Tatizo la mtu kuongea peke yake: Fahamu visababishi na namna ya kutatua shida hii

ESPIRIT,
Tatizo ulilonalo n la kisaikologia ambalo limesababishwa na unresolved issues ktk akili yako ambazo baadae zinaweza kukujengea mental illness then hata uchizi!! Kama hutapata therapies haraka unaweza pata mental illness!!

Personality yako inaweza ikawa in a influence Tatizo lako !!Useme haupo karibu ningekusaidia nijue kiwango cha tatizo lako,Utatuzi wa mwanzo kama halijafika hali mbaya lingeweza kuisha.

Labda nikuulize maswali yafuatayo
*umeoa au unaishi na mpenzi wako
*huyo unaeishi nae ndio uliempenda au ndie aliyekuumiza kimahusiano
*Ukipatwa na tatizo huwa unamweleza MTU au unakaa nalo mwenyewe
*furaha yako inategemea nn hasa?
*Hali yako ya kiuchumi
*Tatizo lako lishampata nan ktk ukoo wenu
 
Asante Jje's huyo rafiki yangu kuna mipishano kidogo tu, kwamba nataka a endelee na shule lakn ananinunia hata siku I napita hajabip nkipiga anaongea kama hataki. Ila nina mtoto nae!! kutopenda shule inanifanya niumie, had mda mwingine nikiongea na watu wengine nakuwa mwepesi sana. Nasema kuwa mwepesi nikiwa na maana naona kama kuna ka mzigo nimetua. Na imefika mda hata simmisi tena
Jaman don't do that, for the sake ya mtoto endelea kuvumilia na ongea nae taratibu tu ukimshauri na kumweleza umuhimu wa shule.
 
It was an attempt of showing that she knows not necessarily what your problem is, just knowing...... In a way she needs help as well.
You said it all Mkuu. thanks. I was waiting for her reply with no avail.
 
Habari embu tusaidiane na tatizo langu

Mimi ni muajiriwa wa serikali sekta ya afya. Ila sasa naogopa kusema kwa ma staff wangu shida yangu.

Nina tatizo la kuongea mwenyewe mpaka kuna muda najishangaa sana na mara nyingine huwa na hasira zinanipanda. Nishajichunguza ata kwetu upande wa mama yangu nao tuna tatizo la kuongea wenyewe yaani kuanzia mama yangu, bibi, mjomba na mabinamu its genetic

nauliza kuna tiba yake maana naona ntakuwa kichaa sasa
 
Mkuu, Mimi pia Nina hali hiyo ila siioni hata kama ni tatizo.

Mfano, naenda kukutana na mtu Fulani au naenda katika kongamano Fulani, ama naenda sehemu mpya ambayo itanipasa kujitambulisha.

Naanza kupanga maneno na mistari jinsi ya kuanza kuzungumza. Naongea kwa sauti lakini siyo kubwa.

Na nikifika, nashusha maneno yote kama ambavyo nilikuwa nikizungumza mwenyewe.

Na najisikia vema Sana kwani maneno yangu yanakuwa yamepangika katika mtiririko mzuri na kuniongezea ari ya kujiamini vema.

Kuna siku nilikuwa naenda kwenye interview. Kabla sijafika, nikiwa njiani nilikuwa najiuliza maswali na njia ya kujibu.
Cha kushangaza, nimefika kwenye interview maswali yote ambayo nilikuwa najiuliza na kutoa majibu ndiyo hayo hayo niliyoulizwa na interview Pannel.

Naomba madaktari wanieleze, huu pia ni ugonjwa?
 
@Aleppo,

Pole, una matatizo ya muda mrefu kadha wa kadha huna wakumshirikisha, yamesongamana moyoni. Unatamani upate wakujadili naye ila hayupo ama huwaamini, yapo mambo yamekutokea ila huamini ndio maana unatembea ukijadiliana na dhamira yako.

. Accept
. Copy
. Tafuta alternatives
. Acha kujilaumu kwa lolote lililotokea huwezi kulifuta
. Weka mipango mipya kwa tahadhari uzaliwe upya kimaisha.
.Hauko peke yako na wewe sio wa kwanza wapo wenye matatizo zaidi yako
.Ishi maisha yako usipende kuchagua mambo yakuwaridhisha watu

I wish ungekuwa client wangu for a while ungeleta mrejesho sema niko busy kidogo.

'I LOVE YOU'
 
Madam Mwajuma,
Mkuu yaani mimi najikuta naongea mwenyewe kama najibishana na mtu nishachunguza kwetu tupo hivyo hasa kwa upande wa mama ila naona ni genetic

Nikija moshi ntakutafuta mkuu maana ulishawahi kusema huku jf unakaa KCMC
 
Back
Top Bottom