Tatizo la storage space kwenye simu

imbegete

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
1,299
989
Wakuu, heri ya mwaka mpya. Nimenunua simu aina ya sony experia kwa wale vijana wanaoshikilia mikononi. Nikaanza kudownload application mbalimbali, nilianza na Whatsapp ikenda vizuri tu, then nikadownload Jamiiforums, nayo haikuwa na tatizo, ile namaliza facebook ikakataa na ku sema, "insufficient storage space / storage space running low. Jana nikanunua 16GB memory card, lakini tatizo liko palepale. Nikicheki space, nakuta 3.6GB out of 4.0 GB internal memory available, na 14.1 GB of external storage available! Any help please!!.
 
simu za kuuziwa mkononi nyingi ni fake... inaweza soma internal storage kama 16gb kumbe ndani hazifiki hata mbili.
 
Ulinunua sh. ngapi mkuu? Huwa naziogopa sana simu za wale vijana
 
Back
Top Bottom