Tatizo la sikio kuuma na kutoa usaha, Tiba na ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la sikio kuuma na kutoa usaha, Tiba na ushauri

Discussion in 'JF Doctor' started by dony2680, Feb 18, 2012.

 1. dony2680

  dony2680 JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kwanza natanguliza shukrani kwa JF wote na hasa madokta wa JF kwa moyo wao wa kujituma.

  Mimi nina tatizo la sikio langu la kulia kutoa usaha, na hili tatizo limeshakuwa la muda mrefu,nimeshajaribu kutumia dawa za kienyeji mpaka za hospitalini lakini ninachoambulia ni kustop kwa mda and then tatizo unirudia tena.

  Naombeni msaada tafadhali.

   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Pole sana ndugu.

  Nakushauri utafute daktari bingwa wa masikio (ENT), umuone. Na akikupa dawa uzitumie na akikuambia urudi tena uzingatie kwa wakati.

  Kurudia kwa tatizo baada ya muda ni dalili kuwa matibabu uliyopata japo ni sahihi yanakuwa hayatoshelezi. Inawezekana ukahitaji kufanyiwa culture ili kupata tiba sahihi.

  Pole na kila la kheri.
   
 3. dony2680

  dony2680 JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Asante sana king'asti,nafikiri labda itakua ndio tatizo kwa,nitajitaidi kuonana na madoctor wa Bmc
   
 4. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hii kama ni ya muda mrefu inaitwa chronic otitis media, kwa kuwa umeshatumia dawa nyingi then hapa siwezi kukushauri utumie dawa gani, ila nenda hospital kitengo cha ENT kama alivyosema King'asti. Pale muhimbili wapo wengi mfano Dr Edwin, Dr Kimario au Prof. Mushi kama hajastaafu. Wacheki hawa watakusaidia.
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Jaribu Dawa yangu kisha unipe feedback chukua punje tatu za kitunguu thaumu uziponde kisha utie maji kijiko kimoja achanganye vizuri.Halafu uchukue mchanganyiko huo vitone vitatu utie kwenye sikio linalouma mara mbili kwa siku muda wa wiki. Inshaallah sikio litapona.
   
 6. dony2680

  dony2680 JF-Expert Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Mh!kama kweli nitapona doctor mtimkavu nitashuru na nitakupm.asante sana
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Utapona kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu inshallah.....
   
 8. dony2680

  dony2680 JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Nimeanza doz jana usiku mm
   
 9. E

  ENGINE CONTROL Senior Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 139
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mkuu tafuta majani ya BANGI yawe mabichi yatafune au yafikiche na kamulia kwenye sikio mchuzi wake kama matone 2 matatu hivi.

  Ni bonge la dawa ni kiboko ya masikio yatoayo usaha.
  Ninuhakika nayo na uthibitisho nayo 100%.
   
 10. dony2680

  dony2680 JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 318
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  @ dr mti mkavu ili majani ya bangi limekaaje?
   
 11. Kilimo

  Kilimo JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 27, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  hata mie niliwahi kusikia kuwa majani ya bangi yanatibu maskio yanayotoa usaha lakini cfahamu process yenyewe. pole sana rafiki, plz fuata ushauri wote unaopewa hap JF.
   
 12. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #12
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Dawa nzuri ya sikio ni ipi??napata tabu frnds!
   
 13. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #13
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,004
  Likes Received: 3,187
  Trophy Points: 280
  Elezea una tatizo gn.
   
 14. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #14
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,431
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  mafuta ya kuku
   
 15. chrisman49

  chrisman49 JF-Expert Member

  #15
  Oct 17, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 713
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  skio la upande wa kushoto!!
   
 16. K

  KWA MSISI Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 17. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Kuna bacterial infection, fungal infection, viral infection na trauma pia.

  Je tatizo lako ni lipi?
   
 18. Mgariga

  Mgariga Senior Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 1, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Tafuta mafuta ya Kuku. ni tiba nzuri na ya Asili
   
 19. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  samahani kwa kudandia hoja.ila nami nina tatizo hlo hlo la sikio huu mwaka wa 20 sasa
  1.ni la kushoto.
  2.linatoa usaha hasa sehemu za baridi na kama kuna mawingu mazito
  3.likiingia upepo tu,silali
  nb.nimetumia dawa nyingi mfano mafuta ya kuku,simba,mbuni na punda.Pia nimetumia dawa za hospitalini na za kienyeji lakini wapi.Mfano nimetumia hizi wazouza maduka ya dawa mfano Boric Acid.Msaada tafadhali
   
 20. mpalu

  mpalu JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2013
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 2,488
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Wakuu!Mwenzenu nasumbuliwa na tatizo(ugonjwa) wa/la masikio kutoa usaha, tangu nikiwa mtoto mdogo kabla hata sijapata ufahamu sikio langu moja hutoa usaha......Tatizo hili nimeishi nalo kwa kwa muda mrefu mpaka hivi sasa nina 20's bado tu linanisumbua...... nimetumia dawa kibao za hospitali na mitishamba lakini wapi mpaka hivi sasa nimechoka kiasi kwamba wakati mwingine nawaza aliyeniloga ashakufa...........hatua niliyofikia naona kawaida tu na nishakata tamaa ya kupona .....kwa ujumla huwa linanikosesha uhuru sana kwani muda wote popote nilipo lazima niwe kimachalemachale na pamba zangu na vijiti ili kudhibiti huo uchafu......

  MWENYE KUIFAHAMU TIBA YAKE YA UHAKIKA TAFADHALI!
  CC. MziziMkavu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...