Wernery G Kapinga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 372
- 119
Wadau na wataalamu. Simu yangu ilikuwa na tatizo la mfumo Wa chaji. Unaweka chaji Leo basi mpaka kesho ni 3% tu. Nikanunua charger tatizo bado. Sasa nimepeleka kwa FUNDI akaniambia kuna tatizo katika charging system na akanirekebishia. Tatizo likapona kiasi japo charge inaingia isipokuwa kwa kuchelewa tofauti na hapo awali. Lakini pia ikijaa 100% inashuka faster sana.. Na betri ni ya ndani kwa ndani kwa maana kwamba siwezi kuibadilisha. MSAADA WENU PLEASE CHA KUFANYA mbali na kuuza