Tatizo la Nchi Hii ni CCM

Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
2,907
4,770
CCM wanavyohandle maoni ya Ndugai, inaonyesha kabisa kwamba hata tukiwa na katiba mpya na katiba ya CCM ikabaki kama ilivyo; bado haratakuwa na demokrasia katika nchi.
Wabunge wetu wataendelea kuwa waoga wa kuisimamia serikali ndani ya Bunge la JMT na nje ya Bunge.
Kwa CCM wengi, wanachama wa kawaida na viongozi, Mungu wao ni Mwenyekiti wao. Na bahati mbaya sana katiba ya CCM inamfanya Rais wa JMT ndio mwenyekiti wa CCM.
Rais wa JMT ni Mkuu wa Nchi, Mkuu wa Serikali na Amiri Jeshi Mkuu.
Tatizo la nchi hii kwa sehemu kubwa ni CCM ikichangiwa pakubwa na katiba ya CCM na katiba ya JMT kwa sehemu ndogo sana.
 
CCM wanavyohandle maoni ya Ndugai, inaonyesha kabisa kwamba hata tukiwa na katiba mpya na katiba ya CCM ikabaki kama ilivyo; bado haratakuwa na demokrasia katika nchi.
Katiba ya CCM haiwezi kubaki kama ilivyo kwasabb katiba mpya itailazimisha katiba ya CCM kubadilika
 
Unaposema tatizo ni CCM kwani hao watu wanatofauti gani na sisi wengine? Unataka kuniambia vyama vingine ni watakatifu ila CCM tu ndio Wachafu? Kwa Maoni yangu viongozi wote hawana tofauti kubwa sema tofauti yao ipo moja kupata nafasi y kuongoza na wengine hawana ila kitabia wanafanana
 
Hakuna kiumbe kiko huru kukohoa mbele ya Mwenyekiti wa CCM. Na katiba ya CCM inamtengenezea wapenzi na watetezi wanafiki wengi sana ndani ya Chama na katiba ya JMT inamtengenezea wapenzi wa kweli na uongo ndani ya serikali.
 
Unaposema tatizo ni CCM kwani hao watu wanatofauti gani na sisi wengine? Unataka kuniambia vyama vingine ni watakatifu ila CCM tu ndio Wachafu? Kwa Maoni yangu viongozi wote hawana tofauti kubwa sema tofauti yao ipo moja kupata nafasi y kuongoza na wengine hawana ila kitabia wanafanana
Huwezi kumtathmini mtu ambaye hujampa kazi. Aliyepewa dhamana na umma ni CCM.
 
Wengine ambao hawana wanatuonesha makucha yao mapema wamekuwa wateteaji wa mabeberu na Wana wenyekiti wa wa muda mrefu ikiwa tu hapo bado hawajapata dhamana vipi kama wakipata dhamana hali itakuaje?
 
Unaposema tatizo ni CCM kwani hao watu wanatofauti gani na sisi wengine? Unataka kuniambia vyama vingine ni watakatifu ila CCM tu ndio Wachafu? Kwa Maoni yangu viongozi wote hawana tofauti kubwa sema tofauti yao ipo moja kupata nafasi y kuongoza na wengine hawana ila kitabia wanafanana
Tofautini nikubwa sana kati yenu na watu wengine wizi wa kura na kukata wagombea wenzenu mapanga wakati wakurudisha form za uchaguzi unaona sawa
 
Mkuu kwa kifupi ni kwamba ..... CCM ni kikundi cha watu wa hovyp hovyo.. wote na wapo kwa lengo la kulidhoofisha Taifa...
 
Back
Top Bottom