Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Nilikuwa na tatizo kama lako. Nenda hosptal kapime uric acid.
Ilianza hivyo hvyo magoti kusuguana mwishowe magot yakaanza kuuma pamoja na misuli nimekula NAT B hadi zimeninukia vby. Nilipopimwa URIC ACID nikakutwa nayo imezidi. Nikaanza kutumia dawa ALLOPRINAL uric acid ikashuka na magoti yakaacha kuuma na kusuguana kwa sasa niko poa kbs. Magoti husumbua endapo uzito mkubwa lkn mim nilikuwa na 69kg nikawa nashangaa kwann kumbe uric acid imezidi kiasi, uric acid iliongezeka kwa kula nyama ya ng'ombe mfululizo.
KAPIME URIC ACID.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Dr kanishauri nichome sindano hii imakaaje kwa ushauri wake anasema hii ni bora zaidi sindano moja 10000 na ni kwa siku tano natarajia kuanza leo hii imekaaje

Nb. kwa sasa napata shida kidogo kuwaamini madaktari wengi wako after money ndio maana nakusanya mawazo ya wadau
 
Kuna Dr kanishauri nichome sindano hii imakaaje kwa ushauri wake anasema hii ni bora zaidi sindano moja 10000 na ni kwa siku tano natarajia kuanza leo hii imekaaje
Nb.kwa sasa napata shida kidogo kuwaamini madaktari wengi wako after money ndio maana nakusanya mawazo ya wadau
Kwanini wewe shida ikoje haswa ya miguu? Ulivyopiwa urishauliwa nini tupeane mawazo?
 
Salam kwenu.
Nimekuwa naexperince kitu kigeni miguuni mwangu kuanzia magotini kushuka chini. Yaani kuna muda kama kuna msukumo wa damu yenye joto hivi inashuka chini kisha nasikia ubaridi.

Miguu haiumi hata kidogo ila ni hiyo hali tu hunitokea, na kiukweli sikumbuki Mara ya mwisho nilitibiwa lini maana ukisikia nimeenda Hosp ni kucheki wagonjwa au kumsindikiza mgonjwa. Nipo fit. Ila hali hii inanitia mashaka.

Naomba mnipe ABC kabla sijaenda hospital kwa check up, maana kuna work mate kanambia niache pombe Kali zaweza kuwa ndo chanzo, ni kweli au.
 
Inawezekana kisukari mkuu nenda kapime mapema
 
Kumbe wewe mlevi acha pombe haina maana kwako.Meza vidonge vya vitamin B complex
 
Salam kwenu.
Nimekuwa naexperince kitu kigeni miguuni mwangu kuanzia magotini kushuka chini. Yaani kuna muda kama kuna msukumo wa damu yenye joto hivi inashuka chini kisha nasikia ubaridi.

Miguu haiumi hata kidogo ila ni hiyo hali tu hunitokea, na kiukweli sikumbuki Mara ya mwisho nilitibiwa lini maana ukisikia nimeenda Hosp ni kucheki wagonjwa au kumsindikiza mgonjwa. Nipo fit. Ila hali hii inanitia mashaka.

Naomba mnipe ABC kabla sijaenda hospital kwa check up, maana kuna work mate kanambia niache pombe Kali zaweza kuwa ndo chanzo, ni kweli au.

Inawezekana ikawa high blood pressure pia.. kacheki hii
 
Bp hiyo Nina experience hiyo mkuu, acha au punguza biere piga 2 plus one for the road, ukipima sukari normally inakuwa normal kabisa ila Bp juu
 
Habari, kapime BMI ili ulinganishwe uzito wako na kimo. Kama haviwiani utashauriwa.

Pia tatizo laweza kuwa ni neuropathy! Hapo lower nerves zaweza kuwa zina shida.

Je, unafanya kazi ya kukaa sana sehemu moja?
If yes, discourage that na uanze kufanya mazoezi kabla matatizo zaidi hayajakutokea.

U may check also Typhoid fever!
Pole
 
Utakuwa na upungufu wa madini. Meza vidonge vya Magnesium. Pia kama utapata maji ya kisima yale ambayo hayashiki sabuni, kunywa hayo kwa wiki mbili tatu...
 
Habari, kapime BMI ili ulinganishwe uzito wako na kimo. Kama haviwiani utashauriwa.

Pia tatizo laweza kuwa ni neuropathy! Hapo lower nerves zaweza kuwa zina shida.

Je, unafanya kazi ya kukaa sana sehemu moja?
If yes, discourage that na uanze kufanya mazoezi kabla matatizo zaidi hayajakutokea.

U may check also Typhoid fever!
Pole
Kazi yangu siyo ya kukaa mda mrefu. I'm a secondary school teacher. Nasimama class had dakika 80
 
Kama unaleta utani hivi, maji ya kisima tena!!!
Acha ujinga. Yani mie naweza kukaa hapa kupoteza muda kuleta utani kwenye ishu siriaz? Basi kufa na ugonjwa wako. Sikulazmishi kunywa dawa. Nina uhakika na ninachokiongea.

Pia kapime kisukari kama mdau alivyoshauri hapo juu!
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom