Tatizo la system charge

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
372
119
Wadau na wataalamu. Simu yangu ilikuwa na tatizo la mfumo Wa chaji. Unaweka chaji Leo basi mpaka kesho ni 3% tu. Nikanunua charger tatizo bado. Sasa nimepeleka kwa FUNDI akaniambia kuna tatizo katika charging system na akanirekebishia. Tatizo likapona kiasi japo charge inaingia isipokuwa kwa kuchelewa tofauti na hapo awali. Lakini pia ikijaa 100% inashuka faster sana.. Na betri ni ya ndani kwa ndani kwa maana kwamba siwezi kuibadilisha. MSAADA WENU PLEASE CHA KUFANYA mbali na kuuza
 
Betri unaweza kubadilisha hata kama ni la ndani, nenda kwa fundi akubadilishie kama tatizo ni betri,
Hayo mabetri yapo
 
Kama chaji inaingia ila haijai hapo swala ni chaja yenyewe.

Betri inaweza kubadilishwa, ukiamua.

Kuisha fasta pia huchangiwa na chaja unayotumia.

Mi naona anza kwa kubadilisha chaja kwanza
 
Hivi kumbe yawezekana? Huwa najua simu za internal battery ikifa ndo basi
Zipo nyingi tuu, ila changamoto ni kwamba uende kwa fundi akuwekee, maana ni lazima simu ifunguliwe.
Na inapendeza zaidi kama utampa fundi mwenyewe akutafutie iyo betri, maana zinajaribiwa kabla ya kununuliwa ili usije ukauziwa mbuzi kwenye gunia
 
Back
Top Bottom