Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Napatikana wapi Mimi au huo mti? Mimi sipatikani kabisa, Ila mti inapatikana mashuleni uliza MUHENGA yoyote mti wa m biriti atakuwa anaujuwa..

Chukua mizizi, loweka, ichune magamba yake, weka ktk beseni, loweka miguu yako, utaskia maumivu yanavutwa huko yalikokuwa kuja ktk unyayo, vumilia hadi maumivu yaache...kama utajaribu basi tunaomba mrejesho
Norshad hakuna mtu anayejua kwa jina hilo plz may yu provide jina njingine hata high nimesearch hakuna
 
Mkuu hii hina inapatikana wapi na matumizi yake yakoje na ufanisi wake ukoje.
Hina inapatikana katika miji ya Pwani Dar,Tanga,unguja na Mombasa uliza hiyo miji utaweza kuipata hina wanapakaa wanawake wakati wanapo olewa nyayoni na mikononi ina faida nyingi sana hina kimatibabu.

HEnna.png
 
Pole sana ndugu... binafsi nilishawahi kupatwa na hili tatizo, nilikuwa na umri wa miaka 21, na nilikuwa bording school advance, ilinipa shida sana maana nilikuwa siwezi kuvaa viatu wala soksi. Na nikikanyaga chini kwa mda bado nahisi moto. Nilipata shida kwa mda ila nakumbuka nilirudi nyumbani nikapelekwa kwa dactari, sikumbuki nilitumia dawa gani lakini ilikuwa ni sindano tano, moja kila baada ya siku 7. Hiyo sindano maumivu yake siwezi yasimulia maana ni hatari. Ukichomwa lazima ulale kitandani kama nususaa kwa maumuvu. Ila namshukuru mungu baada ya hapo nilipona. LAKINI KAMA UNATUMIA PILIPILI ACHA, MAANA NAYO HUWA INAONGEZA TATIZO. Nasema hivyo maana nilipokuwa ninatumia pilipili baada ya mda nahis moto. So nakushauri umwone doctor, pili acha kutumia pilipili nanpia jaribu kupunguza uzito ingawa sijui kama kuna connection
Mimi nilivimba miguu "Rheumatoid Arthritis"nilipigwa sindano hiyo...inaitwa penadul...ni shida..lazima ushibe kabla ya kudungwa na lazima ulale walau nusu saa ndo uondoke....na mm namshukuru Mungu nipo fresh..
 
Kadhalika namimi wakuu msaada wenu hapa tafadhali,,ila mimi nitofauti kidogo,,,kiuno huwa kinanikaza mala kwa mala nakupata maumivu makali hili tatizo husababishwa nanini!!,,,Msaada wenu wajuzi wamambo
we nenda hospitali kajieleze vizuri, hapa wala hatuoni wala kusikia, ni kusoma tu.
Unaweza ukawa umaumia watu tukachukulia poa
 
Wapendwa naomba mnisaidie jamani nasumbuliwa na. miguu inauma na kuwaka moto hasa kipindi nikiwa siku zangu sina amani kabisa wakati.mwingine nahisi kama visindano vinanitoboa sehemu tofauti tofauti.msaada plz
pia usisahau kupima Kisukari na Ukimwi
 
NAMIMI NINADUKIA KUCHOMWA kwenye miguu na mikono pamoja vidole yaani kama nachomwa chomwa sindano
na kuanzis kwenye mapaja nyuma mpkaribia na matako mpaka chi mosuri inauma na kuchoma napata shida sana wadau silali
 
NAMIMI NINAsiKIA KUCHOMWA kwenye miguu na mikono pamoja vidole yaani kama nachomwa chomwa sindano
na kuanzia kwenye mapaja nyuma mpkaribia na matako mpaka chi misuri inauma na kuchoma napata shida sana wadau silali
nimefanyaa mazoezi lkn wapi hali ile ile
 
Wakuu wa nchi kama Kuna mtu anasumbuliwa na miguu kuwaka moto please tuwasiliane Ninajua dawa ya kuwasaidia ,

nilikuwa na tatizo la miguu kuwaka moto Kwa miaka 4 kwa kweli nilitumia si dawa za hospitalini na za miti shamba kama debe mbili za unga bila nafuu ,

baadaye nikaja bahatika kupata dawa aina mbili za hospitalini ambazo nilitumia na kupona kabisa

.Hata kuna mwana JF nilimpatia dawa na akaja kutoa ushuhuda hapa JF . User I D ni nyamagala na amepona kabisa .

Kama uko Arusha , Manyara au Moshi tunaweza kukutana Arusha Tanzania, unaweza kuniachia number ya simu Au inbox me please. Have a good night you guys:)
Mi niko Arusha na nina tatizo hilo la kuwaka miguu moto na ganzi tutaonanaje?
 
Pole sana mkuu... Mm nilikuwa na hlo tatizo since 2014.....nilihangaika sana.... Nilipima kila kitu bila Kugundua tatizo.... Mwishowe nika give up.....
Kina kipindi yalikuwa yanafululiza kuanzia ninapoamka kitandan hadi ninavyorudi kulala usiku.....

Nilihudhuria maombi just twice nimepona kabisa..... Hadi nasahau kama nilishawahi kusumbuliwa na hiyo hali.....
Hakika Mungu anaweza....
 
Back
Top Bottom