tatizo la password baada ya ku update nokia N8 to symbion belle | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tatizo la password baada ya ku update nokia N8 to symbion belle

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Aristolicius, Aug 31, 2012.

 1. A

  Aristolicius Senior Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  baada ya ku update simu ya N8 kutokea symbian anna hadi belle imekuwa ikihitaji password kila ninapoiwasha inahitaji password though ukiingiza wrong code up to 5 times inatishia kublock simu ila haiblock,nawezaje kufanya isiombe hiyo password
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Aug 31, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,789
  Likes Received: 7,111
  Trophy Points: 280
  so unaitaka password au unataka namna ya kuiondoa. kama unataka password ni 12345 na jinsi ya kuiondoa nenda setting katika security.

  ila kama ni hii world wide issue ya ku update nokia belle jaribu solution hizi zifuatazo

  solution ya 1
  bonyeza button ya kuzima simu kidogo tu (usibonyeze sana itazima) kuna kimenu kitatokea chagua lock phone itakuambia enter security code eka code yoyote ambayo utaikumbuka badae halafu ok ur done tatizo solved

  solution ya 2
  kukumbuka security code yako ya zamani

  solution ya 3
  hii nimeitoa kwenye faq za belle
  Q: After the update to Nokia Belle, my phone asks me to enter new security code. I do this and get an error message stating "code error". What should I do?
  A: Please try again a few times. There are very rare cases in which the phone incorrectly asks for new a security code but does not accept the entered code. In that situation the problem vanishes by entering any code until the phone stops asking for it. After this, the code you had entered before the update works again normally


  solution ya 4
  jaribu kuinstall upya belle os kwa kutumia nokia suite (sio pc suite)
  link; http://nds1.nokia.com/files/support/global/phones/software/Nokia_Suite_webinstaller_ALL.exe
   
 3. A

  Aristolicius Senior Member

  #3
  Aug 31, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 113
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  aicee nimejaribu option zote 3 za hapa juu zimegoma ila thanx 4 ur help labda nijaribu ya kuinstall upya
   
Loading...