Lucas kajale
New Member
- Aug 11, 2018
- 1
- 0
Tafadhalini naomba msaada wa dawa ya miguu kuwaka moto chini ya nyayo na kufa ganzi kwa mama mwenye umri wa miaka 70
Mkuu jaribu kumpima sukari uone...Tafadhalini naomba msaada wa dawa ya miguu kuwaka moto chini ya nyayo na kufa ganzi kwa mama mwenye umri wa miaka 70
Nashukuru kwa ushauri ndugu.Embu kwanza mkeo anatakiwa akapime Roundom glucose test(RBG) level kuroll out diabete ama kisukari pia kapime na burcellor test kuroll out burcelosis pia kama miguu inawaka moto kwnye unyayo tunaweza tuka kwere gaut kwa kula nyma ya mbuzi sana pia ukiona tatizo bado usisite kumuona neurologist huenda akawa na tatzo kwny masuala ya neuropathy wakati alipokuwa amefanyiwa oparation kwny fimoral nevers zikawa afected ama cirtic nevers zimepata shida matibabu
1..mpe strong antibiotics yeyote kuroll out anyinfenction
2...neurobin injenction ama neuroton tabs itamsaidia
3..mpe Ibrufein tabs ama pyroscum 500mg kama antipain
4...mfanyie follow up...
NINGEPENDA KUJUA HII DAWA YAKO INAITWAJEMada hili inahusu matatizo ya Miguu kuwaka moto na namna ya kukabiliana nayo.
View attachment 367274
Maswali...
Nimekuwa na tatizo la miguu yote miwili kuwaka moto sana, hata kutembea nashindwa kukanyaga chini vizuri.
Nina umri wa miaka 38 na uzito wa 98Kg.Sijaugua ugonjwa mwingine zaidi ya malaria ya kawaida kwa mwaka mara mbili au moja.
Kwa ufupi sina mazoezi yoyote ya viungo nifanyayo.Sasa natembelea fimbo kama mlemavu.
WanaJF, Niangalizieni hili na kama kuna mtaalamu wa viungo humu basi anipe ushauri ni mazoezi gani nifanye kupunguza uzito.
Ushauri, Kinga na Tiba...
Mrejesho/Ushuhuda
Maelezo uliotoa yote ndio shida inayonisumbua hasa,nifanyaje ili nipone naomba ushauriUmri, jinsia,kazi shughuli yako?
Je, ni kwa muda gani umekuwa na tatizo hilo? lilianzaje, je linapungua/kuongezeka au liko pale pale kadri ya muda unavyokwenda?
-Je miguu hufa ganzi, kusikia vitu kama una vichomi(kuhisi miguu inachomwa chomwa)?, jotoridi la miguu huwa linapungua (kuhisi miguu inakuwa ya baridi?)
-Ulishawahi kupima sukari?Kuna mtu katika familia/ukoo mwenye tatizo la kisukari?
-
Ktk hivyo ulivyoongezea Mimi nyumba ya began hapaumi,tumbo halijai gesi na kichwa hakiumi ila hayo mengine ninayapata + aliyoyasema mdau hapo juuKuna dalili zingine haujazisema
katika ilo tatizo lako vinakwenda sambamba
Miguu kupata moto
Ganzi kwenye miguu peke yake au mbaka kwenye mikono
Kifua kuwaka moto
Je,tumbo alijai gesi
Kichwa akiumi
maumivu nyuma ya bega
Choo unapata fresh
Usikii uchovu mara kwa mara
hauna dalili yeyote ya maumivu kwenye misuri ya moyo
Ebu funguka na dalili zingine unazo zisikia ili tukupe tiba .
aiseeIlo la ganzi sina hakika sana... ilo la kuwaka moto em piga namba hii 114 nina uhakika fire watakusaidia kwa haraka
Mkuu Dr usirudi huku bongo hakufai mheshimiwa Dr VicentMimi ni dk, ila niko nje ya nchi, napenda kusoma hii jf. hivi karibuni nitarudi nyumbani
Magoti yangu yanauma takribani kwa miezi 2 sasa tangu kubaini tatizo hili. Na hivi karibu kila nikikunja magoti kuna mlio unasikika toka magotini kama vitu vinasugua huku kukiambata na maumivu makali yanayosababisha nisiweze kukunja au kunyoosha magoti ghafla.
Naomba utaalamu wenu nitumie tiba gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ya ganzi miguu na mikono,msaada tafadhari tusaidiane wadauNilikuwa na tatizo kama lako. Nenda hosptal kapime uric acid.
Ilianza hivyo hvyo magoti kusuguana mwishowe magot yakaanza kuuma pamoja na misuli nimekula NAT B hadi zimeninukia vby. Nilipopimwa URIC ACID nikakutwa nayo imezidi. Nikaanza kutumia dawa ALLOPRINAL uric acid ikashuka na magoti yakaacha kuuma na kusuguana kwa sasa niko poa kbs. Magoti husumbua endapo uzito mkubwa lkn mim nilikuwa na 69kg nikawa nashangaa kwann kumbe uric acid imezidi kiasi, uric acid iliongezeka kwa kula nyama ya ng'ombe mfululizo.
KAPIME URIC ACID.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ganzi kafanye vipimo hv