Tatizo la mtandao, Airtel money kila siku jioni

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
2,186
2,455
Wakuu habari za majukumu?.

Nimekuwa Niki observe tatizo la mtandao katika ufanyaji wa miamala ya Airtel money kila siku jioni angalau kuanzia saa moja mpaka saa tatu.

Katika muda tajwa hapo kila unapojaribu kufanya muamala unaambiwa request not completed. Je Management ya Airtel imeridhika na hali hii. Inashangaza sana maana ni jambo la muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom