Scofield
Member
- Mar 10, 2012
- 14
- 5
Habari na poleni na majukumu ya kila siku.
Mimi ni mdau wa mda mrefu katika sekta ya madini nchini, nina miliki leseni kadhaa za uchimbaji mdogo yaani Primary Mining License (PML).
Kuna jambo ambalo linanichanganya sana, hadi hivi sasa mmiliki wa hati miliki ya kiwanja/nyumba anaaminika na anakopesheka na mabenki karibia yote nchini
ILA
Mmiliki wa mgodi/migodi yenye geological report inayonyesha kiwango na ubora wa madini yaliyopo pamoja na mkataba/local purchasing order (LPO) ya kuuza kiwandani madini hayo HAAMINIKI na wala hawezi kukopesheka katika benki yoyote ile nchini.
Nimeona hili niliweke hapa ili serikali kupitia wizara husika na wadau wote wa maendeleo mlione.