Tatizo la ngozi kuwashwa, nikijikuna naumka/ navimba

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
3,511
3,477
Habari wakuu, kama wiki tatu hivi niliugua tumbo la kuhara lililonisumbua kwa siku 4 hivi nilihangaika sana kutumia dawa (kuna moja ni single dozi baadaye nikatumia dose ya flagyl) mpaka kupona. Pia nilitengeneza oral locally nikatumia na ilinisaidia kukata kuendesha ikabaki tatizo la tumbo kukata.

Baada ya kupona kama wiki 2 hivi likaibuka hili suala la kuwashwa nikijikuna ngozi yangu inaumka/ inavimba. Nilifikiri itakuwa allergy ya kitu flani, nikaanza kunywa cetrizin, nikinywa kweli nikiamka kesho siwashwi na wala uvimbe kwenye ngozi unapotea, nikiacha kunywa hali hiyo inajirudia.

Sasa hapa ninawaza kwamba inaweza ikawa tatizo ni nini?

1. Allergies? Ni ya kitu gani?
2. Minyoo?
3. Au ni nini?

Nimeambatanisha picha

IMG_20210613_214826_402.jpg
 
Duh, mwanangu ninashida wewe unaleta utani? Poa.
by the way bro mimi nilipata dalili kama zako nikaambiwa ni alergic ya mafuta tunayokula..nilitumia dawa flani za alergy hazikunisaidia..
ila kuna dawa ya kienyeji nilipewa unachanganya na asali ndio ilinisaidia hadi leo..
hiyo huwez kuitibu kwa nje maana ipo kwenye damu..
mimi hii dawa niliipata sokoni ngaramtoni kwa mzee ambae ni marehemu kwa sasa ila nadhani watoto wake watakuwa bado wanandelea kutoa dawa pale.
yule mzee alikuwa best of the best.
kama una mtu pale arusha akuchukulie nitakupa jina la hiyo sehemu soon.
 
Thanks, utanipatia details na connection ili issue za hospital ziki-fail basi nageukia upande huo.
 
by the way bro mimi nilipata dalili kama zako nikaambiwa ni alergic ya mafuta tunayokula..nilitumia dawa flani za alergy hazikunisaidia..
ila kuna dawa ya kienyeji nilipewa unachanganya na asali ndio ilinisaidia hadi leo..
hiyo huwez kuitibu kwa nje maana ipo kwenye damu..
mimi hii dawa niliipata sokoni ngaramtoni kwa mzee ambae ni marehemu kwa sasa ila nadhani watoto wake watakuwa bado wanandelea kutoa dawa pale.
yule mzee alikuwa best of the best.
kama una mtu pale arusha akuchukulie nitakupa jina la hiyo sehemu soon.
Nina mtoto hii issue imemuanza Jana nipe jina niruke chapu hapo Mana nipo sakina
 
kiukweli nimesahau jina lakini ngaramtoni pale sokoni ndio wapo..ni mtu ana ofis yake kabisa pale sio wale manjeree wanaojipanga.ukifika pale ulizia wenyeji kuhusu mzee aliekuwa anatoa dawa hapo alipata ajali ya pikipiki akafariki watakuelekeza ni maarufu sana pale sokoni.kwa kweli jina nimelisahau kbs.
 
by the way bro mimi nilipata dalili kama zako nikaambiwa ni alergic ya mafuta tunayokula..nilitumia dawa flani za alergy hazikunisaidia..
ila kuna dawa ya kienyeji nilipewa unachanganya na asali ndio ilinisaidia hadi leo..
hiyo huwez kuitibu kwa nje maana ipo kwenye damu..
mimi hii dawa niliipata sokoni ngaramtoni kwa mzee ambae ni marehemu kwa sasa ila nadhani watoto wake watakuwa bado wanandelea kutoa dawa pale.
yule mzee alikuwa best of the best.
kama una mtu pale arusha akuchukulie nitakupa jina la hiyo sehemu soon.
Naweza kuja pm nina mtu wa karibu ana kadhia hiyo nipo moshi nahitaji kwenda ulikopatia hiyo dawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom