Tatizo la 'school name not found' HESLB

caiden mills

Member
Jul 13, 2019
49
19
Kwa anayeelewa juu ya Jambo Hili inakuajeh kuna effect zozote kwa muombaji maake ukiandika namba ya shule inaleta jina but ukiprint form inakuja sehemu ya advance pameandikwa school name not found
 
Hivi wataongeza muda kwelh hata mpaka ijumaa ?maana wengine hatuja pata verified birthcertificate from RITA .
 
Back
Top Bottom