johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,808
- 141,710
Ardhi tunayo,siasa safi ipo na uongozi bora tunao.Je watu wapo au wamejazana binadamu tu?Mwalimu alisema ili tuendelee tunahitaji hivyo vitu vinne binafsi naona taifa limepungukiwa na "watu" wewe mwenzangu unaonaje?Karibu tudadavue