Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Wadau mimi nina tatizo la miguu kuuma chini ya kisigino km nimechomwa na kitu cha ncha kali.
Na hii imatokea wakati wa asubuhi nikiamka au nikikaa sehemu kwa muda,nilienda hospital nikapewa dawa aina ya NUROBIAN nimetumia lakini hali bado naombeni msaada.
 
upload_2018-2-20_14-58-43.jpeg
 
Tiba yake sasa inakuwaje na pengne nini kisababishi ni nini isijekuwa naendelea kujiumiza?
kafanye xray ya foot lateral view itakionyesha vizuri, then kama kitakuwa kikubwa huwa wanafanya operation.

Hakuna kinacho sababisha hicho, ila ni structure ya mfupa huo ambapo hapo kuna muscles,cartilages na tendons zinakuwa attached, ila sasa kwa wengine vinaendelea kuota na kusababisha kukandamiz either muscle or nerve ndo chanzo cha maumivu
 
kafanye xray ya foot lateral view itakionyesha vizuri, then kama kitakuwa kikubwa huwa wanafanya operation.Hakuna kinacho sababisha hicho, ila ni structure ya mfupa huo ambapo hapo kuna muscles,cartilages na tendons zinakuwa attached,ila sasa kwa wengine vinaendelea kuota na kusababisha kukandamiz either muscle or nerve ndo chanzo cha maumivu
Ok,nashukuru sana Chinatown nitafanya hivyo soon.
 
Wakuu. Nina tatizo la kuuma mgongo miguu kuchoma pamoja na mikono huu n mwaka wa pil nmepima sukar sina wala magonjwa ya znaa ikiwemo ukimwi. Nmeenda hospital nying sana Lkn majib cjapata. Nmetumia dawa nying sana ikiwemo neuron support. Vitamin B. Na dawa nyingine nying lkn bado cjapata nafuu. Naomben msadaa cna furaha ya maisha kbsa
 
jaribu kuwaona ma neuro surgeons wao watamalizana na wewe nadhani vipimo watakavyo kuandikia ni pamoja na mri
 
Dawa zipi umejaribu?Mimi nina ndg alikuwa na case kama ya kwako.Sikuamini,kuna Dr.anaitwa Sharrif yuko MOI(si rahisi-foleni) lkn alikuwa na clinic Hindu Mandal. alipigwa X-ray,na kwa maelezo ya ki lay man tatizo lilikuwa mishipa. Baada ya X-ray,ikabidi anyukwe sindano za visigino,1 kila kisigino-aaaaah mbona anatembea na viatu vya kuchuchumaa sasa! Nahisi unaweza kuwa na tatizo hilo x 2.
Rakey
Tafadhali sana naomba namba ya huyo daktari mwenye clinic ya hindumandal. Nimeugua muda mrefu
 
Habarini wana Jf
Nami mke wangu ana tatizo la miguu kupata baridi na muda mwingine huwa ina ganzi, na pia akiwa na hasira na kufoka huwa anaishiwa kabisa nguvu,
tumeenda hospital nyingi tukawa tunaambiwa ni upungufu wa vitamin B
na kupewa dawa za vitamin B, ila ikawa bado hali inaendelea.
Nikampeleka Muhimbili moi na kupima mri na majibu yakasema hana shida na tukapewa dawa ambazo ni
Ligaba
Neuroton
Fastum gel na
Melorem. Baada ya kuzitumia hali ndo ikazidi,
ikabidi turudi na akapima EMG, majibu ni yaleyale na kupewa dawa za
Onegaba (vidonge)
Neurorubine (sindano)
ila bado hali si nzuri.
Ana watoto wawili na wote kajifungua kwa Operesheni.
Naomba ushauri wenu tufanyaje jamani?
 
Wakuu. Nina tatizo la kuuma mgongo miguu kuchoma pamoja na mikono huu n mwaka wa pil nmepima sukar sina wala magonjwa ya znaa ikiwemo ukimwi. Nmeenda hospital nying sana Lkn majib cjapata. Nmetumia dawa nying sana ikiwemo neuron support. Vitamin B. Na dawa nyingine nying lkn bado cjapata nafuu. Naomben msadaa cna furaha ya maisha kbsa
Ok. Nami Nina tatizo kama la kwako ni MDA mrefu sjapona . Kama utapata Sawa nshirikishe nami nkipata ntakushirikisha
 
Habarini wana Jf
Nami mke wangu ana tatizo la miguu kupata baridi na muda mwingine huwa ina ganzi, na pia akiwa na hasira na kufoka huwa anaishiwa kabisa nguvu,
tumeenda hospital nyingi tukawa tunaambiwa ni upungufu wa vitamin B
na kupewa dawa za vitamin B, ila ikawa bado hali inaendelea.
Nikampeleka Muhimbili moi na kupima mri na majibu yakasema hana shida na tukapewa dawa ambazo ni
Ligaba
Neuroton
Fastum gel na
Melorem. Baada ya kuzitumia hali ndo ikazidi,
ikabidi turudi na akapima EMG, majibu ni yaleyale na kupewa dawa za
Onegaba (vidonge)
Neurorubine (sindano)
ila bado hali si nzuri.
Ana watoto wawili na wote kajifungua kwa Operesheni.
Naomba ushauri wenu tufanyaje jamani?
Ndg pole sana kwa matatizo yaliyowapata wew na mkeo hebu ukampime ugonjwa wa brucella
 
Wadau mimi nina tatizo la miguu kuuma chini ya kisigino km nimechomwa na kitu cha ncha kali.
Na hii imatokea wakati wa asubuhi nikiamka au nikikaa sehemu kwa muda,nilienda hospital nikapewa dawa aina ya NUROBIAN nimetumia lakini hali bado naombeni msaada.
Mkuu na mm nina tatizo kama la kwako umeshapona
 
Back
Top Bottom