Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Yawezekana ni kwa sababu ya kusimama muda mrefu hasa kama uko overweight hata kdg na age uko over 50 yrs ndio inaanza hivyo, jaribu pia kutumia
1558377345068.png
 
Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea huwaga napepesuka Kama vle nmelewa.......plz naomba ushauri ndugu znguu Ni ipi tiba au dawa ya kutumia ili npate kuponaaa
 
Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea huwaga napepesuka Kama vle nmelewa.......plz naomba ushauri ndugu znguu Ni ipi tiba au dawa ya kutumia ili npate kuponaaa
vidonda vya tumbo ivo kutokana na experience yangu
 
T
Kwa Tatizo lako la Miguu kuwako Moto na Visigino jaribu kupakaa Hina kwenye nyayo zako inasaidia sana kwa hayo matatizo yako na kwa jambo la Unene jaribu kuwa unatembea kila siku kwa umbali wa kilomita kama tatu au tano kwa kila siku utapunguwa na jaribu pia kuwacha kula vyakula vya Mafuta Mafuta na kila siku jaribu kuwa unakunywa kijiko kimoja cha Siki ya Apple itakuasaidia kupunguza unene wako.

iba nyingine hii hapa
 
habari.
mimi ni daktari wa fiziotherapia.

miguu kuwaka moto na kukosa nguvu ya miguu na kupepesuka.

Hizo dalili mara nyingi hutokana na athari ambazo zimetokea kwenye pingili za uti wa mgongo.hasa pingili za mgongo wa chini (lumber area)

ambapo kuna mishipa ya fahamu midogo(peripheral nerves) ambayo inatoka kwenye mshipa wa fahamu mkubwa (spinal cord) na kupeleka taarifa za hisia(joto ,baridi,maumivu) na command za kukaza au kulegea kwa misuli.

athari ikitokea kwenye mishipa hyo ya fahamu hupelekea taarifa hizo kutofika lwa usahihi au kutofika kabisa kulingana na ukubwa wa tatizo.

hii hupelekea hisia kama ganzi,mguu kuwaka moto,shoti ya umeme kutoka mgongoni hadi miguuni ,sisimizi kutembea kwenye mguu au baridi kali kwenye miguu na kupungua nguvu ya misuli ya mguu au kupooza .

nguvu ya misuli ya mguu ikipungua huleta hali ya mtu kukosa balance akiwa anatembea au kusimama hivyo hupepesuka.

athari hii ikiwa kubwa sana mtu anaweza kupooza mwili kuanzia kwenye kiuno hadi miguu yote miwili.

hivyo basi nakushauri sehemu ulipo nenda kwenye hospitali ya rufaa onana na daktari bingwa wa mifupa (orthopedic) atakufanyia uchunguzi kama kipimo cha MRI ( magnetic reasonance imaging) cha eneo la mgongo ili kufahamu tatizo ulilo nalo.

Baada ya hapo tatizo likionekana atakupa matibabu ya dawa. Na atakuambia ukaanze mazoezi tiba (physiotherapy) katika kitengo cha Fiziotherapia.

Huko utapata msaada mkubwa na hali yako kurudi kama zamani.

Wahi mapema maana matatizo hayo huongezeka siku hadi siku. ukiwahi utaepusha madhara makubwa kutokea.
Habar zenu ndugu znguu,,mwezenu na Kama mwaka sas nasumbuliwa na tatizo la kuwaka Moto miguun na kushika ganzi pia(miguu yote miwil)...na sas imepelekea kukosa nguvu miguun hata nnavyo tembea huwaga napepesuka Kama vle nmelewa.......plz naomba ushauri ndugu znguu Ni ipi tiba au dawa ya kutumia ili npate kuponaaa
 
Nami nilikuwa na tatizo hili na lilikuwa linanipa tabu sana na nilianza kushindwa kuvaa viatu.

Siku moja nikamuuliza rafiki yangu mmoja daktari ndio akanianiambia ni Neuropathy na mara nyingi inasababishwa na baadhi ya nerves kuwa damaged kutokana na upungufu wa Vitamin B mwilini.

Akanishauri dawa Mbili ambazo in real sense ni kama supplements za kurekebisha hiyo Vitamini B deficiency. Nat B na nyingine nimeisahau kidogo akasema naweza tumia kwa pamoja au nikatumia moja.

Nilitumia zote kama wiki hivi baadae nikaamua kutumia Nat B peke yake kwa kama mwezi mmoja hivi na sasa hivi niko vizuri kabisa nilishaachana na dawa Siku nyingi
 
Nami nilikuwa na tatizo hili na lilikuwa linanipa tabu sana na nilianza kushindwa kuvaa viatu. Siku moja nikamuuliza rafiki yangu mmoja daktari ndio akanianiambia ni Neuropathy na mara nyingi inasababishwa na baadhi ya nerves kuwa damaged kutokana na upungufu wa Vitamin B mwilini. Akanishauri dawa Mbili ambazo in real sense ni kama supplements za kurekebisha hiyo Vitamini B deficiency. Nat B na nyingine nimeisahau kidogo akasema naweza tumia kwa pamoja au nikatumia moja. Nilitumia zote kama wiki hivi baadae nikaamua kutumia Nat B peke yake kwa kama mwezi mmoja hivi na sasa hivi niko vizuri kabisa nilishaachana na dawa Siku nyingi
uko sawaa..ata mi nliumwa iyo kitu..pia vidonda vya tumbo vinapelekea ilo tatizo...nat b...riberzok kama sijakosea na piriton...
 
Habari wakuu,

Mimi pia nasumbuliwa na maumivu ya mgongo katikati, kwenye maungio ya mabega na KUELEKEA shingoni Hadi kichwani.
Muda mwingine yakizidi kichwa huuma pia Sana na nasikia kikigonga Sana kisogoni na shingo yote. Hii hupelelea mwili kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kutamani nipate usingizi.

Naomba msaada kwa wataalam wanaojua hasa Hili Ni tatizo gani. Nipishapiga x-ray ya lumber dokta akasema pako vizuri.
Mwingine alinipima damu akasema Ina bakteria wa ulcer, nikatumia sawa lakini sikuona tofauti.
 
Habar wanajf naomba ushauri wa dawa ambayo itakua nzuri nitumie manake nasikia miguu inawaka moto chini kwenye unyayo nimeenda hospital nimepewa vidonge vya vitamin B nimetumia mpaka saivi nusu dozi lakin bado sijapata nafuu au mpaka nimalizie dozi!

Au kama kuna dawa nyingine naomben mnishauri ili niweze ku-solve hili tatizo "" ahsante"""
 
b lb
Habar wanajf naomba ushauri wa dawa ambayo itakua nzuri nitumie manake nasikia miguu inawaka moto chini kwenye unyayo nimeenda hospital nimepewa vidonge vya vitamin B nimetumia mpaka saivi nusu dozi lakin bado sijapata nafuu au mpaka nimalizie dozi !!!? Au kama kuna dawa nyingine naomben mnishauri ili niweze ku-solve hili tatizo "" ahsante"""
k b nbbn ko n
 
Back
Top Bottom