Tatizo la Mirija ya Uzazi kuziba: Changamoto na tiba yake

Simplelady

Member
Oct 26, 2009
44
22
Wana Jf tafadhari naomba kama kunamtu anajua dawa ya kuzibua mirija ya uzazi , kwani nimepima hospitali wamesema mirija imeziba siwezi kupata ujauzito.
 
Hilo swali lingekuwa la kwanza kumuuliza Daktari aliyekuambia mirija imeziba...sababu hakuna Daktari mjinga atayekuambia kuwa mirija yako ya uzazi imeziba na inakuzuia kupata mimba...kisha hasikushauri nini cha kufanya kukusaidia upate ujauzito. Tafadhali rudi kwa Daktari wako..au kama hukuridhika na ushauri wake, basi nenda kamuone Daktari mwingine bingwa ukiwa na majibu ya vipimo vyako ili akushauri.

Mirija kuziba si sababu ya kutozaa maisha yako yote, kuna njia m'badala unaweza tumia kutokana na tekinolojia siku hizi. Lakini inategemea na chanzo cha tatizo ni nini na imeathirika kwa kiasi gani.
 
Nashukuru kwa majibu yako, daktari alisema inabidi kufanyiwa upasuaji na hapohapo amesema ingawa mafanikio yake ni 2% na inaweza kuziba tena. Njia ya uhakika ni IVF ambayo ni gharama kubwa. sasa mimi sina hela ndio maana nikauliza hilo suali kama kuna mtu hapa JF
 
nenda mico dispensary sinza wanatoa hiyo huduma ya IVF nadhani ni 70,000tshs kama utaweza kuafford
 
Hilo swali lingekuwa la kwanza kumuuliza Daktari aliyekuambia mirija imeziba...sababu hakuna Daktari mjinga atayekuambia kuwa mirija yako ya uzazi imeziba na inakuzuia kupata mimba...kisha hasikushauri nini cha kufanya kukusaidia upate ujauzito. Tafadhali rudi kwa Daktari wako..au kama hukuridhika na ushauri wake, basi nenda kamuone Daktari mwingine bingwa ukiwa na majibu ya vipimo vyako ili akushauri.

Mirija kuziba si sababu ya kutozaa maisha yako yote, kuna njia m'badala unaweza tumia kutokana na tekinolojia siku hizi. Lakini inategemea na chanzo cha tatizo ni nini na imeathirika kwa kiasi gani.

Mkuu Riwa umesema yote stahili ya kufanya, mtoa mada fuata ushauri huo
 
Last edited by a moderator:
Labda nikuu lize swali je ulisha wahi kutumia vidonge vya uzazi kama "Contraceptival" au hata ya sindano?
 
Nashukuru kwa majibu yako, daktari alisema inabidi kufanyiwa upasuaji na hapohapo amesema ingawa mafanikio yake ni 2% na inaweza kuziba tena. Njia ya uhakika ni IVF ambayo ni gharama kubwa. sasa mimi sina hela ndio maana nikauliza hilo suali kama kuna mtu hapa JF

hivi ivf bongo ina mafanikio? maana matatizo ya uzazi haya mtaji kwa wengine
 
Kubwa linalosababisha mirija ya uzazi kuziba ni kutokana na magonjwa ya zinaa yasiyotibiwa, kuharibu mirija na hatimaye kuziba. Matibabu yake huenda ikahitajika upasuaji na kujaribu kuzibua, Mzizi Mkavu wewe ni mtaalamu wa tiba asili hapa hebu nisaidie hapa me kuna tiba asili ya kuzibua mirija ya uzaziiliyoziba?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom