Tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

Discussion in 'JF Doctor' started by JamiiForums, Nov 25, 2011.

 1. JamiiForums

  JamiiForums Official Robot Staff Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 5,095
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  [​IMG]


  Tatizo la Nguvu za Kiume na Suluhisho lake

  Makala hii ni maalumu kwa ajili ya wanandoa tu na si vinginevyo au kama elimu kwa wanandoa watarajiwa. Muogope Mungu uzinzi ni dhambi kubwa sana.

  Katika kilele cha mwisho kabisa cha furaha katika maisha ya ndoa, kama inavyofahamika, ni sherehe inayopatikana katika tendo lenyewe la ndoa. Hata hivyo, ili furaha ipatikane ni lazima tendo lenyewe lifanyike katika hali ya afya kwa wanandoa.

  Nguvu za kiume
  ni istilahi inayotumika mara nyingi kurejelea uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa'. Na inapokuwa kinyume chake, tunasema ni kupungua au kukosa nguvu za kiume'. Kupungukiwa kwa nguvu za kiume hutofautiana. Inaweza kuwa ni kujumuisha hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume, au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha.

  Licha ya hivyo, elimu mhimu kabisa ambayo mwanaume anapaswa kuifahamu ni kuwa, nguvu hizi hazitoki katika madawa ya kemikali au pahala pengine; zinatoka katika vyakula tu.

  Kwanini wanaume huishiwa nguvu za kiume?

  Kuishiwa nguvu za kiume ni tatizo la kawaida kwa wanaume. Ni hali ya kushindwa kwa uume kudumu kusimama barabara kwa ajili ya tendo la ndoa, au kuwahi kufika kileleni.

  Hatari ya kupungukiwa nguvu za kiume huongezeka kutokana na umri. Kulingana na tafiti za kitabibu, wanaume wenye umri kuanzia miaka 60 tatizo hili ni kubwa kwao kuliko wanaume wenye umri wa miaka 40.

  Wanaume wenye elimu ndogo juu ya utendaji kazi wa mwili na afya ndio wanaokabiliwa sana na tatizo hili. Hii ni kwa sababu wanashindwa kuelewa aina ya chakula kinachoongeza nguvu za kiume na za mwili kwa ujumla, mtindo wa maisha wanayotakiwa kuishi ili kupunguza hatari hiyo, wanakunywa pombe na hawafanyi mazoezi ya viungo. Mazoezi ya mwili hupunguza hatari ya kupungukiwa nguvu za kiume.

  Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume linaweza kuwa na sababu za kihisia (emotional causes) lakini sababu nyingine hutokana na maradhi kama vile kisukari na shinikizo la juu la damu.

  Inakadiriwa kuwa asilimia 50 hadi 60 ya wanaume wenye maradhi ya kisukari wana tatizo la uume kushindwa kusimama. Watu wanaosumbuliwa na kiharusi na ulevi nao wana hatari kubwa sana kwa sababu ya uharibifu wa korodani (testicles) kutokana na ulevi sugu na kupoteza testerone. Pombe hupunguza kwa kiasi kikubwa uzalishaji wa manii (mbegu za kiume).

  Watu wanaosumbuliwa na shinikizo la damu, magonjwa ya tezi, majeraha (kama vile kutokana na upasuaji wa viungo vya uzazi), matumizi ya dawa zenye kemikali bila mpangilio au ushauri wa wataalamu na maradhi ambayo hudhoofisha mtiririko wa damu kwenye uume. Hata hivyo, upungufu wa nguvu za kiume unatibika katika umri wa rika zote.

  Kwa wenye maradhi kama hayo ni bora kwanza kuwaona wataalamu wa tiba. Kwa ujumla, mtaalamu atafanya uchunguzi kimwili na maabara ya uchunguzi. Hii itaruhusu yeye kupata kushughulika vizuri juu ya tatizo, hali ambayo itamweka aendelee kutafiti chaguzi mbalimbali za tiba. Mhimu ni lazima kushauriana na daktari kwa ushauri juu ya matibabu ambayo ni bora.

  Baadhi ya vipengele ambavyo daktari atahitaji kuvifahamu kabla ya kuanza kukutibu tatizo la kuishiwa nguzu za kiume ni pamoja na;
  • Umri wa mgonjwa
  • Jumla ya afya kwa sasa
  • Utendaji wa tendo la ndoa zamani na sasa
  • Migogoro ya ndoa, kifamilia, kazi n.k
  • Ni nini malengo ya tiba ?
  Kutafuta mtaalamu mzuri ni njia nzuri na ya kwanza katika kupata tiba sahihi. Ni mhimu kwanza wewe kujisikia vizuri na kumwamini daktari wako, kisaikolojia utakuwa umepiga hatua ya kwanza ya kupata nafuu ya maradhi yanayokukabili.

  Sababu zipi zinasababisha uume kushindwa kusimama?

  Kushindwa kwa uume kusimama pia hujulikana kama kuishiwa nguvu za kiume. Ni kitendo cha mtu kushindwa kusimamisha uume au kudumisha usimamaji wa uume kwa muda wa kutosha kufanya tendo la tendo na mwenzake. Lakini wakati hii inaweza kumfikisha mwanaume katika upeo wa raha (orgasm), hali hii humwacha mwanamke akiwa hakuridhika. Mke wako hukutaka ukawie ikiwezekana ukawie zaidi. Kama mwanaume hataweza kukawia, basi anakuwa hampi raha mke wake.

  Hata hivyo, kama una tatizo la kuwahi kufika kileleni hauko peke yako. Takribani asilimia 30 hadi 40 ya wanaume wa rika zote wana tatizo hili. Lakini vile vile kufahamu tu kuwa wanaume wengine pia wana tatizo kama lako haitakusaidia kuondoa shida inayokukabili.

  Habari nzuri kwa wanaume ikiwa ni pamoja na wewe ni kwamba kuna njia zenye manufaa makubwa kabisa ya kumaliza tatizo hili na wakati huo huo zikiwa ni rahisi sana.

  Kuna wakati kushindwa kusimama uume kunaweza kuonekana kama si tatizo lakini wakati hali hiyo inapoendelea kwa muda mrefu inaweza kuleta hisia ya dhiki kubwa kwa mme na mke wake. Lakini hata hivyo, sababu za kawaida zinazosababisha uume kushindwa kusimama ni pamoja na matatizo ya mhemko kama vile;
  • Wasiwasi
  • Hofu
  • Msongo/Stress
  • Hasira
  • Huzuni
  • Ukosefu wa hamu katika mapenzi
  Ili kuwa na uwezo wa uume kusimama panahitajika;
  1. Mfumo wa neva ulio na afya nzuri ambao unapeleka mpwito neva (nerve impulses) katika ubongo, uti wa mgongo na uume.
  2. Mishipa ya ateri iliyo na afya ya ndani na iliyo karibu na corpora cavernosa
  3. Misuli laini yenye afya na tishu za ufumwele (fibrous tissues) ndani ya corpora cavernosa na
  4. Kiwango sahihi cha oksidi nitriki (nitric oxide) ndani ya uume.
  Kushindwa kwa uume kusimama kunaweza kutokea kama kipengele kimojawapo katika hivyo vilivyotajwa hapo juu hakipo. Pia sababu zingine za kupunguwa kwa nguvu za kiume, kushindwa kwa uume kusimama, au kuwahi kufika kileleni ni pamoja na;
  • Umri
  • Maradhi ya kisukari
  • Kujichua/Punyeto
  • Uzinzi
  • Ukosefu wa Elimu ya vyakula
  • Kutokujishughulisha na mazoezi
  • Shinikizo la juu la damu
  • Maradhi ya moyo
  • Uvutaji sigara/tumbaku
  • Utumiaji uliozidi wa kafeina
  • Kudhurika kwa neva au uti wa mgongo
  • Madawa ya kulevya kama vile bangi, heroini, kokeini, na pombe
  • Kiwango kidogo cha testerone
  • Kuumia kwa kinena (groin) au kuharibika
  • Athari kutoka kwa baadhi ya dawa ikiwa ni pamoja na madawa ya kwa ajili ya kutibu huzuni, maradhi ya moyo, shinikizo la damu na kifafa (epilepsy) na kadharika. Na madawa kama vile; Estrogen, Antiandrogens (flutamide), Lupron, Proscar, Diuretics, Methyldopa, Beta blockers, Calcium channel blockers, Tranquilizers (vitulizaji), Decongestants, Seizure medications, Madawa ya kupunguza kolesto, Cimetidine (dawa ya vidonda vya tumbo), Digoxin na kadharika.
  Uhusiano wa nguvu za kiume na mzunguko wa damu:

  Nini kinachofanya uume usimame?

  Kwa haraka unaweza kujibu ni msisimko. Naam, unaweza kuwa sahihi. Lakini msisimko ni matokeo. Kuna kinachosababisha msisimko huo. Bila hicho, msisimko hauwezi kutokea.

  Kila mwanaume anapaswa kuwa na jibu sahihi la swali hili, ili atakapoona tatizo ajuwe pa kuanzia na pa kumalizia. Hata kama si kwa undani, Elimu ya kujijuwa jinsi mfumo wako wa mwili unavyofanya kazi ni mhimu sana kwa kila mtu na si kwa madaktari pekee kama ilivyo dhana ya watu wengi.

  Kutokuwa na chochote kichwani kuhusu miili yetu ndiyo sababu kubwa inayotufanya kuparamia madawa kiholela na hivyo kujidhuru badala ya kujitibu.

  Kinachofanya uume usimame ni mzunguko wa damu. Na kabla hujaendelea kusoma tambua jambo moja mhimu; ''Asilimia 94 ya damu ni maji''. Hii ni kusema katika kila lita 10 za damu, lita 9 kati ya hizo 10 ni maji. Kwa kifupi maji ndiyo kila kitu mwilini na kama bado unasubiri kiu ndipo unywe maji na tena unakunywa maji ya baridi ya kwenye friji, POLE SANA

  Mzunguko wa damu unaofanya kazi vizuri kama inavyotakiwa na usio na hitilafu yeyote ni kipengele mhimu sana katika kusimama kwa uume wako.

  Kwanini?


  Mzunguko wa damu ulio katika afya njema husambaza damu ya kutosha katika viungo vyako vyote vya mwili wako ikiwa ni pamoja na kwenye mishipa ya uume wako. Hii ni kwamba hata kama utagusana na mwanamke hautaweza kufanya chochote kama damu haizunguki katika viungo vyako inavyostahili. Tazama mtu aliyekufa, damu haizunguki, je anafanya chochote? Hata hivyo huo ni mfano wa juu zaidi.

  Ina maana kwamba, chochote ambacho huzuia mtiririko wa damu kwenda kwenye uume kinaweza kuzuia kusimama kwa uume. Kama mishipa yako ya vena na ateri imeziba, mwili wako hautaweza kusimamisha uume. Hii ni kwa sababu uume hautapata damu ya kutosha.

  Mara nyingi vena zilizoziba sababu ya mzunguko dhaifu wa damu ni sababu ya kushindwa kusimama uume kwa wanaume walio na umri zaidi ya miaka 60, wanaume wenye kisukari na pia wanaume wenye ateriosclorisis (hali ya ugonjwa inayosababishwa na kukauka kwa vijiateri vya ateri), na wenye maradhi ya moyo.

  Kwa watu wengi, sababu ya kuishiwa nguvu za kiume ni mlo wa mafuta mengi ambayo yanaweza kuzuia mtiririko mzuri wa damu kwenye uume. Inashauriwa pia kuepuka vinywaji na vyakula vilivyosindikwa viwandani.

  Katika tendo la ndoa kwa mwanaume, mishipa ya ateri ina nafasi kubwa sana kutokana na kazi yake ya usafirishaji wa damu kwenda sehemu mbalimbali za mwili, hivyo unashauriwa kujifunza namna ya kutunza ateri za mwili wako ili kuruhusu mtiririko mzuri wa damu mwilini mwako.

  Pia ni jambo la busara sana kuwaona wataalamu wa tiba kuhusu unavyojisikia na jinsi unavyohisi kuwa pengine unaweza kuwa na tatizo katika mishipa yako ya ateri. Jaribu kujenga utaratibu wa kuwa unajichunguza mara kwa mara kama utahisi kunyemelewa na tatizo hili. Baadhi ya watu hufanya maradhi kuwa sugu kwa sababu ya kutopendelea kujichunguza mara kwa mara hadi wauguwe taabani, huku ni kukosa kuelewa na kushindwa kujithamini mwenyewe.

  Jitibu tatizo la kupungua nguvu za kiume:

  Katika kujitibu tatizo hili jambo la kwanza ni kuelewa ni nini kimesababisha tatizo hilo kwa upande wako.

  Ikiwa unasumbuliwa na mfadhaiko/stress uangalifu mkubwa unahitajika kabla ya kuamua kutumia dawa yoyote. Katika hali ya mfadhaiko wa akili utokanao na hali ya kushuka kwa uchumi kwa mfano, wanandoa wanapaswa kuwa ni wenye umoja na kujaliana zaidi, shida ni pale kama mke akili yake ni ndogo kwani badala ya kufunga na kuomba huenda akaenda kukutangaza kwa majirani!.

  Kama tatizo limesababishwa na magonjwa kama kisukari, shinikizo la juu la damu au uzito kupita kiasi ni vema ukajitibu kwanza na maradhi haya. Tatizo ni kuwa watu wameaminishwa kwamba maradhi haya hayana dawa jambo ambalo si kweli, kisukari, shinikizo la damu na hata uzito ni magonjwa yanayotibika kabisa hasa kwa kutumia dawa mbadala na kufuata muongozo sahihi katika kula na kunywa kwa kipindi cha majuma kadhaa.

  Kama tatizo linatokana na matumizi ya vilevi, hatua ya kwanza ni kuviacha kwanza hivyo vilevi. Ndiyo kuviacha kwanza, unatakiwa ujiulize mwenyewe kipi ni mhimu kwako ndoa yako au hivyo vilevi? Mtu anayejali vilevi kuliko hata afya yake hafai. Na kanuni ni hii; ukitaka uzuri ni lazima udhurike kwanza. Kuna watu wanajidanganya kwamba ukitumia sijuwi kilevi fulani nguvu zinaongezeka, ni kweli zitaongezeka hapo mwanzoni mwa matumizi ya hicho kilevi lakini kadri siku zinavyoenda ndivyo utakavyoendelea kuwa mtegemezi wa hicho kilevi na itafika siku hata hicho kilevi hakitasaidia kitu na hapo ndipo hatari zaidi ya kutotibika tatizo lako itakapojitokeza.

  Vyakula vinavyotibu tatizo la nguvu za kiume ni pamoja na vifuatavyo;

  1. Kitunguu swaumu
  [​IMG]

  Chukuwa punje 10 mpaka 15 za kitunguu swaumu, menya na uzikate vipande vidogo vidogo kisha meza na maji vikombe 2 kutwa mara 2 kwa mwezi mmoja.

  2. Tikiti maji

  [​IMG]

  Kula tikiti maji kila siku huku ukitafuna na zile mbegu zake, fanya hivi siku zote.

  3. Ugali wa dona

  [​IMG]

  Kula ugali wa dona kila siku. Ni mhimu kuachana na mazoea ya kula ugali wa sembe. Ugali wa dona una virutubisho vingi na mhimu kwa ajili ya afya ya mwanaume. Kama ugali wa dona unakukera jaribu kufanya hivi, chukuwa mahindi kilo 10 ongeza ngano kilo 3 na usage kwa pamoja, ugali wake huwa ni mlaini, mzuri na mtamu na unaweza kula na mboga yoyote tofauti na lile dona la mahindi peke yake. Fanya hivi katika familia yako kwa maisha yako yote. Kama utahitaji unga huu wasiliana na mimi.

  4. Chumvi ya mawe

  [​IMG]
  Chumvi ya mawe ya baharini ile ambayo haijasafishwa au haijapita kiwandani ina mchango mkubwa sana katika kutibu tatizo hili. Tumia chumvi hii kwenye vyakula vyako kila siku.

  5. Maji ya kunywa

  [​IMG]

  Kunywa maji ya kutosha kila siku bila kusubiri kiu. Kila mtu anahitaji glasi 8 mpaka 10 za maji kila siku. Maji ni mhimu katika kuongeza damu, kusafisha mwili na kuondoa sumu mwilini.

  6. Mbegu za maboga

  [​IMG]

  Ziloweke katika maji yenye chumvi, zikaushe. Zikaange kidogo bila kuziunguza. Tafuna mbegu 30 kutwa mara 3 kwa muda wa mwezi mmoja. Mbegu hizi sifa yake kubwa ni kuongeza wingi wa mbegu za kiume (manii), kama unatatizo la kuwa unatoa manii machache (low sperm count) basi hii ni mhimu sana kwako. Kama eneo ulipo hazipatikani waweza kuwasiliana na mimi.

  7. Asali na Mdalasini
  [​IMG]

  Chukuwa lita moja ya asali safi ya asili ambayo haijachakachuliwa, ongeza vijiko vikubwa 4 vya mdalasini ya unga changanya vizuri pamoja. Lamba kijiko kimoja kikubwa cha chakula kila unapoenda kulala. Fanya hivi kwa mwezi mmoja. Kama utahitaji asali wasiliana na mimi.

  8. Unga unga wa udishe

  [​IMG]

  Unga unga wa mti wa udishe ni mzuri sana katika kutibu tatizo la nguvu za kiume na pia unasaidia sana kwa wanaume wenye tatizo la nguvu za kiume lililosababishwa na kujichua au kupiga punyeto kwani huimarisha sana mishipa ya uume.

  Kuna matangazo mengi juu ya mitishamba inayoweza kutibu tatizo hili lakini naweza kukuhakikishia kuwa mti huu kweli unafanya kazi, utakupa nguvu sana hata kwa watu wenye umri mkubwa sana. Pia unaweza kuutumia hata kama unasumbuliwa na tatizo la kisukari pia unao uwezo mkubwa katika kuongeza hamu ya tendo la ndoa hata kwa kina mama. Chemsha maji nusu lita ongeza kijiko kidogo cha chai cha unga huu, unaweza kuongeza pia asali vijiko viwili na unywe kama chai kutwa mara 2.
   
 2. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #2
  Nov 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  we umeshatumia mkuu. isije ikawa ya kichina ya kumaliza kabisa hizo nguvu chache zilizobaki. wachina wajanja sana, wanataka 'kutuua' wanaume wa kibongo ili watuchukulie dada zetu
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  This is good initiative for our husbs,.. Money is not an issue, but ina uhakika gani? Wewe umeshatumia? Umeona ainasaidiaje? And the likes? kwa maana dawa kama hizi ziko nyingi sna kwenye intenet. Tutajuaje kuwa hii ni tafauti na zile nyingine zote?
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Hi Dawa sio ya kichina ondosha wasiwasi mimi pia nimeshatumia na haina madhara yoyote ile imetengenezwa kwenye kiwanda na huku nilipo inauzwa kama kawa na watu wanatumia inawasiida ile mbaya yake mkuu ondosha wasiwasi siwezi kuleta Dawa za kichina Mkuu.

  sawa lakini hii nimeweka hiyo kwa sababu kuonyesha mfano juu ya hiyo dawa jinsi inavyofanya kazi si unajuwa hapa ni mahali pa kufahamishana? Jukwaa la J.F. Doctor? unisamehe kama nimekuudhi.
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Ukiona mimi naweka kitu hapa kwenye hili jukwaa nina uhakika inafanya kazi siwezi Matangazo ya biashara Mkuu umeipenda wasiliana na mimi hukuipenda iache kama ilivyo Mkuu.
   
 6. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Jombaa kwa hiyo three months yakutumia hiyo dawa mpango wa kando unaendelea kukamua kama kawa au kama dose ya TB? Vipi kwa wale mashine zao ndefu na kupindia kushoto dawa ya kuzinyoosha zipo?
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Kwanza tumia Dawa ukisha maliza kutumia Dawa utakuwa unakamuwa unavyotaka na nguvu utakuwa nazo kama kawa . Si unajuwa mjomba ukiwa unaumwa kwanza utumie Dawa kisha waweza kukamuwa kama kawa ukisha maliza kutumia hiyo miezi mitatu hutotumia tena mambo ni kukamuwa kama kawa tu mjombaa
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280


  Pro-V Pills Advanced Formula by Foundation Nutriceuticals is a blend of specially formulated nutraceuticals to promote tumescence (blood flow to the penis) and enhance erection related enzymes within the penis. We also include high grade extracts so that the penis stays erect longer and the flaccid state is delayed. As a result penis enlargement is increased and a thicker, fuller, stronger enlargement is possible.
  You will get results within the first month but it takes 3 to 4 months for optimum results. We never automatically ship more bottles to you and bill your credit card unless you re-order.

  WHAT EXACTLY IS Pro-V Pills Advanced Formula

  It is a powerful natural herbal penis enlargement formula that increases penis size, sexual health and stronger erections. Combining the formulations of the type of herbs found in many parts of the world that can enlarge the penis erectile tissues. Also some of the same type of herbs found in Polynesia where the men of the Mangaian tribe have sex on the average of 3 times a night, every night. While this is not what you may wish, it is nice to know your sexual performance can improve substantially.

  WHAT WILL THE Pro-V Pills Advanced Formula DO FOR ME.
  • A longer ,thicker penis. Penis Enlargement up to 3 inches or 4 inches or more
  • A longer, thicker penis even when you are not hard. Because there is more blood flow to the penis, your penis 'hangs' larger all day.
  • You will have bigger, harder erections. Because of increased blood flow your erections grow harder.
  • Erections when you want them. Rock hard erections every time. No more problems because you can't get it up and keep it up. Pro-V Pills Advanced Formula will keep the blood flowing to your penis so you will always get hard and stay hard.
  • Stronger and more intense orgasms
  • Stop premature ejaculations
  • Permanently and safely enhance the size of your penis.
  • The appearance of your penis will arouse your sex partner.
  Pro-V Pills Advanced Formula Ingredients.

  Epunedum Sagitum or Horny Goat Weed - Known in China as Yin Yang Huo. Chinese top medical doctors report that horny goat weed boosts libido and improves erectile function. Used to restore sexual fire and allay fatigue. Works by freeing up testosterone allowing to you to have a more incredible sex drive and endurance. Has been proven to be a powerful, natural aphrodisiac which will enhance physical and sexual sensations.

  Ginkgo - Medicinal use of ginkgo can be traced back 5,000 years in Chinese herbal medicine. The action of the herb may help support the brain, central nervous system and impotence. Ginkgo is known for increasing blood flow to the brain which aids in mental function. The herb also increases blood flow to the genitals which improves sexual function. In one study 78% of a group of men with impotence reported significant improvement without side effects. Ginkgo improves peripheral circulation and oxygenation

  Oriental Ginseng - Used for general weakness and extra energy and to have aphrodisiac powers. Russian scientists show that the ginseng stimulates both physical and mental activity and has a positive effect on the sex glands and enhances athletic performance Used for impotence as it normalizes blood pressure and rejuvenates and revitalizes the body and promotes the growth of nerve tissue One of the key ingredients is the ginsenosides that alters blood flow to the brain and penis. The herb helps infertility, and premature ejaculation. It tends to build blood and sperm . Accepted for "male or yang energy" it invigorates the blood, improving circulation, and increasing vitality.

  Saw Palmetto - Known to stimulate a low libido in males and to increase sexual energy. A compound in saw palmetto has aphrodisiac effects. Several studies in Europe show that saw palmetto is an effective treatment for many men, BPH found that an extract of saw palmetto reduced prostate size by 13 percent. Enhances sexual functioning and desire and reduces cholesterol and fatty acids in the blood.

  Pausinystalia Yohimbe - Yohimbe is made from the inner bark of the Yohimbe tree from West Africa. Yohimbe increases the norepinephrine content of the corpus cavernosum which is essential for erections. Yohimbe stimulates chemical reactions in the body to help impotence.Yohimbe also boosts the adrenaline supply to nerve endings, which can quicken male sexual stimulation. Yohimbe expands the blood vessels in the genitals. Yohimbe also inhibits serotonin. This is important because increased serotonin levels inhibit sexual performance. Poor circulation can cause impotence. Yohimbe can help impotence so that men can experience fuller and longer lasting erections. Yohimbe is also responsible for psychic stimulation, heightening of sexual, emotional sensations and a useful substance for treating male sexual dysfunction.

  Ptychopetalum Olacoides - Also known as potency wood and Muira puama Known for its effective help with erectile dysfunction, increasing libido and as an aphrodisiac. Native tribes in Brazil and Venezuela have used muira puama as an aphrodisiac and a sexual tonic that promotes virility and lovemaking to enhance sexual desire and treat impotence. Muira puama is also a traditional herb for nervous exhaustion and depression and also used as a tonic for neuromuscular activity. Its use for sexual impotence use can be traced to the 1930s in Europe. Its use now has increased with the introduction of Viagra as an herbal alternative. Has been shown by Dr. Jacques Waynberg, a world authority on sexual functioning, of the Institute of Sexology in Paris, France, that it is effective in assisting in increasing sexual desire as well as attaining and maintaining an erection.

  Added Ingredients to the Pro-V Pills Advanced Formula

  Maca bark Lepidium Meyenii

  Native Peruvians have consumed Maca for centuries medicinally to enhance fertility and help a wide variety of hormone imbalances. Popular today due to its energizing effects, fertility enhancement and aphrodisiac qualities. Other uses include increasing stamina and endurance in athletes, treating male impotence and used by bodybuilders due to its richness in sterols. Maca greatly increases the vitality of the body. Increases the libido, sexual vigor, and both the quality and the staying power of sexual activity. Listed below are the comments of a few doctors.

  Aguila Calderon, M.D., is the former Dean of the Faculty of Human Medicine at the National University of Federico Villarreal. In his practice Dr. Calderon uses maca for male impotence and erectile dysfunction. Gary F. Gordon, M.D states using this Peruvian root myself, I personally experienced a significant improvement in erectile tissue response. It has the facility to forestall the hormonal changes of aging. It acts on men to restore them to a healthy functional status in which they experience a more active libido. Doctors and Clinicians in Peru have long relied on Maca to restore sexual vitality for their patients and improve sexual enjoyment & performance.

  Catuaba (Erythroxylum catuaba) Caramuru, juniperis brasilinsis Catuaba is a tree found in Brazil. In herbal medicine, Catuaba bark is considered a central nervous system stimulant with aphrodisiac properties and the bark extract is used for sexual weakness. Contains a variety of sexual performance enhancing properties. Reports in scientific journals have supported their use for sexual enhancement. A group of three alkaloids catuabine A, B and C are believed to enhance sexual function by stimulating the nervous system. It is very synergistic when combined with another herb Muira Puama. Together they work better and provide a powerful sexual enhancing effect.Historical uses include it's use as a male aphrodisiac, and also a tonic to the male organs. It is also used to treat male impotency and its ability to strengthen erections .. It is a strong tonic and fortifier of the nervous system and used for prostatitis capable of giving strength to men. Over a period of time the first symptoms are usually erotic dreams, and then increased sexual desire. Can help nourish and stimulate the male sexual glands and enhance the production of sexual hormones. Catuaba is used to help restore sexual prowess (combating sexual exhaustion) and male sexual impotence and can induce a feeling of sexual arousal.

  L-arginine

  Supplement ingredient for sexual dysfunction. Relaxes blood vessels and allows more blood to flow through arteries and increase blood flow to the penis and gives erections that are harder, bigger and last longer. Men can benefit from the use of Arginine due to its vasodilating properties. In cases of erectile dysfunction or poor circulation of the extremities, Arginine will act to increase the diameter of blood vessels, thereby allowing increased blood flow to reach constricted areas. It helps in maintaining a properly functioning circulatory system Also increases libido, promotes sexual fitness has traditionally been used as a male aphrodisiac by stimulating sexual organs and improving central nervous system function. Considered as a treatment for impotence and erectile dysfunction. L-Arginine supplementation has been successful used in improving fertility in men by increasing low sperm count and motility and help counteract male infertility. L-Arginine also produces a natural growth hormone, thus helping to increase the erect size of the erectile tissue in the penis. It is used in sexual stimulants, as people report longer and more intense orgasms when their intake of arginine is increased. This Extract is a botanical formula that can naturally enhance the levels of Testosterone in the body. L-Arginine also creates nitric oxide in the human body (nitric oxide is one of the most essential substances which influence sexual function in men), and helps to improve circulation and maintains the nitrogen balance.

