Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Dalili za kisukari ni pamoja na miguu kuwaka moto hii inaashiria kuwa nerve zako zimeathirika za upande wa miguu..na sukari ikizidi kwenye damu mate lia huwa mazito na wakati mwingine mdomo kukauka mate.
Mhhh mkuu ila hilo nalo neno ngoja nikapime na kisukari
 
Kuna dalili zingine haujazisema
katika ilo tatizo lako vinakwenda sambamba
Miguu kupata moto
Ganzi kwenye miguu peke yake au mbaka kwenye mikono
Kifua kuwaka moto
Je,tumbo alijai gesi
Kichwa akiumi
maumivu nyuma ya bega
Choo unapata fresh
Usikii uchovu mara kwa mara
hauna dalili yeyote ya maumivu kwenye misuri ya moyo

Ebu funguka na dalili zingine unazo zisikia ili tukupe tiba .
 
Kuna dalili zingine haujazisema
katika ilo tatizo lako vinakwenda sambamba
Miguu kupata moto
Ganzi kwenye miguu peke yake au mbaka kwenye mikono
Kifua kuwaka moto
Je,tumbo alijai gesi
Kichwa akiumi
maumivu nyuma ya bega
Choo unapata fresh
Usikii uchovu mara kwa mara
hauna dalili yeyote ya maumivu kwenye misuri ya moyo

Ebu funguka na dalili zingine unazo zisikia ili tukupe tiba .
Mi nilikuwa naskia dalili kama hizi, sahv zimepungua, mi ni mtu wa mazoezi but kwa miezi kama mitanog sijapiga mazoezi.
 
Kuna dalili zingine haujazisema
katika ilo tatizo lako vinakwenda sambamba
Miguu kupata moto
Ganzi kwenye miguu peke yake au mbaka kwenye mikono
Kifua kuwaka moto
Je,tumbo alijai gesi
Kichwa akiumi
maumivu nyuma ya bega
Choo unapata fresh
Usikii uchovu mara kwa mara
hauna dalili yeyote ya maumivu kwenye misuri ya moyo

Ebu funguka na dalili zingine unazo zisikia ili tukupe tiba .
Dalili zingine za kuongezea ni kizunguzungu japo si wakati wote ila wakati mwingine nikilala usiku mwili hushtuka mithili ya MTU aliyepigwa na shoti ya UMEME
 
Mmmmmmmh

Kumbe tupo wengi wenye haya matatizo. Pia mwenye kunisaidia dawa ya tumbo kuunguruma muda wote hasa kipindi nikiwa nimelala. Tatizo langu ni la muda mrefu toka nasoma kidato cha nne hadi leo nina miaka 33.

Nimejaribu kila aina ya dawa siyo hospital ama kienyeji bado tatizo linaendelea
 
Ndugu zangu ninaomba ushauri wenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu kufa ganzi na kuwaka moto kwa muda mrefu pia wakati mwingine huwa napatwa na maumivu makali sehemu ya kifuani nawakati mwingine mate yangu huwa mazito mithili ya makohozi mf wa ute mweupe. Nimepima labda nikajua nina Tb lakini vipimo vikaonesha negative maana yake sina
Utakuwa na low blood pressure. Nenda kapime
 
Mmmmmmmh

Kumbe tupo wengi wenye haya matatizo. Pia mwenye kunisaidia dawa ya tumbo kuunguruma muda wote hasa kipindi nikiwa nimelala. Tatizo langu ni la muda mrefu toka nasoma kidato cha nne hadi leo nina miaka 33. Nimejaribu kila aina ya dawa siyo hospital ama kienyeji bado tatizo linaendelea
Kwa tatizo la tumbo kuunguruma kunywa maji kila siku asubuhi kabla ya kula chochote then ulete mrejesho hapa baada ya miezi miwili.
 
Nakushauri tumia udongo wetu wa asili Aunt Zainab's Natural Super Clay.

Utakusaidia sana na baada ya kuutumia wiki moja mfululizo tunaomba ulete mrejesho hapa hapa.

Kwa kuupata piga simu 0715448841 kama upo Kariakoo Dar. Au whatsapp 0625249605 kama upo nje ya Dar.
 
Mleta mada hujatoa maelezo yote ndiyo maana watu tunashindwa kuelewa tatizo lako ni nini haswa.
1.Umri wako
2.KE au me
3.Umepima sukari.
4.Una tatizo la presure.
5.Mgongo unauma.
6.Una shida yeyeyo kwenye kujisaidia haja ndogo au kubwa.
7.Unasikia ganzi muda gani.
8.Vitu gani unafanya ili ganzi ipungue.
9.kadri siku zinavyokwenda,shida inaongezeka,inapungua au iko palepale?
10.Unasikia maumivu miguuni na miguu kukosa nguvu au ni ganzi tu?
11.Unafanya kazi gani?
12.shida inakuwepo usiku ukiwa umelala?
13.Shida ilianza baada ya kufanya nini,eg.Ajali,kuugua etc
 
Hilo tatizo nnalo tofaut ni, mimi maumivu ya tumbo si kifua.[HASHTAG]#Ushauri[/HASHTAG]: Tumia habbat sauda, InshaAllah itakusaidia
 
Ndugu zangu ninaomba ushauri wenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu kufa ganzi na kuwaka moto kwa muda mrefu pia wakati mwingine huwa napatwa na maumivu makali sehemu ya kifuani nawakati mwingine mate yangu huwa mazito mithili ya makohozi mf wa ute mweupe. Nimepima labda nikajua nina Tb lakini vipimo vikaonesha negative maana yake sina[/Q

Tumia Vitamin B6 (pyridoxine) hiyo hali itaisha pia ni vema ukapima kiwango cha Sukari mwilini
 
Ndugu zangu ninaomba ushauri wenu nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la miguu kufa ganzi na kuwaka moto kwa muda mrefu pia wakati mwingine huwa napatwa na maumivu makali sehemu ya kifuani nawakati mwingine mate yangu huwa mazito mithili ya makohozi mf wa ute mweupe. Nimepima labda nikajua nina Tb lakini vipimo vikaonesha negative maana yake sina
Mkuu haupo peke yako haswa kwenye miguu kuwaka moto. Nilishawahi omba ushauri hapa na michanga ya mawazo ilikuwa mingi lakin haikunisaidia kuna mmoja alinishuri nitumie tramadol lakin ilikuwa isaidia kwa mtu tu.

Labda jitahidi kuwaona madaktari bingwa ktk eneo lako au wakupe refferal uende Muhimbili utapona
 
Kwa upande wa miguu fanya mazoezi ya kukimbia na kuruka kamba hii itakisaidia sana pale utakaposikia maumivu ya miguu yaani misuli inauma ndio tiba yenye ikipoa hiyo misuli basi na maumivu ya miguu yatapoa . pole sana
 
Mimi nikinywa tu soda au bia nakuwa nahisi miguu kuwaka moto kwa mbali, linaweza kuwa tatizo gani? Na nikilala mkono wangu Wa kushoto nikishika kitu hasa hasa simu wakati nachati na wenyewe unakuwa muwasho Wa kuwaka moto kwa mbali.

Linaweza kuwa tatizo gani wadau!?
 
Fanya MRI ya mgongoni thoracolumbar kesha nenda nayo kwa wataalamu pale MOI
 
Back
Top Bottom