Tatizo la maumbile ya kiume madogo sana linanitesa sana

kumridhisha mwanamke ni jambo moja na rahisi kulifanya bila sex lakini kufurahia tendo wewe kama mwanaume ni jambo lingine kuridhika kwa mwanaume sio kukojoa tu asee hata kumsugua mpenzi wako mpaka abadilishe milio ni raha pia sasa nchi 2 dah hapana asee huwezi enjoy tendo utaenjoy kukojoa tu kama kuna dawa zisemwe acheni kumpa hope zisizokuwepo.
 
Mwanamke hupata utamu zaidi hadi kufika kileleni nje sio ndani, ndio maana wanawake wengi wanalalamika hawajawahi kufika kileleni tangu wazaliwe kumbe mnawang'ang'aniza kuwaingiza midude yenu mikubwa wanaumia ila wana act kama wana enjoy,

Huyo jamaa akiwa hana papara na akajiamini wanawake watakua wanapanga foleni kwake,
Kweli kabisa, tunaenjoy nje pale ndani huwa namwachia baba na yy ainjoy
 
Bado hujamsaidia.
Ifike pahala tusome alama za nyakati. Hizo explanations zako ziko sahihi bt si kwa wanawake zetu wa sasa.
Imagine wanaandaana vzr af mwanaume anaishia kucheza na kisimi na kumalza haja zake....

Akili yangu ndogo inajiuliza n kwann unapomwandaa mwanamke huwa inafika point anashika dushe na kulizamisha ndan.... Kwann asiridhike kwa kusuguliwa clit ikiwa na climax anafika?
Sikiliza hii
 
Kitu hicho
Screenshot_20211022-210636.jpg
 
Sasa ww unabishana na mwenye g spot, wabongo bhana

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Umeshirikisha ubongo ktk kutype huu utopolo au n vidole vmeamua tu.

Fundi gerej hana gari ila analifaham kila kona. Yawezekana mwenye gari akawa hafaham how it operates zaid ya kuendesha tu.
Nyoko
 
Umeshirikisha ubongo ktk kutype huu utopolo au n vidole vmeamua tu.

Fundi gerej hana gari ila analifaham kila kona. Yawezekana mwenye gari akawa hafaham how it operates zaid ya kuendesha tu.
Nyoko
Woi, kwa iyo ukaushirikisha ubongo wako ukaona mfano wa gari na fundi garage ndio wakulinganishia.


Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Umaskini na ubishi wa mtu haviendani mkuu, ila through your maandishi, naona ujinga mob

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
Incase siku nkamkuta daktari (wa kiume), anatoa elimu ya afya ya uzazi kwa wanawake nimpuuze or nimwone mjinga??.

Maana atakuwa anawaelekeza wenye nacho ikiwa yy hana.... (kulingana na maelezo yako ya awali)
 
Pole sana.hili jambo linasumbua sana saikolojia ya wengi ila dawa rahisi ni kwanza nyoosha msuli wa Uume wako kuna zoezi la kufanya ili kuunyoosha huo msuli wa uvunguni.lala na mgongo kisha nyoosha miguu yote juu alafu kua kama unaitanua na kuirudisha tena ikutane lakini jitahidi isikutane uku ukiendelea kuikaza hadi utakaposikia khaa katikati ya miguu yako.Fanya ilo zoezi mara 1 kwa siku.alafu fanya zoezi la kegel mara kwa mara( Google utaona jinsi yakufanya).

Pia tafuta mafuta halisi ya mzeituni, kanda uume wako kwa kitambaa cha maji moto kama dakika 2,3 kisha ukishalegea upake hayo mafuta kisha kua kama unauchua pande zote taratibu kwakuvuta kwenda nje.

Fanya hivyo kwa dakika kidogo.ukifanya asubui na jioni utaanza kuona matokea chanya.ila hakikisha usimamishi uume wakati wakuchua.Ila pia kuna mti naufahamu kwa sura magamba yake ni bonge ya dawa za ngiri zote,chango na unaboresha afya ya uume,ungekua unautumia na huo majibu yangekua mazuri zaidi.shida uko mbali nikipata picha yake tutashare uufahamu.

Fanya hayo kwanza utaleta mrejesho.
 
Tafuta na usome kitabu cha "Jando na Unyago wa kisasa"
ukikipata nenda topic ya kufanya mapenzi, sehemu ya uume mdogo utapata elimu kubwa kuhusu jinsi ya kufanya mapenzi kwa wenye uume mdogo.
Kina elimu nzuri sana na kitu kikubwa watu wengi tunakuwa na hofu bila sababu kwa sababu hatujui yaani hatuna ufahamu.

Nenda kwenye page ya Jando na Unyago.
 
Aisee, duh kakaa. Kweli iyo ni ndg. Sema naomba nikuulize swali 1 la kizushi, ushawah kusex Mara ngp maishan mwako?. Ukute ata hujawah ndo mn haikui hiyo,, iko pale pale tu...
mtu kala hela zangu kibao, nauli nimetuma zinaliwa , vocha za buku 5 kila siku ,afu nianze kuandaa mtu kama karamu.........ukifika ndani ni mwendo wa wese ,chomeka ,breki p*mbu ,Tako 12 ,wazungu hao, nenda kwenu

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Habari wana jamvi,

Naitwa James Jackson nipo Mbeya. Nina umri wa miaka 28 sasa, tatizo hili nimekuwa nalo tangu utotoni na mpaka sasa siwezi hata kuanzisha mahusiano ya kimapenzi kwa sababu ya kidude kuwa kidogo sana.

Naomba kama kuna mwenye anaweza akanisaidia alternative ya kufanya nionfokane natatizo hili nitamshukuru sana.
Ni vyema kama upo mbeya, kuna daktari alinisaidia dawa fulani. Yupo meta hospital. Japo haikuwa dawa artificial ni hizi hizi za virutubisho vya kutengeneza. alinielekeza nikatengeneza zamani kidogo. maana uume wangu ulisinyaa na kulegea sababu ya PUNYETO.

Nilitumia kwa miezi miwili tu, kuna dada akaanza kuniambia nimeongezea uume tangu hapo sijawaza tena. Mke wangu kuna wakati huwa ananisisitizia tusiwe tunaenda kwa haraka kabla yeye hajaloana, maana nitamuumiza.

Hivyo huwa namuandaa mapema. Bottom line, NILIAMBIWA NIACHE KABISA PUNYETO KAMA NATAKA KUUKUZA UUME WANGU.
 
Back
Top Bottom