Tatizo la Samsung Galaxy s7 edge

Jiwe kuu01

JF-Expert Member
Jul 30, 2020
228
86
Wakuu habari zenu,

Naiman mu wazima wa Afya.

Wakuu Nina simu yangu Samsung Galaxy S7 edge ina tatizo kubwa linalo ninyima raha

Wakuu simu yangu haikai na charge yan nikicharge nikifungua data hayapiti masaa manne charge yote inaisha nimejaribu kubadili betry lakin tatzo liko vile vile

Wakuu nimefikiria kui root simu yangu je Niki i root Hili tatizo la kutokaa na charge litakwisha?? Wakuu naombeni msaada wenu TAFADHARI
 
Samsung shida yake kubwa ni charge..hapo bado haijaanza kuzima yenyewe hata ikiwa na 80%
 
Hizi brand zinawapa utumwa watu mimi natumia tecno phantom 9 ina Ram 6:00Gb Rom 128Gb CPU 2.3Hz*8 etc. huwa sizimi data natoka asubuh ipo full charge nikirud home jioni utakuta battery percentage ipo thelathini na kitu maisha ni kuchagua never be a slave of brands but quality
 
Samsung shida yake kubwa ni charge..hapo bado haijaanza kuzima yenyewe hata ikiwa na 80%
Natumia s7 kavu
Na s7 edge gb 128 duos

S7 kavu inakaa chaji masaa 17
Masaa 9 data on non stop na FHD

S7 edge gb 128 duos inakaaa chaji masaa 27
Ikiwa data on non stop Masaa 13 FHD
Sio Samsung zote babu...
Mwambie huyo
Ni kwel mkuu Kuna baadhi ya Samsung Kama note 8 inakaa na charge had unahic raha
Kweli kabisa mm nina s7 edge duos 8 akaa chji kinoma
Hizi brand zinawapa utumwa watu mimi natumia tecno phantom 9 ina Ram 6:00Gb Rom 128Gb CPU 2.3Hz*8 etc. huwa sizimi data natoka asubuh ipo full charge nikirud home jioni utakuta battery percentage ipo thelathini na kitu maisha ni kuchagua never be a slave of brands but quality
Hiyo simu yako ya TECNO na yangu hii ninayotumia Samsung S7 edge duos gb 128 niki optmize mfno nikaweka HD displays background used apps Cpu speed limit nk
inauwezo wa kukaa 24 hours na data on hivyo ndugu usikalili na hapa ili ni toleo la 2017 old sana bado sijazungumzia matoleo ya miaka ya hivi karibuni ambayo yameiprove zaidi kwenye battery

Tukirudi kwa jamaa hapo tatizo siyo battery ni simu tafuta tu SAKITI nyingne hata ukiroot tatizo litakuwa vilevile
Nilikuwa na s7 kavu ilikuwa na wenge kama hilo nikauza tu kama kioo nikanunua nyingne ambayo ndo natumia sasa
 
Screenshot_20201121-011546.jpg
Galaxy s7 na s7 edge zina betri ya 3000mAh.

Ni betr ya kawaida sana hii. Kwamfano ukiangalia tecno povour 3Air ina betr ya 5000mAh ,ndio maana zinakaa sana na chaji mkuu.

Kwahyo sas unatakiwa uangalie namna yakumanage matumiz ya simu hiyo ,.imiwepo kutokuitumia wakat inacharge.

Ninayashuhudia haya maana hat mm ni mtumiaj wa galaxy s7 piah.

Kuna application itakusaidia kumanage matumiz ya charge kwa asilimia kadhaa inaitwa greenfy
2020-11-21-01-45-42.jpg
hii huwa inafanyakazi yakuziweka app zote ambazo hauzitumii mkwa mda huo ili zisidrain charge .
 
Attachments

  • Screenshot_20201121-014012.jpg
    Screenshot_20201121-014012.jpg
    76.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20201121-014012.jpg
    Screenshot_20201121-014012.jpg
    76.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20201121-011742.jpg
    Screenshot_20201121-011742.jpg
    87.8 KB · Views: 4
Hizi brand zinawapa utumwa watu mimi natumia tecno phantom 9 ina Ram 6:00Gb Rom 128Gb CPU 2.3Hz*8 etc. huwa sizimi data natoka asubuh ipo full charge nikirud home jioni utakuta battery percentage ipo thelathini na kitu maisha ni kuchagua never be a slave of brands but quality

kwa hiyo unataka kusemaje???

Kwamba iphone 7 zote zina shida??

Huyo jamaa kauziwa simu Tefub toka china. unaweza ikuta Nzima au mbovu.

Usifaninishe Tecno yoyote na Samsung S7
 
Hizi brand zinawapa utumwa watu mimi natumia tecno phantom 9 ina Ram 6:00Gb Rom 128Gb CPU 2.3Hz*8 etc. huwa sizimi data natoka asubuh ipo full charge nikirud home jioni utakuta battery percentage ipo thelathini na kitu maisha ni kuchagua never be a slave of brands but quality
Sasa hiyo tecno ina quality gani? Hiyo mtk ndio inakupa raha? Au hiyo emmc storage? Kuna simu zenye quality lakin sio hyo tecno...

Jamaa kanunua refubished ndio kakutana na hayo majanga...ila s7 isiyo na shida inakaa vizur tu na charge

Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom