Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kinachasababisha maumivu ya miguu inayouma na kuwaka kama moto kwenye nyayo, na nini tiba yake?
Mkuu kiswahili hakina misamiati ya kutosha ktk kuelezea ganzi vya.Hapa nina maana kwamba kuna ganzi ambapo kiungo (mguu) unapotenza sensation kwamba mtu hawezi kuhisi maumivu au mguso wowote.Hii mara nyingi inatokana hitilafu katika mfumo wa fahamu(nerves) unaoratibu kiungo hicho.Hili ni tatizo linalowakabili wagonjwa wa ukoma(sina maana kwamba mzee ana ukoma) kwani kwa maelezo yako hiyo haifanani na ukoma,dont worry. Pia kuna ganzi ambapo mtu anasikia mguu mzito sana hata kuusogeza anapata shida na linapokaribia kuisha anahisi kama kuna vitu vinachochoma.Hili ganzi mara nyingi hutokea pale ambapo mtu anakuwa amekalia vibaya mguu.Hili huwa ni la muda tu.Tatizo hapa linakuwa kwamba kwa namna fulani mtu anakuwa amebana aither mshipa wa damu na hivyo kuinterfere blood supply kwenye eneo linalokuwa limepata ganzi; au anakuwa amebana nerver Kutokana na maelezo hayo hapo juu tunaona kwamba sababu za kutokea ganzi zinatofautiana; na kwa kusema hivi nina maana kuwa na matibabu yake yanatofautiana.Ingawa hujasema ni ganzi la namna gani ila niseme tu kuwa kuna Dawa nyingi huwa wanatumia lkn matokeo yake yanatofautiana; kwa maana kwamba wakati mwingine dawa fulani inaweza kumsaidia mgonjwa fulani lkn isimsaidie mwingine. Lakini pia dawa nyingi sana zina matangazo mengi lakini uwezo wake unakuwa mdogo katika kutibu. Sina hakika mzee ana umri gani na ametumia dawa zipi,lakini nimeona wengi wanasaidiwa na Amitriptyline 1-2 tabs nocte 2-3weeks. Angalizo, akitumia dawa hii sometimes anaweza kujisikia kijiusingizi kidogo ingawa sio lazima. Watu wamekuwa wakishauriwa kutumia neurobion lkn wengi wao nimeona haijawasaidia sana,so I dont trust it much.
Jaribu dawa yangu hii huenda ikakusaidia Tafuta Hina ujipake nyayoni mwaka kisha unipe jibu maendeleo yake vipi?Miguu inawajka moto sanasana niktembea mda mrefu, wakati mwingine inatulia, nimefanya vipimo na madawa nimetumia ila sijaona nafuu, naomba ushauri!au nani anayemjua mtu mwenye uwezo wa kutibu anisaidie nateseka sana jamani!
Pole sana mkuu , hilo tatizo ni kweli lipo nalinatokea wakati unapolala linaitwa sleep paralysis (SP) View attachment 48274stayle ya kulala mfano supine position , kuwa na wasiwasi sana(execess stress),unywaji wa pombe au madawa ya kulevya . wakati unapokuwa umelala utendaji wa shughuli wa nerve za nnoradrenergic au serotonergic kwenye sehemu ya ubongo inayohusika na usingizi (pons na pia sehem zingine za brainstem structures) zinapungua kufanya kazi au kuzuiwa kwahiyo misuli inapunguza kazi yake(loss of muscle function) na kusababisha mkono au kiwilili cha mwili au miguu kuparalys na pia hali hii huambatana na ndoto inayomfanya mgonjwa kuhisi na kuona kitu kama kimemkaba au kimembeba wengine wanaita jinamizi, (hallusination) . pia hali hii hutokea kwasababu ya damu kupungua kufika kwenye mkono na kufanya misuli isipate oxygen na kufanya ipunguze kazi yake ,kwa namna nyingine tatizo hili huwa kubwa zaidi kunapotokea damage ya spinal nerve
kwa sababu tatizo la SP huwa ni tempo yaani wakati wa kulala au kuamuaka ,ukiamka na kutembea hupotea kama mpaka sasa linaendelea basi inabidii uende hospitalini kwaajili ya uchunguzi kama la kuja na kupotea basi epuka visabishi kama unywaji wa pombe au madawa ya kulevya , badilisha style ya kulala , na punguza wasiwasi
Helloww jf doctor!nawasabahi!
Well me nina siku ya pili sasa,nahis maumivu kwenye kiungio cha kiuno na kalio,yan nikigusa panauma kama nimepgwa,af miguu inauma kwa ndani from gotini ad nyayo,na zinawaka moto,ad ukigusa nyayo za moto! Basi ndo mwili wote unachoka!et tatizo nini?
Pole sana ndugu, unaugonjwa huitwao ngili ya uti wa mgongo (herniated disc), nenda hospitalini kama uko dar MOI haraka sana. unaweza paralyse miguu. wahi si mchezo.Helloww jf doctor!nawasabahi!
Well me nina siku ya pili sasa,nahis maumivu kwenye kiungio cha kiuno na kalio,yan nikigusa panauma kama nimepgwa,af miguu inauma kwa ndani from gotini ad nyayo,na zinawaka moto,ad ukigusa nyayo za moto! Basi ndo mwili wote unachoka!et tatizo nini?