  Pygeum Africanum

  Pygeum africanum is a tree found in northern Africa. It is used for prostate health to treat the symptoms of benign prostatic hyperplasia (BPH). BPH is an enlargement of the prostate. The enlarged prostate will also interfere with ejaculatory power. Extracts improve urinary tract symptoms associated with benign prostatic hypertrophy. Also can improve sexual behavior in men. It can inhibit growth factors responsible for the increase in prostate size. and actually reverse the process and shrink the prostate gland. Because of the prostate problem most men also experience a decline in their sexual desire and performance. However with Pygeum africanum an improvement of sexual behavior has been obtained. Because of its anatomical position, nothing can interfere with a man's sex life faster than a swollen prostate. To compound this potential problem, the prostate can become swollen for many reasons. Adrenal Substance provides nutritional support for healthy adrenals. Adrenals are known to fuel the sex drive and produce male characteristics. Prostate Substance and Orchic (Testes Substance) provide specific nutritional support for the prostate gland. Infertility, impotence and prostate problems are minimized when these glands are healthy.

  Smilax Officianalis v. omata Smilax regelii

  Used traditionally for stamina improvements Smilax is a powerful natural testosterone energizer for improved physical performance of any nature.The formula contains a precise blend of cutting edge pro-sexual nutrients from around the world that provide nutritional support and help make it possible for a man to have a pleasurable sexual experience. Smilax Officianalis would be classified generally as a "blood purifier.This Extract is a botanical formula that can naturally enhance the levels of Testosterone in the body. Smilax purifies the urino-genital tract, dispelling all infection and inflammation. It also stimulates the production of reproductive hormones, and has tonic action on the sexual organs. Smilax helps to increase testosterone levels in the body. It is said to excite the passions, making men more virile. naturally. Used traditionally to combat fatigue and improve stamina. Smilax is a powerful natural testosterone energizer for improved physical performance of any nature.

  Is There A Difference In The Ingredients Of The PRO Plus Pills Original Formula And The New PRO V Pills Advanced Formula?

  Both formulas are specifically designed for penis enlargement. The PRO V PLUS PILLS Extra Strength ADVANCED FORMULA includes extra strength ingredients from the successful original formula combined with the added ingredients of high grade extracts so that penis enlargement is increased and a thicker, fuller, stronger and a bigger enlargement is possible
   
 9. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ok kaka.
   
 10. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #10
  Nov 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hayo makemikali endeleeni nayo. Sisi tunakwenda kwa mtindo wa natural na muziki wetu mabinti wanaufahamu.
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Itafika wakati utayatafuta hayo Makemikali bado unajiona una nguvu hujazeeka ikifika wakati nguvu zako zimepungua na akina dada wanakukimbia hata kama utawapa vijipesa vyako vya uchara utatafuta hayo makemikali na kuyatumia ukitaka usitake .
   
 12. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #12
  Nov 28, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  There is confusion here. wewe unasema V-Pills, lakini most of the information ulizoweka ni za New PRO V Pills Advanced Formula.

  Sasa kipi ni kipi? Please let us know kwa maana haya ni maisha ya watu, hizo ni engines, zikifa kabisa utavunja ndoa za watu.
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Fuatilia Dawa hii hapa chini kiboko ya Nguvu za kiume V.Pills Kama una matatizo wasiliana na mimi nitakusaidia tu usiogope hakuna woga hapa

  VILIRITY GOLD PILLS.jpg

  Kwa mwenye kuhitaji Dawa ya kuongeza nguvu za kiume unaweza kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
   
 14. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #14
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  If it sounds too good to be true, it probably isn't?
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Yes Mr it is true, just try it.
   
 16. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Angalia hii Video dawa yangu hii  Wanaotaka Dawa hii wawasiliane na mimi Mzizimkavu
  Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #19
  Dec 1, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona video yako ya kwanza ina ujumbe unaoji-contradict na ujumbe kwenye video ya pili? Sometimes, inaweza kuwa tuu ni "performance anxiety" kama video ya pili inavyosema sidhani kama dawa yako inatibu anxiety?
   
 20. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #20
  Dec 1, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Hii Dawa ya kutibu nguvu za Kiume kwa yule mwenye matatizo hayo hakuna mambo ya Utendeji wa wasiwasi "performance anxiety kama unavyofikiria wewe.
   
Loading...