Tatizo la Mjamzito kuwashwa mwili wote

Pelly

Senior Member
Mar 26, 2013
117
91
Habari zenu,

Nakuja tena nikiamini hapa nitapata msaada kama ninavoendelea kupata kutoka post na majibu yenu. Dhumuni l uzi huu ni hivi, wife ni mjamzito wa miezi 6 unaendea wa 7 lakini mwili unamuwasha licha ya kuwa yeye ni msafi sana na kuoga kwake na mashampuu kibao, anayejua tatizo na msaada kama atakuwa tayari atujuze maana anateseka sana.

Asanteni
 
Labda kuna kitu kimemletea/kinamletea allergy. Mpeleke hospital mapema, asiendelee kuteseka
 
Hakuna dawa aliyotumia? Mfano mimi nikimeza dawa zile za mseto nitawashwa mwili wote hasa sehemu za viganjani.
Kama anatumia dawa flani basi huenda hiyo dawa ina substance ambayo haipatani na mwili wake.
 
Mi niliwashwa jamani' nilupata vipele vidogovidogo vinayokea kwa makundi kama rashes' dokta aliniambia vumilia vitaisha ukishajifungua tu' na kweli viliisha
Habari zenu, nakuja tena nikiamini hapa nitapata msaada kama ninavoendelea kupata kutoka post na majibu yenu.
Dhumuni l uzi huu ni hivi, wife ni mjamzito wa miezi 6 unaendea wa 7 lakini mwili unamuwasha licha ya kuwa yeye ni msafi sana na kuoga kwake na mashampuu kibao, anayejua tatizo na msaada kama atakuwa tayari atujuze maana anateseka sana.
Asanteni
 
Na vilinipata trimister ya pili' niliwashwa mkonini mapajani miguuni' niliwashwa haswa' dokta wangu akanambia vumilia vitaisha ukishajifungua' nilipojifungua tu sikuviona tena' na iyo ndio adha iliyonipata kupindi cha ujauzito' sikutapika wala nn' nilidunda tu
Mi niliwashwa jamani' nilupata vipele vidogovidogo vinayokea kwa makundi kama rashes' dokta aliniambia vumilia vitaisha ukishajifungua tu' na kweli viliisha
 
No' ni trimister ya tatu sio ya pili
Na vilinipata trimister ya pili' niliwashwa mkonini mapajani miguuni' niliwashwa haswa' dokta wangu akanambia vumilia vitaisha ukishajifungua' nilipojifungua tu sikuviona tena' na iyo ndio adha iliyonipata kupindi cha ujauzito' sikutapika wala nn' nilidunda tu
 
Katika kusoma kwangu huko zamani, niliona mahali wameandika ngozi ikitanuka (stretching) ina kawaida ya kufanya mtu awashwe. It can be caused by kuongezeka uzito wa mwili kwa sababu ya mimba au sababu nyingine yeyote. mwambie ajaribu kuogea maji ya moto ili kuruhusu ngozi kutanuka kirahisi then ajipake mafuta ya nazi (natural kabisa) if possible atengeneze mwenyewe.
akifanikiwa kupona itabidi dogo aitwe Alexander au Arnold.
karibu tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom