dkamgu
Senior Member
- Sep 11, 2017
- 119
- 69
Nimekuelewa mkuuMkuu haupo peke yako haswa kwenye miguu kuwaka moto. Nilishawahi omba ushauri hapa na michanga ya mawazo ilikuwa mingi lakin haikunisaidia kuna mmoja alinishuri nitumie tramadol lakin ilikuwa isaidia kwa mtu tu. Labda jitahidi kuwaona madaktari bingwa ktk eneo lako au wakupe refferal uende Muhimbili utapona