Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

Mimi nimekojoa mpaka darasa la pili, nikawa naamshwa usiku nikakojoe, hata kama hautoki nakaa chooni ka dk 5 ivi. Baada ya siku chache ikawa kila nikiamshwa lazima utoke. Tatizo likaisha.
 
Mmmh sidhani kama kuna dawa ya kusaidia hili.

- Kamcheki Hsp kama hana tatizo la kibofu,inawezekana wakati wa baridi anaumia,hawezi kukontrol mkojo etc
Mimi nilikuwa na tatizo hilo,nilikojoa mpaka darasa la 8, yani nilikunywa maji ya mchele wapi, nashkuru wazazi wangu hawakuwa na imani za ajabu ajabu, nilivyoanza darasa la kwanza boarding haikuwa shida coz wengi walikuwa wanakojoa but nilivyofika darasa la 5 nikaanza kuona aibu, nilikuwa na rafiki yangu huyu dada alinisaidia sana nilitengeneza sala nikaweka kwenye kitanda ukuta pale kitandani kila siku naosoma kabla sijalala(with that faith + aibu) Mungu aliskia sala zangu ghafla tu niliacha,yani naanza form 1 sikukujoa tena.

Sala yangu ilikuwa hii:

"Eeeeh Mwenyezi Mungu, nashkuru kwa kunilinda mchana kutwa,naomba unilinde usiku huu mimi na rafiki zangu pamoja na familia yangu huko nyumbani, naomba tuepushe na njaa, magonjwa na vita,walinde na kuwapigania wooote walio ktk hali ngum ya maisha,Mungu nakuomba sana unisaidie nisikojoe kitandani maana naona aibu sana, rafiki yangu Eunice, Grace, Irene wooote hawakojoi basi na mimi naomba niwe kama wao, naona ibu asb kutoa godoro langu nje, najiskia vibaya matroni anavyonisema, namuonea huruma mama kila term ananinunulia godoro jipya Mungu naomba niepushe na aibu hii,na amini utatenda sawasawa na mapenzi yako. Amina

Very serious, hii ilikuwa sala yangu mpaka niliikariri, kwa imani kila kitu kinawezekana.

Kumzuia kunywa maji kuanzia jioni si mbaya inasaidia kwa kiasi kikubwa sana. Kumwitia watoto wamcheke huo ni ulimbukeni matatizo yako unaanzaje kutangaza nje mapungufu ya mtoto wako?
 
Mmmh sidhani kama kuna dawa ya kusaidia hili:

-Kamcheki Hsp kama hana tatizo la kibofu,inawezekana wakati wa baridi anaumia,hawezi kukontrol mkojo etc
Mimi nilikuwa na tatizo hilo,nilikojoa mpaka darasa la 8,yani nilikunywa maji ya mchele wapi,nashkuru wazazi wangu hawakuwa na imani za ajabu ajabu,nilivyoanza darasa la kwanza boarding haikuwa shida coz wengi walikuwa wanakojoa but nilivyofika darasa la 5 nikaanza kuona aibu,nilikuwa na rafiki yangu huyu dada alinisaidia sana nilitengeneza sala nikaweka kwenye kitanda ukuta pale kitandani kila siku naosoma kabla sijalala(with that faith + aibu) Mungu aliskia sala zangu ghafla tu niliacha,yani naanza form 1 sikukujoa tena.

Sala yangu ilikuwa hii
"Eeeeh Mwenyezi Mungu,nashkuru kwa kunilinda mchana kutwa,naomba unilinde usiku huu mimi na rafiki zangu pamoja na familia yangu huko nyumbani,naomba tuepushe na njaa,magonjwa na vita,walinde na kuwapigania wooote walio ktk hali ngum ya maisha,Mungu nakuomba sana unisaidie nisikojoe kitandani maana naona aibu sana,rafiki yangu Eunice,Grace,Irene wooote hawakojoi basi na mimi naomba niwe kama wao,naona ibu asb kutoa godoro langu nje,najiskia vibaya matroni anavyonisema,namuonea huruma mama kila term ananinunulia godoro jipya Mungu naomba niepushe na aibu hii,na amini utatenda sawasawa na mapenzi yako, Amina.

Very serious,hii ilikuwa sala yangu mpaka niliikariri,kwa imani kila kitu kinawezekana.

Kumzuia kunywa maji kuanzia jioni si mbaya inasaidia kwa kiasi kikubwa sana,Kumwitia watoto wamcheke huo ni ulimbukeni matatizo yako unaanzaje kutangaza nje mapungufu ya mtoto wako?


Love u pearl
Nimependa advice yako
 
Wadau nina mtoto sasa anatimiza miaka kumi lakini anamwaga mkojo kitandani hadi nachanganyikiwa ,tafadhali mwenye njia mbadala ya kutatua tatizo hili NAOMBA ANIPATIE USHAURI ili kusaidia tatizo hili kwisha.

asanteni
Tatizo watoto wa siku hizi WARITHI HATA VISIVYOTAKIWA KURITHIWA. Duuuu!
 
Nimeukumbuka sana wimbo huu enzi zetu kule Unguja na hata kariakoo Dar es salaam.

Kikojozi na nguo kamchome moto x 3
Mmpeleke ---- akamkate kidudu chake
.

Vipi siku hizi mmeusahau

Hapo kwenye red bado nami naikumbuka sana, ilikuwa very common back in days, lakini believe me, haikuwa ikisaidia lolote (nina mifano ya kutosha sana) kuna waliofanyiwa sana hiyo mpaka tukachoka, then wakaachwa ila baadae wenyewe ilikoma tabia ya kukojoa kitandani. Ni udhalilishaji kwa kweli na kama wadau wengine walivyotangulia kusema inamuathiri mtoto kisaikolojia.
 
jamani hii inaniumiza sana nina mpenzi wangu ana umri wa kama miaka 25 mpaka leo ana mwaga kitandani na nilisha jaribu kumsaidia imeshindikana alifaulu kwenda form six mkoani akashindwa kwenda pia amefaulu kwenda chuo ameshindwa kwenda hostel ana hofia itakuwa kero kwa wenzake na ni mzuri huyo dada jamani kweli kizuri akikosi kasoro
 
Nadhani jambo la kumuona Dr specialist wa watoto ni la msingi...ila kumfanya azomewe na wenzie ni kumdhalilisha na kukiuka haki za mtoto...nalaani tabia kama hizi.

Uko sahihi. Ni mbaya sana na isifanyike. Ikumbukwe kuwa hafanyi lwa kupenda. Ni ugonjwa na anatakiwa apelekwe kwa dr. na si kuzomewa.
 
As doctors we believe bedwetting is normal upto 10 yrs baada ya hapo mlete hospitali for further evaluation.nakubaliana na mchangiaji aliye propose kurestrict fluid intake jioni.ila showing confidence in ur child reassures him or her
 
Bedwetting is a common childhood condition. It occurs when there is an involuntary (accidental) loss of urine during sleep. The medical name for bedwetting is nocturnal enuresis.
Bedwetting is normal in children who are under five years old, and the majority of young children will wet the bed at some stage.
Sometimes it affects children who are over five and, occasionally, young adults.
Bedwetting is often caused by an overactive bladder, but it can be the result of problems with the development of the bladder. It can also be due to a neurological disorder (disorders of the brain and nervous system).
Types of bedwetting

There are two types of bedwetting:
  • primary nocturnal enuresis: persistent, involuntary bedwetting during sleep in a child who aged five or over, and
  • secondary nocturnal enuresis: where bedwetting comes back after a dry period of at least six months.
Secondary nocturnal enuresis is often linked to a stressful event, such as bullying at school, or the divorce of a child's parents.
How common is bedwetting?

Bedwetting can be a disruptive and stressful condition that is thought to affect around:
  • 15% of all children,
  • 45% of children with a parent who has also had the condition, and
  • 75% of children with two parents who have had the condition.
Self esteem

If your child wets the bed, it is important for you to know that it is not their fault, and that they have no control over it.
Don't punish your child for wetting the bed. This can have harmful psychological effects, such as lowering their self-esteem.
Outlook

A child usually wets the bed because the amount of urine that they produce is more than their bladder can hold, and they do not wake up even though their bladder is full.

Bedwetting usually stops when the child gets older, because:
  • their bladder capacity increases,
  • they produce less urine at night, and/or
  • they learn to wake up when their bladder is full.
In time, almost all children stop wetting the bed, often without treatment. Approximately 1% will continue to wet the bed into adulthood.
Treating bedwetting

Sometimes, bedwetting (nocturnal enuresis) stops on its own without the need for treatment.

Your GP may not recommend a treatment, particularly if the bedwetting is not affecting your child too much. This is because:
  • treatments for bedwetting do not always work
  • treatments require motivation and commitment
  • in time, almost all children will become dry, even without treatment
If the bedwetting does not clear up, or it is having a big effect on a child, a treatment may be recommended.
Recent NICE guidelines

The National Institute for Health and Clinical Excellence (NICE) produced guidelines in October 2010 on how to treat children who wet the bed.
Historically, it has been common practice to only consider treating children for their bedwetting when they reach seven years of age.
However, NICE now advises clinicians to not exclude the under-sevens from bedwetting treatments if they feel treatment is necessary.
Read the NICE 2010 guidelines on bedwetting
Generally, treatment for bedwetting may be recommended if it is having a significant impact on the child or their family.

The decision to go ahead with treatment should be made jointly by the child's parents (or carers) and the child after considering:
  • how often the bedwetting occurs
  • how the child and parents are coping with the problem
  • whether the child is being punished, bullied or teased due to their bedwetting
Recommended treatments

Your GP may refer you to an enuresis adviser (an incontinence specialist) who will be able to recommend specific treatments for bedwetting.
The type of treatment that the enuresis adviser recommends will depend on your child's situation, such as their age and previous bedwetting history, as well as any underlying conditions that may be causing it.
Enuresis alarms
Enuresis alarms are considered to be the best form of long-term treatment for bedwetting. This is usually preferred to the use of a medication called desmopressin (see below).
An enuresis alarm consists of a tiny sensor and an alarm. The sensor is attached to your child's underwear and the alarm is worn on the pyjamas. If the sensor starts to get wet, it sets off the alarm. Vibrating alarms are also available.
Over time, an enuresis alarm can help your child to recognise when their bladder is full and it's time to wake up to go to the toilet.

You may be able to borrow an enuresis alarm from your enuresis adviser. Otherwise, they are available to buy from the organisation Education and Resources for Improving Childhood Continence (ERIC).

Using an enuresis alarm is usually recommended for three to five months. After 14 consecutive dry nights with a normal fluid intake, encourage your child to drink more fluid to train their bladder.

There is evidence to suggest that training the bladder to cope with extra fluid helps to reduce the chances of bedwetting coming back. At first the training process may lead to further bedwetting, so make sure your child knows to expect this.
After 14 consecutive dry nights with increased fluid intake, your child can stop using the enuresis alarm. If bedwetting reoccurs after you have stopped using the alarm, start using it again.

Enuresis alarms are not recommended if:
  • a child shares a bed,
  • more than one child in a family is being treated at the same time, or
  • a child's parents or carers are unable to provide appropriate support.
Studies have shown that 66% of children who used an enuresis alarm achieved 14 consecutive dry nights, compared with 4% of children who did not use one.

About 50% of children who used an enuresis alarm experienced a relapse (reoccurrence) after treatment stopped, compared with almost all children who did not use one.

Desmopressin
Desmopressin is sometimes prescribed to treat bedwetting. It is usually taken orally (in tablet form) and is only recommended as a short-term treatment.

In certain situations, taking desmopressin is a more practical form of treating bedwetting than using an enuresis alarm. A short course of desmopressin may be prescribed for your child if they need to spend some nights away from home, for example if they are going on holiday abroad or on a school trip.

Desmopressin works by reducing the amount of urine that your child produces and needs to pass at night. If your child is prescribed desmopressin, it is important that they follow the recommended amount of fluid intake in order to avoid becoming overloaded with fluid. Your GP or enuresis adviser will be able to advise you about this.

In rare cases of bedwetting where using an enuresis alarm is not possible, or has proven to be ineffective, the long-term use of desmopressin may be recommended. For example, long-term use of the medication may help to reduce the frequency of bedwetting in situations where it is causing a child significant distress.

However, due to the risk of your child becoming overloaded with fluid and developing hyponatraemia, close monitoring and careful management is required if a long-term course of desmopressin is prescribed.

Hyponatraemia is a condition that is caused by a dangerously low level of sodium (salt) in the blood as a result of drinking too much fluid.

Combined treatments

If your child's bedwetting does not improve after trying individual treatments, a combination of treatments, such as an enuresis alarm and desmopressin may be recommended. However, there is no evidence to confirm whether combining treatments produces a more effective outcome.

Other medications

Tricyclic antidepressants, such as imipramine, are not recommended, because they can cause very serious side effects.
Oxybutynin is also not recommended, because it has been found to be ineffective in treating bedwetting that is not caused by bladder instability.

If bedwetting is the result of bladder instability, the child should be referred to a specialist for assessment before any form of treatment is started.

Self-help advice for bedwetting

In many cases of bedwetting (nocturnal enuresis), it may be possible to help your child stay dry throughout the night without treatment.

The advice listed below may prove useful in preventing bedwetting.
  • Your child should drink normally throughout the day. However, they should not drink during the couple of hours before bedtime, particularly caffeinated liquids such as cola and other fizzy drinks. Caffeine is a diuretic, which means that it encourages the body to produce more urine.
  • Encourage your child to empty their bladder by going to the toilet before they go to bed.
  • Ensure that your child has easy access to the toilet at night. For example, if they have a bunk bed they should sleep on the bottom. You may also like to leave a light on in the bathroom and put a child's seat on the toilet.
  • Use waterproof covers on your child's mattress and duvet, and absorbent, quilted sheets. After a bedwetting, use cold water or mild bleach to rinse your child's bedding and nightclothes and then wash them as usual.
  • Following a bedwetting, older children may wish to change their bedding at night to minimise disruption and embarrassment. If so, have clean bedding and nightclothes available for them.
  • After your child has wet the bed, wash them thoroughly (including their hair) before re-dressing them. Use a simple emollient (moisturiser) on your child's skin to help prevent chapping (red and irritated skin). If necessary, after a bedwetting, spray the room with a deodoriser.
  • Have a neutral attitude to bedwetting, to minimise your child's embarrassment. This means not blaming your child for wetting the bed, and taking positive steps, such as those listed above, to resolve the problem.
  • Do not punish your child for wetting the bed. Doing so can make things worse by humiliating them and lowering their self-esteem.
  • Use a reward system, such as a star chart (awarding coloured stars when your child has a dry night) to encourage positive behaviour. You could reward your child for behaviour that helps to stay dry at night, such as drinking plenty of fluids during the day, or getting up to use the toilet at night.
Source: NHS
 
Wadau nina mtoto sasa anatimiza miaka kumi lakini anamwaga mkojo kitandani hadi nachanganyikiwa ,tafadhali mwenye njia mbadala ya kutatua tatizo hili NAOMBA ANIPATIE USHAURI ili kusaidia tatizo hili kwisha.

asanteni

Pole sana.DAWA NI KWATO ZA NG'OMBE UNAKOSHA VIZURI NA KUCHEMSHA,KISHA MPE SUPU YAKE BILA CHUMVI ANYWE KIKOMBE KIDOGO KUTWA MARA 2,KWA MUDA WA WIKI 1TU!TATIZO LITAKWISHA.Tatizo hilo aliwahikuwanalo Bint yangu. Nilihangaika hospital za kata ,wilaya mkoa hadi ya Taifa Muhi2,lakini sikufanikiwa ndipo nilipojaribu kuuliza uliza nika elekezwa dawa ambayo ili mponya kabisa hadi leo hii ni mzima
 
Kwakweli kumzomea mtoto si suluhisho la kumaliza tatizo. Kama ulimzaa mtoto mwenyewe lazima umhangaikie kwa shida zake zote ikiwemo hiyo ya kumwaga maji kitandani.
 
Nilisikiliza RFA juzi usiku wakawa wanazungumzia dawa wa kikojozi wakasema: unabakiza toge moja la ugali akikojoa kesho yake unamtoa nje yeye na godoro unachovya kwenye mkojo halafu unampa ameze bila kutafuna kumbuka usimwambie chochote kabla.
 
Wazazi, mkiambiwa nanyi jiambieni. Suala la kumtia adabu mtoto na kumwadhirisha ni kumdhalilisha. Unaweza kumsababishia madhara makubwa kisaikolojia kuliko hilo la kukojoa.

Kukojoa kitandani ni tatizo kwa watoto wengi, fuata shauri zote ulizopewa zikiwemo za dawa za kienyeji, lakini usithubutu kumdhalilisha mtoto wako - mtunzie siri yake. Usifikiri yeye anafurahi kulowesha kitanda na kadiri anavyokuwa mkubwa ndivyo atavyokuwa anaona haya na mwenyewe saikolojia itamweka sawa.

Tuwasaidie watoto wetu badal ya kuwaongezea matatizo.
 
Habari wana JF,

Kuna mtoto wa kike wa rafiki yangu sasa ana miaka 6 tatizo anakojoa kitandani almost kila siku. Je, kuna dawa yoyote ya kienyeji ama hospitali inayoweza kumaliza tatizo hilo?

Msaada plizz
 
Kuna mtoto umri wake ni miaka sita naishi nae kiasi cha mwaka sasa,na nilimkuta na matatizo haya ya kukojoa kitandani.Nilicho fanya nilikuwa najitahidi wakati wa usiku asinywe au asile vitu vya majimaji pasipo ulazima,na usiku nilijitahidi kuwa namuamsha kwenda chooni mara mbili,usiku mkubwa na alfajiri, na kwa sasa hakojoi tena na usiku anaamka mwenyewe na pia si mzuii tena kunywa au kula vitu vya majimaji..jaribu kulifanyia kazi hili naamini utafanikiwa
 
Dawa ya Mtoto kuacha kukojoa kitandani Upate Kwato la N'gombe.

Mtoto Apande juu ya Mti kisha umpe hilo kwato la N'gombe weka kaa la moto ndani yake kisha alinuse kisha hukohuko juu ya Mti akojoe kisha ashuke afanye hiyo dawa kwa muda wa siku 7 asubuhi na jioni kila siku atapona inshallah
 
Back
Top Bottom