Tatizo la meno kufa ganzi na tiba yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la meno kufa ganzi na tiba yake

Discussion in 'JF Doctor' started by Bakulutu, Jan 11, 2012.

 1. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,918
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Habari Jf members,

  Nasumbuliwa na meno yangu yote kufa ganzi kiasi kwamba mara nyingi taya zinachoka kutokana na kuzuia meno yasigusane.

  Pia juzi niling'oa jino moja baada yukuonekana limepekechwa,but nilipo mueleza Dk. kuhusu kufa ganzi alionekana kushtuka kidogo,Kasema ngoja nipone jino nililotolewa then nirudi.

  Pia naona meno mawili yaliopo usawa wa pua yamekuwa marefu sana kama ya mnyama anaekula nyama sasa naona kama yana sababisha kukosekana kwa balance ya meno!

  Please naomba ushauri kabla sijarudi hospitalini.
   
 2. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,975
  Likes Received: 6,612
  Trophy Points: 280
  pole sana. Mia
   
 3. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Go to a dentist he will do a thorough examination after a proper history taking then he can be in a good position to help with your problems, there should be underlying cause for the numbness, also with the elongation of teeth there are several causes including Truma, disease of the gum, (periodontitis),some of systemic diseaaes and others.

  ADVISE

  Go back to a dentist immediately
   
 4. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,918
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Nashukuru sana ndugu..
   
 5. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,918
  Likes Received: 329
  Trophy Points: 180
  Thax sir,i will go back soon.
   
 6. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshima wakuu,
  Mimi ninatatizo la jino moja tu la mbele kupata ganzi ninapokunywa maji ya baridi au ninapo vuta upepo. Please naomba mwenye ushauri hapa jamvini anisaidie.
   
 7. Hamiyungu

  Hamiyungu JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2013
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 342
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Wapendwa habari!meno yananisumbua saana kiasi kwamba mpaka sasa nimeshatoa matano na mengine bado yananiuma na kufa ganzi,na wasi wasi yataisha yote hata kabla sijazeeka. Nimetumia dawa nyingi za meno kama dynacare,forever bright,sensodyne na nyingine nyingi sikumbuki majina yake.

  Nikianza kutumia dawa mpya yanatulia sisikii maumivu kabisa lakini baada ya kipindi furani kupita hali inarudi pale pale. Nashindwa kuelewa kama pipi nilizokua namung'unya sana nikiwa shule ndio sababu ya haya yote maana nilikua napenda saana pipi muda wote ipo mdomoni labda wakati wa kulala.mwenye solution plz nijurishe.thanx
   
 8. W

  Wonder Senior Member

  #8
  Apr 28, 2013
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 145
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Pole sn hop utapatiwa msaada hp!.
   
 9. Prince Tumbo

  Prince Tumbo JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2013
  Joined: Apr 5, 2013
  Messages: 912
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Pole sana mpendwa, subiri wataalam wakusaidie
   
 10. n

  neurosupport Member

  #10
  Apr 28, 2013
  Joined: Dec 22, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiwa unasubiri watalaam chukua maji ayaliyo chemshwa yakapoa weka chumvi halafu utumie pamoja na hizo dawa za memo kusugulia meno.
   
 11. 2013

  2013 JF-Expert Member

  #11
  May 16, 2013
  Joined: Jan 1, 2013
  Messages: 7,623
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  naomba kuuliza kwa wataalamu wa meno. kuna hili tatizo la meno kufa ganzi(yaani meno kuwa kama yalikula maembe machachu kisha kkuma na kushindwa kutafuna chakula). hivi hili tatizo linatibika na kuisha au ni life time problem? naomba kujua tiba yake ni nini mbali na matumizi yasiokwisha ya dawa ya meno ya sensodyne.
   
 12. m

  mataka JF-Expert Member

  #12
  May 17, 2013
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 287
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Me nilikuwa na ilo tatizo nilipoenda hstpl kucheki nikaambiwa limetoboka, tangu nilipozba hadi leo ni miaka 4 niko fresh nadunda
   
 13. C

  CHIJANYE JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2013
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 344
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Pia ujizuie Kula na kunywa vitu vya baridi
   
 14. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  kuna dada mmoja alinipa dawa ya kusukutua meno
  ni nzuri kama uko bongo pm nikuambie anavyopatikana.

   
 15. Hero

  Hero JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2013
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 783
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Pole sana, nenda kwa daktari wa meno akakague meno yako ili kujua kama hakuna tatizo na hayajachimika hasa kwenye muunganiko na mzizi kutokana na namna unavyopiga mswaki!
   
 16. F

  Frekim JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2013
  Joined: Mar 29, 2013
  Messages: 321
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ata mimi hili tatizo huwa linanisumbuaga wakuu, likishanza huwezi kabisa kutafuna vitu vigumu kama maindi ya kuchoma au krips n.k
   
 17. papason

  papason JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2013
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Achaga 'uchoyo' weka mambo hadharan wenye matatizo ya meno tujinafsi
  wengine hatujui ku PM!
   
 18. 2013

  2013 JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2013
  Joined: Jan 1, 2013
  Messages: 7,623
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  wataalam nimewahi kwendammoja akasema hakuna tatizo yaani meno yako safi hayajaaribika bali yamelika leya ya juu ndio maana yaana kuwa sensitive. akashauri kutumia sensodyne forever, tatizo hii dawa ikizoea meno haisaidii tena tatizo linajirudia.
   
 19. 2013

  2013 JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2013
  Joined: Jan 1, 2013
  Messages: 7,623
  Likes Received: 1,458
  Trophy Points: 280
  we ungetuambia ili tupate msaada hata wa namba za simu. haya matatizo sio ya kupigia ramli, naomba uweke hadharani please.,:A S-cry:
   
 20. S

  Saitot JF-Expert Member

  #20
  May 17, 2013
  Joined: Apr 3, 2013
  Messages: 615
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  Kwa kitaalamu hilo tatizo linaitwa hypersensitivity, mara nyingi huwa linatokea hasa pale ambapo ,mmhusika anatumia mswaki ambao kitaalamu hautakiwi kwa matumizi ya meno , yaani mswaki wenye brash ngumu ambao hujilia kuondoa lea ya nje ya jino yaani enameli , na mara nyingi huwa inatokea hasa kwenye shingo ya jino ,pale ambapo ufizi unaanzia , sehemu hii pamoja na lea ya ndani ya jino yaani dentine, inavitundu vidogo dogo sana ( stomata poles) ambavyo huruhusu upenyo wa kitu chochote chenye tindikali ,umaridi ,pamoja na umoto kupenya kiurahisi na kusababisha hali ya ganzi,
  Lkn pia hali hii huwatokea watu ambao , wanapolala usiku huwa na tabia ya kutafuna meno na hvy kuondoa ile lea ya juu ya jino (enamel) lakin pamoja na hayo pia huwatokea watu ambao meno yao yanakuwa wiki , hasa kutokana na ukosefu wa madini , calcium, fluoride,
  TIBA
  Mwone daktari akujuze kama kuna meno yaliyotoboka
  Zingatia namna ya upigaji mswaki hasa muda usizidi dakika 15.
  Daktari atafanya matibabu yameno yako kulingana na yalivyoathirika.
  Mwisho daktari atakuelimisha ni dawa gani inafaa kwa meno yako.
   
Loading...