165 850 Jun 7, 2013 #4 Nilipata tatizo km lako ikaonekana nna amoeba baada ya kuchek stool sample
I ISAYA SANGA Member Feb 9, 2013 18 1 Jun 8, 2013 Thread starter #5 Jamani sina sababu ya kusema aksante kwa ushauri wenu nitau fanyia kazi.