RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,615
- 3,909
Giza linatesa nchi na wafanyabiashara kwa ujumla vibaka wa kuvunja magodown ya wafanyabiashara pamoja na maduka wameongezeka hii ni kwasababu umeme umekuwa wa shida sana nchini !
Waziri wa Nishati amekaa ofisini anaona maisha yanaenda hajui afanye nini kuhusiana na mgao unaoendelea.
Malalamiko ni mengi tunaomba shirika la umeme tanesco liepukane na kero kama hizo ambazo zilikuwa zimeshafutika katika Serikali ya awamu ya tano! Kwanini iwe sasa! Serikali mjue kuwa wananchi ni waelewa jaribuni kubadilika mnahitaji kodi zao huku kodi zao hamfanyi kazi