Ndiyo!Hizo Dawa Kaka Zilikusaidia Kabisa??
Mwanzisha mada nakuomba ungeweka dalili ulizonazo ili na wengne wapate somo maana wengne wanakuwa na dalili za mawe kwenye figo lakin hawaelew kama ndo IPO ivo pia na nyie mliopona ingekuwa vizuri na nyie muweke dalili zenu ili wengi tujifunze?
Kuna jamaa yangu alipona alitumia juis ya tangawi asubuh na jion kwa muda wa mwez tu