shukuranimiguu kufa ganzi maana yake kuna kuwango kudogo cha damu kuelekea eneo husika tiba yake fanya mazoez mara ganz inapokuja hata kwa kuonyoosha mguu na kukunja
Ndugu wanajukwaa naomba kuchukua fursa hii kufahamu kutoka kwa wataalamu na wajuzi wa mambo;ni sababu zipi zinazosababisha miguu kufa ganzi kuna madhara gani na ipi ni tiba yake.Naomba kuwasilisha.
Mimi naomba namba yako pliz, nasumbuliwa na hilo tatizoWakuu wa nchi kama Kuna mtu anasumbuliwa na miguu kuwaka moto please tuwasiliane Nina Jua dawa ya kuwasaidia ,nilikuwa na tatizo la miguu kuwaka moto Kwa miaka 4 kwa kweli nilitumia si dawa za hospitalini na za miti shamba kama debe mbili za unga bila nafuu ,baadaye nikaja bahatika kupata dawa aina mbili za hospitalini ambazo nilitumia na kupona kabisa .Hata kuna mwana JF nilimpatia dawa na akaja kutoa ushuhuda hapa JF . User I D ni nyamagala na amepona kabisa .Kama uko Arusha , manyara au moshi tunaweza kukutana Arusha Tanzania, unaweza kuniachia number ya simu Au inbox me please. Have a good night you guys
Mkuu embu tupia namba nikutafute fastaWakuu wa nchi kama Kuna mtu anasumbuliwa na miguu kuwaka moto please tuwasiliane Nina Jua dawa ya kuwasaidia ,nilikuwa na tatizo la miguu kuwaka moto Kwa miaka 4 kwa kweli nilitumia si dawa za hospitalini na za miti shamba kama debe mbili za unga bila nafuu ,baadaye nikaja bahatika kupata dawa aina mbili za hospitalini ambazo nilitumia na kupona kabisa .Hata kuna mwana JF nilimpatia dawa na akaja kutoa ushuhuda hapa JF . User I D ni nyamagala na amepona kabisa .Kama uko Arusha , manyara au moshi tunaweza kukutana Arusha Tanzania, unaweza kuniachia number ya simu Au inbox me please. Have a good night you guys
MM NAMI NINA TATIZO LA KUUMA KWA UNYAYO HASA UPANDE WA VIDOLE NA UNYAYO WOTE WA MIGGUU UNAUMA SANA NIMETUMIA MAFUTA YA KARAFUU LAKINI BADO INAUMA NA WALA SILAGI VITU VYENYE MAFUTA SANA MARA NYINGI NAKULA VYA KUCHE.MSHA NA MAFUTA KIASI SASA TATIZO LANGU NASHINDWA HATA KUTEMBEA KABISA SIJUI NI NINI NISAIDIE DAWA GANI NTUMIEKwa Tatizo lako la Miguu kuwako Moto na Visigino jaribu kupakaa Hina kwenye nyayo zako inasaidia sana kwa hayo matatizo yako na kwa jambo la Unene jaribu kuwa unatembea kila siku kwa umbali wa kilomita kama tatu au tano kwa kila siku utapunguwa na jaribu pia kuwacha kula vyakula vya Mafuta Mafuta na kila siku jaribu kuwa unakunywa kijiko kimoja cha Siki ya Apple itakuasaidia kupunguza unene wako.
Diet ni muhimu zaidi ya yoteMimi nina tatizo hili la nyayo kuwaka moto na kuhisi ganzi miguu na vidole vya mikono. Nina kisukari type II nadhani ndiyo sababu kuu iliyonisababishia nyayo za miguu kuniwaka moto hasa wakati wa usiku nikipanda kitandani kwa kweli huwa silali, pia sukari ikipanda nyayo zinaniwaka moto.
Nilijaribu sana kufuatilia tiba na ushauri kupitia humu humu jamii forum, wengi wanashauri kutumia dawa na wengine wanasema mazoezi hasa ya kukimbia ni dawa tosha.
Nilianza program ya mazoezi nakimbia kidogo kidogo kuzunguka uwanja wa mpira kila siku asubuhi kwa muda wa nusu saa tu. Nilivyoanza mazoezi ndani ya siku 3 nyayo zilikuwa salama kabisa utafikiri sikuwahi kupatwa na tatizo hilo la nyayo kuwaka moto na sijawahi kutumia dawa yoyote.
Bado naendelea na mazoezi kila siku mana pia ni dawa namba moja ya kisukari. Nawashauri wenye hili tatizo la nyayo kuwaka moto waachane na madawa ya hospital wafanye mazoezi ya kukimbia au kutembea haraka haraka.
Jinsi ya kufanya mazoezi unatakiwa kuanza kidogo kidogo kwa mazoezi mepesi na usifanye mazoezi magumu siku za mwanzo .
Pakaa hina unyayoni mwako mpaka kwenye vidole utaponaMM NAMI NINA TATIZO LA KUUMA KWA UNYAYO HASA UPANDE WA VIDOLE NA UNYAYO WOTE WA MIGGUU UNAUMA SANA NIMETUMIA MAFUTA YA KARAFUU LAKINI BADO INAUMA NA WALA SILAGI VITU VYENYE MAFUTA SANA MARA NYINGI NAKULA VYA KUCHE.MSHA NA MAFUTA KIASI SASA TATIZO LANGU NASHINDWA HATA KUTEMBEA KABISA SIJUI NI NINI NISAIDIE DAWA GANI NTUMIE