Tatizo la tumbo lamda mlefu toka june 2012

ISAYA SANGA

Member
Feb 9, 2013
18
1
Jamani nina tatizo la tumbo ambapo maumivu ni mithili ya njaa lakini nimepima hosipitalini US inaonesha sinatatizo.msada
 
OK nashukuru kwa ushauli wako. ila kwabahati mbaya nilifanya maludio ya hivi vipimozaidi ya maramoja lakini hakunakitu.
 
Nilipata tatizo km lako ikaonekana nna amoeba baada ya kuchek stool sample
 
Back
Top Bottom