Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Amwone dokta, asinywe maji au vimiminika nyakati za jioni. Wengine wakishaanza kubalehe huwa wanaacha akishaonja dudu.
 
Dawa ya msichana kuacha kukojoa kitandani Upate Kwato la N'gombe . Mwambie huyo Msichana Apande juu ya Mti kisha umpe hilo kwato la N'gombe alinuse kisha hukohuko juu ya Mti akojoe kisha ashuke afanye hiyo dawa kwa muda wa siku 7 asubuhi na jioni kila siku atapona inshallah
 
Dawa ya msichana kuacha kukojoa kitandani Upate Kwato la N'gombe . Mwambie huyo Msichana Apande juu ya Mti kisha umpe hilo kwato la N'gombe alinuse kisha hukohuko juu ya Mti akojoe kisha ashuke afanye hiyo dawa kwa muda wa siku 7 asubuhi na jioni kila siku atapona inshallah

Jamani jamani kamanda. Sasa kwato na juu yamti kweli kwa siku saba si majirani watampiga mawe kwamba mchawi?? tena anakojoa akiwa juu ya mti? Kama anaishi kweye flats au maeneo kama kariakoo itakuaje.

Sio uganga sasa huu?

Swahiba hebu toa tiba mbadala yenye kuwezekana
 
wakuu naomba mnisaidie kujua dawa ya msichana anayekojoa kitandani, maaana wapo wakina dada wengi wanasumbuliwa na tatizo hili, wengine mpaka wanakosa uhuru kwa wapenzi wao wanaogopa kulala kwa wachumba zao, kwa ufupi hili ni tatizo saana,
ningependa kufahamu tatizo linasababishwa na nini? pamoja na tiba yake!

Funga chura kwenye dudu yake, pitisha mtaani huku mkimwimbia KINDUMBWENDUMBE
 
Kweli hili ni tatizo cha msingi ni kumwona doctor afu pia kuepuka kunywa vimiminika ucku inaweza kusaidia.
 
Jamani jamani kamanda. Sasa kwato na juu yamti kweli kwa siku saba si majirani watampiga mawe kwamba mchawi? Tena anakojoa akiwa juu ya mti? Kama anaishi kweye flats au maeneo kama kariakoo itakuaje

Sio uganga sasa huu?

Swahiba hebu toa tiba mbadala yenye kuwezekana
Wewe unataka Dawa au uganga? Kama anaisihi mjini kariakoo aende shambani au porini. Kwani wewe unayeuliza ndio mwenye hayo matatizo? Tulia tuli kama maji yaliyo mtungini.
 
Hata mimi niliwahi kusikia kuhusu dawa ya kuonja dudu ya mwanaume tu, huwa wanaacha. Bt ni ngumu kumwanbia binti yako akalale na mwanaume kwa sababu ya dawa kwa kuwa ni kama unamfundisha kuwajua wanaume banaaaaa!
 
Hii nji ni nzuri zaidi.

Chuku mpira uchomeke kwenye nanii yake halafu uelekeze nje, akikojoa mkojo unaelekea nje.
 
Habarini za jioni, kwa mara ya kwanza najitokeza hapa kuomba ushauri. Nina miaka 31, nina mtoto mmoja na sijaolewa. Kitu kinachoninyima raha ni kukojoa kitandani, cna mtu wa kumwambia maana ni aibu kubwa sana.

Japo nina kazi ya kuniwezesha kuishi mjini, sometimes naona sina thamani yoyote. Kuna movie moja ya kibongo inaitwa mrembo kikijozi, sijawahi iangalia maana inaniumiza mara elfu moja zaidi sababu kama haijakupata hutaelewa inaumiza kiasi gani.

Mwanangua aliacha kukojoa kitandani tangu ana miaka minne basi huwa namtamani. Hivi naweza tibiwa wapi, nimechoka huu mzigo
 
POle sana-unaweza kuji-tune ukashinda hili tatizo-

Unaweza fanya hivi,

-Punguza kunywa vinjwaji sana ambavyo si vya lazima(incase unakunywa bia daily)

-Set alarm ili usiku ikuamshe,set hata alarm kwa usiku uamke mara 2 au 3,hata kama utakuwa hujisikii ku-pee,we jaribu kujiforce huo uliopo utoke

Naamini ukifanya hivikwa muda,utaweza kutuliza hilo tatzo, kuna mtu alikuwa na tatizo kama hili,hadi alipoifikisha miaka 20 ndo akaweza kuji-control-so namini na wewe pia unaweza
 
Asanteni, nakuwa na wasi wasi sana ninaposafiri kikazi hasa nje ya nchi, naset alarm after every 2hrs na nalala na taulo mapajani kupunguza adha, japo inasaidia lakini till when?!

Kuna wakati nilimuuliza mtu mmoja japo sikumweleza kama ni mimi akasema inasababishwa na kuwa abused ukiwa mtoto, I dont remember being abuse japo nimetoka katika familia maskini sana.
 
Pole sana dada yangu, unaweza ukawaona madaktari mabingwa wanaweza kukusaidia sana. Naamini kabisa ukilivalia njuga linaisha maana hakuna linaloshindikana chini ya jua!
 
Asanteni, nakuwa na wasi wasi sana ninaposafiri kikazi hasa nje ya nchi, naset alarm after every 2hrs na nalala na taulo mapajani kupunguza adha, japo inasaidia lakini till when?

Kuna wakati nilimuuliza mtu mmoja japo sikumweleza kama ni mimi akasema inasababishwa na kuwa abused ukiwa mtoto, I dont remember being abuse japo nimetoka katika familia maskin sana

Kuna mtu humu anaitwa Mzizi mkavu, hebu mPM umueleze ana jua dawa za tiba mbadala.
 
POle sana-unaweza kuji-tune ukashinda hili tatizo-
unaweza fanya hivi:

-Punguza kunywa vinjwaji sana ambavyo si vya lazima(incase unakunywa bia daily)
-Set alarm ili usiku ikuamshe,set hata alarm kwa usiku uamke mara 2 au 3,hata kama utakuwa hujisikii ku-pee,we jaribu kujiforce huo uliopo utoke, naamini ukifanya hivikwa muda,utaweza kutuliza hilo tatzo.

Kuna mtu alikuwa na tatizo kama hili,hadi alipoifikisha miaka 20 ndo akaweza kuji-control-so namini na wewe pia unaweza

Ningekuwa napiga na bia cjui ingekuwaje, sinywi pombe kabisaaa.
 
Kuna mtu humu anaitwa Mzizi mkavu, hebu m pm umueleze ana jua dawa za tiba mbadala.

Asante, will try. Nilihitaji watu wa kuniondolea fear hii ili niweze hata kumweleza dokta. Maana ni aibu jamani. Uwe na gari, nyumba, hela kuna wakati unatamani kuwa hata mwanamke anayepika kambi ya fisi lakini uwe a complete woman.
 
Back
Top Bottom