Tatizo la Tumbo Kuunguruma

huskryderz

Member
Dec 23, 2011
27
25
Habari wadau, nina tatizo la tumbo linatoa mngurumo ni kwa muda mrefu sana. Nimekwenda hospital nyingi na kuonana na madaktari wengi pamoja na kutumia madawa mbalimbali lakini sikuweza kupata suluhisho la tatizo langu. Kila daktari alikuwa na mtazamo wake wapo waliohisi kuwa nina tatizo la vidonda vya tumbo na nikapatiwa dawa lakini hazikuweza kunisaidia kabisa na wapo walio nipatia dawa nitumie lakini nazo hazija nisaidia.

Tatizo la tumbo langu ni mngurumo tu wala hakuna maumivu na mngurumo unaosikika ni mkubwa sana kiasi kwamba hunifanya kujisikia vibaya.
Mwenye msaada au kama kuna anayefahamu tiba fasaha la tatizo la tumbo kunguruma naomba anisaidie.

Nawashukuru sana.
 
Asante sana kwa ushauri, ila nimejaribu kwenda mpaka Muhimbili hila mafanikio. Labda niendelee kuangalia kuwaona madaktari wengine na hospital nyingine hapa nchini.
 
Ushauri mdogo ni kwamba epuka vinywaji vyenye gesi (carbonated drinks) na aina ya vyakula vyenye kutoa gesi wakati wa mmeng'enyo(mfano maharagwe)

Pia tumia mda mwingi unapoenda haja; ni vizurr chumba chako cha choo kikawa kisafi ili usiwe na haraka ya kutoka unapoingia

Kula kwa mapoz sio haraka haraka, na hasa ukiwa umefunga mdomo ili kuzuia hewa kuingia wakati wa kula...

Badilisha kabisa menu ya chakula chako

Muone daktar hali ikiendelea ndivyo sivyo
 
Ushauri mdogo ni kwamba epuka vinywaji vyenye gesi (carbonated drinks) na aina ya vyakula vyenye kutoa gesi wakati wa mmeng'enyo(mfano maharagwe)...
Wenda aina ya vyakula vinakusababishia hii hali ,badilisha kabisa menu yako ya chakula pia kunya maji mengi kupunguza gesi tumboni
 
Hilo tatizo hatamimi huwa linitokea but nilikuja kugundua kuna vyakula nikila husababisha sana, mojawapo maziwa Frexh huwa napata tabu lazima lingurume sana...usipiteshe mda wa kula kama mdau alivyoshauri hapo itasaidia pia.
 
Una miaka mingapi? wakati mwingine huwa na chango la tumboni ambalo linaweza kuathili hata mbegu za uzazi,ongea na wazee ulipige mitishamba ya kutosha,litapungua kuunguruma lakini usitake liache kabisa maana wakati mwingine ni gesi ama unakuwa umebanwa haja kubwa
 
Una miaka mingapi? wakati mwingine huwa ni chango la tumboni ambalo linaweza kuathili hata mbegu za uzazi,ongea na wazee ulipige mitishamba ya kutosha,litapungua kuunguruma lakini usitake liache kabisa maana wakati mwingine ni gesi ama unakuwa umebanwa haja kubwa
 
Habari wadau, nina tatizo la tumbo linatoa mngurumo ni kwa muda mrefu sana. Nimekwenda hospital nyingi na kuonana na madaktari wengi pamoja na kutumia madawa mbalimbali lakini sikuweza kupata suluhisho la tatizo langu. Kila daktari alikuwa na mtazamo wake wapo waliohisi kuwa nina tatizo la vidonda vya tumbo na nikapatiwa dawa lakini hazikuweza kunisaidia kabisa na wapo walio nipatia dawa nitumie lakini nazo hazija nisaidia.

Tatizo la tumbo langu ni mngurumo tu wala hakuna maumivu na mngurumo unaosikika ni mkubwa sana kiasi kwamba hunifanya kujisikia vibaya.
Mwenye msaada au kama kuna anayefahamu tiba fasaha la tatizo la tumbo kunguruma naomba anisaidie.

Nawashukuru sana.
Itakuwa Amoeba hiyo..... kapime na dawa nzuri ni Norfloxacin Tinidazole 5/7...... wengine wanaita Conaz
 
Habari wadau, nina tatizo la tumbo linatoa mngurumo ni kwa muda mrefu sana. Nimekwenda hospital nyingi na kuonana na madaktari wengi pamoja na kutumia madawa mbalimbali lakini sikuweza kupata suluhisho la tatizo langu. Kila daktari alikuwa na mtazamo wake wapo waliohisi kuwa nina tatizo la vidonda vya tumbo na nikapatiwa dawa lakini hazikuweza kunisaidia kabisa na wapo walio nipatia dawa nitumie lakini nazo hazija nisaidia.

Tatizo la tumbo langu ni mngurumo tu wala hakuna maumivu na mngurumo unaosikika ni mkubwa sana kiasi kwamba hunifanya kujisikia vibaya.
Mwenye msaada au kama kuna anayefahamu tiba fasaha la tatizo la tumbo kunguruma naomba anisaidie.

Nawashukuru sana.
Mi pia ilo tatzo linansumbua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom