Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,406
Wewe ni me au ke nataka nikwambiee jinsi mm nilivyopata utaratibuBado aisee.
Wewe ni me au ke nataka nikwambiee jinsi mm nilivyopata utaratibuBado aisee.
Acha pombe kali...check pressure na speciffically check cholesteral. Hiyo ndio tatizo haswaHabari wana jf naomba kuuliza kuwa la tatizo la kuhisi maumivu ya kuwaka moto kwenye miguu husababishwa na nini?
Nipm nikupe maelezo mm nimepona kabisaaKwa sasa niko na mwezi hili tatizo lanisumbua. Mguu wa mkono kulia kufa ganzi na kuwaka moto na kuhisi kama kuna miba inachomachoma. Natumia mafuta ya karafuu na pia nimeambiwa nipunguze ulaji nyama. Nahisi nafuu kiasi, vipi kuna mtu ana tiba nzuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa yake ni Ganoderma lucidam au chai ya majani ya mlonge .Ila Hiyo Ganoderma lucidam Ni Bora zaidi unapona baada ya dakika chache toka utumie.Nijuze upo wapi mkuuBado aisee.
Nipo shinyangaDawa yake ni Ganoderma lucidam au chai ya majani ya mlonge .Ila Hiyo Ganoderma lucidam Ni Bora zaidi unapona baada ya dakika chache toka utumie.Nijuze upo wapi mkuu
Sawa mkuuNipo shinyanga
Hiyo Ganoderma nini?Dawa yake ni Ganoderma lucidam au chai ya majani ya mlonge .Ila Hiyo Ganoderma lucidam Ni Bora zaidi unapona baada ya dakika chache toka utumie.Nijuze upo wapi mkuu
Mm nilikuwa na hili tatizo hadi nilikuwa siwezi vaa viatu kabisa so nakushauri uende hospital ukaonger na doctor but kama atakuwa anajua atakupa dawa inaitwa NAT B a huge dose mm nilikwenda kairuki nishapona now viatu navaa as usualKwa sasa niko na mwezi hili tatizo lanisumbua. Mguu wa mkono kulia kufa ganzi na kuwaka moto na kuhisi kama kuna miba inachomachoma. Natumia mafuta ya karafuu na pia nimeambiwa nipunguze ulaji nyama.
Nahisi nafuu kiasi, vipi kuna mtu ana tiba nzuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema NAT B?Mm nilikuwa na hili tatizo hadi nilikuwa siwezi vaa viatu kabisa so nakushauri uende hospital ukaonger na doctor but kama atakuwa anajua atakupa dawa inaitwa NAT B a huge dose mm nilikwenda kairuki nishapona now viatu navaa as usual
Thanks to doctors
Embu kwanza mkeo anatakiwa akapime Roundom glucose test(RBG) level kuroll out diabete ama kisukari pia kapime na burcellor test kuroll out burcelosis pia kama miguu inawaka moto kwnye unyayo tunaweza tuka kwere gaut kwa kula nyma ya mbuzi sana pia ukiona tatizo bado usisite kumuona neurologist huenda akawa na tatzo kwny masuala ya neuropathy wakati alipokuwa amefanyiwa oparation kwny fimoral nevers zikawa afected ama cirtic nevers zimepata shida matibabuHabarini wana Jf
Nami mke wangu ana tatizo la miguu kupata baridi na muda mwingine huwa ina ganzi, na pia akiwa na hasira na kufoka huwa anaishiwa kabisa nguvu,
tumeenda hospital nyingi tukawa tunaambiwa ni upungufu wa vitamin B
na kupewa dawa za vitamin B, ila ikawa bado hali inaendelea.
Nikampeleka Muhimbili moi na kupima mri na majibu yakasema hana shida na tukapewa dawa ambazo ni
Ligaba
Neuroton
Fastum gel na
Melorem. Baada ya kuzitumia hali ndo ikazidi,
ikabidi turudi na akapima EMG, majibu ni yaleyale na kupewa dawa za
Onegaba (vidonge)
Neurorubine (sindano)
ila bado hali si nzuri.
Ana watoto wawili na wote kajifungua kwa Operesheni.
Naomba ushauri wenu tufanyaje jamani?
Mm nimepona kwa bidhaa za neo life sijui ww umeponaje ?? Ungeweka waz tu hapa kwa faida ya wengine
Maswali ni mengi ya kuulizaMm nimepona kwa bidhaa za neo life sijui ww umeponaje ?? Ungeweka waz tu hapa kwa faida ya wengine
Kwa faida ya wasomaji ni vizuri ukaweka tu,atakaye kuwa na maswali ndiyo akufuate pm.Maswali ni mengi ya kuuliza