Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

JE UNAFAHAMU NINI KUHUSU KUJAMBA?

Kwanini tunajamba? kwanini "ushuzi" unanuka? Kujamba inaweza kuwa kitendo cha aibu kwa wengi wetu, lakini inaweza kukufanya ujisikie vizuri kujua kwamba ni tendo la kawaida sana kwa mwili wa binadamu kutenda.

1.Kujamba ni nini hasa?

Kujamba kunasababishwa na kubanwa kwa hewa, ambayo inaweza kutoka mwilini kwa njia nyingi. Baadhi ni hewa tuliyoimeza wakati wa kula au kunywa. Hewa ingine husababishwa na gesi kuingia kwenye utumbo wetu kutoka kwenye damu, na baadhi ya gesi huzalishwa na kemikali katika utumbo au bakteria. Kwa kawaida "ushuzi" unakua na asilimia 59 ya gesi ya nitrogen, asilimia 21 ni hydrogen,asilimia 9 ni carbon dioxide, asilimia 7 methane na asilimia 4 ni oygen.

Asilimia moja tu ya "ushuzi" inaweza kuwa hydrogen sulfide na mercaptans, ambayo ndio ina sulfur ndani yake,sulfur ndo hufanya "ushuzi" utoe harufu mbaya. Kujamba huambatana na sauti, hii ni kutokana na "vibration" katika njia ya haja kubwa. Ukubwa wa mlio wa kujamba hutegemea "presha" inayosukuma gesi itoke nje na pia ugumu wa misuli ya njia ya haja kubwa.

2. Kwa nini Ushuzi hutoa Harufu mbaya?

Harufu mbaya ya ushuzi hutegemea na ulaji wa mtu, vyakula vyenye sulfur kwa wingi ndio usababisha hili. Vyakula vyenye sulfur kwa wingi ni kama soda, maharage, kabichi na mayai.

3.Watu hujamba hadi mara 14 kwa siku

Mtu wa kawaida hutoa hata nusu lita ya ushuzi kwa siku. Inasemekana mtu akijamba mfululizo kwa kipindi cha miaka 6, anaweza kuzalisha nishati ya kutosha kutengeneza bomu la atomiki.

4. Ushuzi husafiri kwa mwendo wa futi 10 kwa sekunde. Harufu ya ushuzi huanza kusikika sekunde 10-15 baada ya mtu kujamba, hiyo ni kwa sababu inachukua muda mrefu kwa harufu kufikia pua.

5.Kujizuia Kujamba Inaweza Kuhatarisha Afya Yako.

Madaktari hawajakubaliana moja kwa moja kama kujizuia kujamba ni hatari kiafya. Baadhi ya wataalam wanafikiri kujamba ni sehemu muhimu katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, hivyo kujizuia kujamba haitakuletea madhara. Wengine wanadhani kwamba kujizuia kujamba kunaweza kusababisha tumbo kujaa gesi, na pia inaweza sababisha bawasili (hemorrhoids).

6.Kwa Baadhi ya Tamaduni, Kujamba Sio Ishu

Wakati tamaduni nyingi zikichukulia tendo la kujamba lifanywe kistaarabu, kuna baadhi ya tamaduni hawaoni haya kujamba hadharani, na pia hufurahia tendo hilo. Mfano kabila la Yanomami huko America ya Kusini kwao husalimiana kwa kujamba na China unaweza kupata kazi ya kunusa ushuzi! Katika Roma ya zamani Mfalme Claudius akihofia kwamba kujizuia kujamba inaweza kuwa hatari kiafya, alipitisha sheria kwamba ni ruhusa kujamba kwenye "banquets".

7. Ushuzi Unawasha Moto
Kama ilivyoandikwa hapo juu. Methane na hydrogen inayozalishwa na ushuzi inaweza sababisha moto.

8. Mchwa Hujamba Kuliko Wanyama Aina Zote

Ni ngumu kuamini kuwa mchwa ndo anawajibika na matatizo yetu ya "Global Warming". Mchwa huongoza kwa kujamba kwa wanyama na hiyo huzalisha gesi ya methane.

9.Ukiubana Ushuzi, Utakutoka Usingizini

Hata ujitahidi kuubana vipi, ushuzi utatoka mara utapokua umepumzika, hasa ukiwa umelala.

10. Watu Hujamba Hata Baada ya Mauti Kuwafika

Maiti huendelea kutoa gesi hadi masaa matatu baada ya mtu kufariki dunia, hii huambatana na milio ya kujamba. Hali hii husababishwa na misuli kusinyaa.

UKIPATA MUDA JAMBA.

Credit to Mtandao
FB_IMG_1570943832373.jpeg
 
Credit to MtandaoView attachment 1231442

Ha ha haa ! Jamii Forum katika ubora wake!
Asante mkuu kwa ufafanuzi wa Ushuzi!
Nilipata kusikia kuwa hats kwa wahindi kujamba sio issue kabisa...
Hata wakiwa mezani wanakula MTU anaweza kutoa Shuzi lake na hakuna anaye mind...na wanaweza hata Ku comment kitu positive kwa Shuzi LA mtoa Shuzi!
Kweli dunia kuwa uyaone...!!
 
Big up kwa somo zuri namna hii👏
 
Ila kwetu sisi utaambiwa hauna adabu
Ha ha haa ! Jamii Forum katika ubora wake!
Asante mkuu kwa ufafanuzi wa Ushuzi!
Nilipata kusikia kuwa hats kwa wahindi kujamba sio issue kabisa...
Hata wakiwa mezani wanakula MTU anaweza kutoa Shuzi lake na hakuna anaye mind...na wanaweza hata Ku comment kitu positive kwa Shuzi LA mtoa Shuzi!
Kweli dunia kuwa uyaone...!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom